Kufuatia upungufu wa wataalamu wa dawa za usingizi (anaesthesia), serikali itatoa mafunzo ya dawa za usingizi kwa watumishi wa afya 200 katika vituo vya afya vya...
Tunaishi katika ulimwengu unaokabiliwa na athari kubwa za mabadiliko ya hali ya hewa. Moja ya athari hizo ni kuongezeka kwa joto na kupungua kwa mvua katika...
Thamani ya maisha haiko kwenye muonekano wa mtu na vitu vinavyomzunguka bali kwenye chakula anachokula kila siku ili kuwa na afya njema. Lakini umewahi kujiuliza, chakula...
Virusi vya Zika vinavyosababisha watoto kuzaliwa wakiwa na ubongo uliodumaa na vichwa vidogo vimeibainika kama njia mojawapo ya kutibu kansa ya ubongo ijulikanayo kama ‘glioblastoma’ Homa...
Wakati mjadala ukiendelea kuhusu serikali ya Zanzibar kuagiza walimu 300 kutoka Nigeria kwaajili ya kufundisha masomo ya sayansi, nchi hiyo imeendelea kutoa somo la uboreshaji elimu...
Imeelezwa kuwa wanawake kati ya 1,200 na1,500 hupata ugonjwa wa fistula nchini na hali inayohatarisha maendeleo ya afya zao na watoto wanaozaliwa kila mwaka. Mwakilishi Mkazi...
Imeelezwa kuwa watanzania wanashauriwa kuendelea kujihadhari na ugonjwa wa ukoma, licha ya kupungua kwa maambukizi yake katika maeneo mbalimbali nchini. Tahadhari hiyo inatokana na uchunguzi wa...
Wanafunzi wa shule ya msingi Mpanda iliyopo kata ya Ipyana wilayani Kyela wanalazimika kusoma kwa kupokezana kutoka na madarasa ya shule ya kuchakaa na kutokufanyiwa ukarabati...
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema inaendelea kupima na kutoa chanzo ya ugonjwa wa homa ya manjano kwa wasafiri wanaoingia nchini...
Jukumu la kumlea na kumtunza mtoto ni la wazazi wote wawili yaani baba na mama. Matunzo hayo yanaanza mama anapokuwa mjamzito mpaka siku ya kujifungua. Katika...
Kwa muda mrefu sasa wanawake wamekuwa wakiwajibika kutumia njia za uzazi wa mpango kuzuia mimba zisizo tarajiwa. Wengine wanatumia njia za muda mrefu kama vipandikizi, kukata...
Aprili 25 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya Ugonjwa wa Malaria. Lengo hasa ni kutathmini hatua zilizopigwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa ambao unaua maelefu ya...
Serikali imeanza kutumia kadi alama ya lishe ili kuongeza uwajibikaji kwa watoa huduma itakayosaidia kupunguza tatizo la utapiamlo na udumavu kwa watoto nchini. Muhtasari wa hali...
Imeelezwa kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa watanzania kukosa huduma bora za afya kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kutokana na kupunguzwa kwa bajeti ya Wizara ya Afya,...
Kugundua kwamba una saratani au ndugu yako ana saratani huwa ni kipindi kigumu sana maishani. Saratani imekuwa janga kubwa sana duniani na hujitokeza katika namna tofauti....
Watu wanaweza kupata mzio wa vitu au vyakula katika namna mbili; Kwanza, wanawaweza kuwa na mzio wa kitu fulani tangu kuzaliwa (Hii ni kutokana na vinasaba...
Jukumu la kutunza familia ni la wazazi wote wawili yaani mwanaume na mwanamke. Lakini majukumu ya mwanamke huongezeka pale anapopata ujauzito, hulazimika kumlea mtoto aliyepo tumboni...
Imeelezwa kuwa watanzania watalazimika kusubiri kwa muda mrefu ili kupata huduma bora za afya kutokana na uchache wa vituo vya kutolea huduma hizo ambavyo haviendani na...
Kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa nchini Marekani, watu wanaopoteza utajiri au mali zao ghafla wana uwezekano mkubwa kufa mapema kuliko wale ambao wanafirisika taratibu. Utafiti...
Kuna vitu vingi vya kuzingatia unapomchagua mtu kuwa mwenza wa maisha yako. Jambo mojawapo la kuangalia ni kundi la damu. Sio kitu kinachozingatiwa na watu wengi...
Licha ya kuimarika kwa huduma za afya nchini China bado wagonjwa wanaoenda kutibiwa katika hospitali nyingi wanalazimika kukaa kwenye foleni kwa dakika kadhaa kabla ya kumuona...
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa kila mwaka Tanzania inakadiriwa kuwa na wagonjwa wapya wa Saratani 50,000 huku...
Kwa mujibu wa Shirika la Watoto Duniani (UNICEF) linaeleza kuwa watoto wachanga 7000 hufariki kila siku duniani kote ambapo ni sawa na watoto 21,000 kwa mwezi....
There is a big fight going on in Tanzania just like anywhere in the world. The winning card is within ourselves. Tobacco is the center of...
Duniani kote , Aprili 2 ya kila mwaka ni siku iliyotengwa kueneza ufahamu, kujenga uelewa na kukubali juu ya hali ya usonji, ambayo kitaalamu inajulikana kama...
Kulala kwa muda mrefu kunahusishwa na matatizo ya kuharibika kwa ngozi na kupata maumivu ya viungo hasa mgongo. Pia kujilaza kitandani muda mrefu huusishwa na matatizo...
Katika siku za hivi karibuni umezuka mjadala juu ya kukithiri kwa vitendo vya uhalifu unaohusisha wezi kuingia kwenye nyumba za watu nyakati za usiku na kuwapulizia...
Ukijaribu kwenda kwenye maduka makubwa utashangazwa na idadi ya dawa za meno utakazokutana nazo. Zipo aina nyingi na ni msululu wa dawa umepangwa kwenye makabati baadhi...
Mifumo ya utoaji malalamiko katika vituo vya afya ni moja ya vitu muhimu katika kuboresha utoaji huduma za afya nchini. Kukosekana au kutokufanya kazi kwa mifumo...
Imeelezwa watanzania watalazimika kusubiri kwa muda mrefu ili kupata huduma bora za afya kwenye zahanati na vituo vya afya kutokana na uhaba wa madaktari na wahudumu...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jnsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaagiza madaktari katika hospitali na vituo vya afya kuwafanyia uchunguzi wa ugonjwa wa kifua...
It is a terminal disease. No vaccine, no medicine but could be avoided when everyone gets proper education. Each of us will be safe from the...
Pamoja na kukosekana kwa idadi kamili, lakini ukweli ni kuwa Tanzania, kama ilivyo kwa nchi zingine, kumekuwepo ongezeko la wavulana na hata wanaume, kuonekana kuwa na...
Upatikanaji wa maji safi na salama ni muhimu kwa afya zetu. Maji yasiyo safi na salama ni chanzo cha magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu na kuhara...
Kukosekana kwa utashi wa kisiasa na ukuaji wa soko la tumbaku kumetajwa kama kichocheo cha ongezeko la matumizi ya sigara na vifo kwa vijana nchini. Uvutaji...
Tafiti zinaonyesha Waafrika ni waathirika zaidi wa Ugonjwa wa Shinikizo la Macho (Glaucoma) kuliko watu wengine duniani. Huku watu wenye miaka kuanzia 40 huathirika zaidi na...
Siku ya Figo Duniani huadhimishwa kila Alhamisi ya pili ya mwezi Machi tangu ilipotambulishwa mwaka 2006. Mwaka huu iliadhimishwa Machi 8 pamoja na Siku ya Wanawake...
Serikali imetoa milioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya kitakachengwa katika kitongoji cha Itongwi kata ya Kalamba wilayani Kondoa ili kutatua changamoto ya...
Macho ni taa ya mwili ambayo humsaidia mwanadamu kuona vitu na kuhakikisha anakuwa salama wakati wote. Lakini macho kama viungo vingine hupata hitilafu na kushindwa kutimiza...
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma kutenga fedha kwenye bajeti ya Mwaka ujao wa...
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imeeleza kuwa asilimia 74 ya watoto nchini Tanzania wanaishi katika umasikini, jambo linalowafanya kukosa haki na mahitaji muhimu ya kijamii...
Daniel Samson Ukuaji wa sekta ya mawasiliano unaochochewa na ongezeko la idadi ya watu wanaotumia simu za mkononi umeibua mjadala juu ya usalama wa afya za...
Umewahi kusikia hali ya kuishiwa nguvu au kushindwa kusogeza viungo vya mwili muda mfupi baada ya kulala au kumka? Au unakosa usingizi wa uhakika? Naamini watu...
Ripoti ya Vifo vya watoto, UNICEF Februari 2018 inaeleza kwamba, kila mwaka watoto milioni 2.6 hufariki kabla ya kufikisha umri wa mwezi mmoja huku milioni 1...
Ipo dhana kuwa maumivu ya viungo vya mwili ni maradhi yanayowapata watu wenye umri mkubwa pekee. Lakini maumivu hayo yanaweza kumtokea mtu yoyote bila kujali umri....
Je, asilimia 92 ya watoto nchini Tanzania wanapata lishe duni? Kwa mujibu wa Rikke Le Kirkegaard, mtaalamu wa maswala ya Afya anayefanya kazi na shirika la ...
Na Daniel Samson “Nilipomaliza shule nikaanza mahusiano na huyo mwanaume, basi katika kipindi cha wiki tano nikajigundua sijielewi kutokana na mabadiliko niliyopata”, hayo ni maneno ya...
Ulimwenguni kote inakadiriwa kuwa wanawake na wasichana milioni 200 wamekeketwa na kuwaachia madhara ya kisaikolojia, kiafya na kijamii. Kwa mujibu wa shirika la Idadi ya watu...