MAJUZI nilikuwa katika utafiti wa namna gani Madini ya Almas yanayopatikana katika Mji Mdogo wa Maganzo Wilayani Kishapu mkoani Shinyanga umewanufaisha wananchi wanaozunguka Mgodi wa Almasi...
SIKU chache baada ya moto kuzuka ndani ya mgodi wa Geita (GGM) na kuteketeza mali zenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 25,hofu kubwa ya kupoteza...
HALMASHAURI ya serikali ya kijiji cha Kanembwa Runzewe wilaya ya Bukombe mkoani Geita,imelituhumu jeshi la polisi wilayani humo kujihusisha na rushwa na ujambazi kutokana na askari...
WANANCHI wa kijiji na kata ya Mwadui-Lohumbo wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga, wamekosa huduma ya matibabu kwa siku nane mfululizo katika zahanati ya kijiji hicho baada ya...
POLISI wa kituo cha Mavota kilichopo ndani ya eneo la kijiji cha Mavota, wilayani Biharamulo, katika mkoa wa Kagera, wanaolinda Mgodi wa Tulawaka wanakabiliwa na tuhuma...
SERIKALI imesema imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kudhibiti utoroshaji wa madini katika migodi mikubwa iliyopo hapa nchini baada ya kuweka mfumo madhubuti wa ukaguzi kwenye migodi hiyo.
SHUGHULI za uchimbaji wa madini katika hifadhi ya Taifa ya Moyowosi wilayani Biharamulo Mkoani Kagera,zinadaiwa kusababisha uharibifu mkubwa wa mazingira unaotokana na ukataji wa miti katika...
WIZARA ya Nishati na Madini imetangaza kutatua tatizo la wachimbaji wadogo kukosa maeneo maalum ya uchimbaji na kwamba tatizo hilo linatarajiwa kupungua kama sio kumalizika mwaka...
Mkuu wa mkoa wa shinyanga Bwana Ally Rufunga ameufunga mgodi wa dhahabu wa KIMEG CO LTD uliopo katika kijiji cha mwakitolyo wilayani shinyanga kwa uharibifu wa...
AFYA za wakazi wa Mkoa wa Geita ziko hatarini kufuatia kuzagaa kwa sumu aina ya Sayanaidi(Cyanide), inayotumika kwa ajili ya uchenjuaji wa dhahabu katika migodi mbaimbali.