MAISHA ya wachimbaji wadogo, katika sehemu nyingi nchini ni ya ajabu. Wengi wanaishi katika mazingira magumu, hupata chakula kwa shida na wakati mwingine baada ya jasho...
IDARA ya misitu katika wilaya ya Mpwapwa, imepaza sauti kulilia uharibifu wa misitu unaofanywa kwenye mapori ya akiba na misitu ya serikali.
SERIKALI ya kijiji cha Sambaru, wilayani Ikungi, mkoa wa Singida, imekuwa ikifanyia shughuli zake sehemu yoyote, kutokana na kutokuwa na ofisi.
CHOO cha ofisi ya serikali ya kijiji cha Magalata, wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga, kiko katika hali mbaya kiasi kwamba mtu kukitumia lazima uvae ‘miwani ya...
WATU wanaofanya shughuli za uchimbaji na utafiti wa madini katika wilaya ya Mpwapwa bila vibali, wako hatarini kukamatwa na kufikishwa mahakamani kutokana na kukiuka sheria za...
NYARAKA mbalimbali za serikali na kumbukumbu za ofisi ya kijiji cha Magalata, kilichoko katika wilaya ya Kishapu, ziko hatarini kuharibika na kulowana na maji iwapo mvua...
ZAHANATI ya kijiji cha Magalata, wilayani Kishapu, imekuwa ikitoa huduma kwa miaka saba chini ya wauguzi wasaidizi wawili ambao kitaaluma hawapaswi kutibu wagonjwa.
BAADHI ya wakazi wa kata ya Lumuma, wilaya ya Mpwapwa, wameunga mkono na kupongeza ushauri waliopewa na Mkuu wa wilaya hiyo, Christopher Kangoye, kuhusu soko la...
UWEPO wa mto Lumuma katika kata hiyo, umesaidia uchumi wa wakazi wa vijiji saba vya wilaya za Kilosa na Mpwapwa wanaoutumia kwa shughuli za kilimo cha...
WANAFUNZI wa shule ya msingi Magalata, wilayani Kishapu, wameendelea kuhudhuria vizuri shuleni tangu utaratibu wa kutoa huduma ya chakula ulipoanza.
KUNA kipindi maisha humuongoza binadamu afanye nini ili aweze kuishi kulingana na mazingira anayoishi. Hivyo ndivyo ilivyo kwa baadhi ya vijana na kinamama wanaoishi katika vijiji...
TAKRIBAN miaka mitatu imepita tangu kampuni ya Kastan iliyotaka kuchimba dhahabu katika kijiji cha Sambaru, wilayani Ikungu, mkoa wa Singida, ilipoondoka bila kuaga.
UNAPOFIKA kwenye ofisi ya kijiji cha Mwadui-Lohumbo, kilichopo mashariki mwa mji mdogo wa Maganzo, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, utakutana na majengo yenye yaliyojengwa enzi za ukoloni...
Unaweza usiamini kuwa unaingia kwenye choo kinachotumiwa na mtu anayejua nini maana ya neno ‘afya bora’. Hata hivyo, katika hali halisi, choo kinachotumiwa na muuguzi, Ester...
RAMADHAN Abdul (19) anaishi na wazazi wake katika kijiji ambacho ajira kubwa ni kilimo. Kijana huyo anaishi kijiji cha Kibangile, kilichoko katika kata ya Kisemu, tarafa...
KIJIJI cha Lufusi, kilichopo katika wilaya Mpwapwa, kimesema hekta 34 za miti ziliharibiwa mwaka jana, ambapo watuhumiwa 17 walikamatwa na kuchukuliwa hatua mbalimbali, ikiwemo kutozwa faini...
NIMEAMKA mapema na kufika katika kijiji cha Kibangile, kilichoko wilayani Morogoro. Umbali kutoka kijiji cha Mtamba, nilipolala, hadi Kibangile kwa pikipiki ni dakika zisizodi saba na...
BADALA ya kupewa sh. 2,110,000 kwa kipindi cha miezi sita, shule ya msingi Sambaru, iliyoko katika wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida, ilipatiwa sh. 350,000 na...
KABLA sijafika tarafa ya Matombo, iliyopo mkoani Morogoro, nilikuwa na mawazo tofauti kuhusu mto Wami/Ruvu ambao baadhi ya vyanzo vyake viko sehemu hiyo.
MACHIMBO ya Sambaru yapo takriban kilometa 83 kutoka Singida mjini, ambapo kijiji hicho kimepakana na vijiji vya Mang’onyi katika wilaya ya Ikungi na Londoni kilichopo Manyoni....
WASWAHILI wanayo misemo mingi inayotawala maongezi kuhusu safari. Wapo wanaosema ‘msafiri kafiri’ wakimaanisha ni kawaida kwa mtu anayesafiri kukutana na madhila awapo safarini. Wengine husema ‘safiri...
KILOMETA 64 kusini mwa mji wa Mpwapwa ndipo ilipo shuke ya msingi, Lufusi katika kata ya Lumuma, ambayo inakabiliwa na upungufu wa vyumba vya madarasa, suala...
BAADHI ya wapanda pikipiki wa kijiji cha Sambaru, mkoa wa Singida, wamesema wamekuwa wakikamatwa na baadhi ya askari wanaolinda mgodi wa Shanta ambapo huwapotezewa muda na...
Ni saa 3:00 asubuhi, natoka kwenye nyumba ya kulala wageni iitwayo ‘Kwa Aziz’ kusubiri usafiri wa kunipeleka kwenye mgodi wa wachimbaji wadogo, ulioko Sambaru, umbali wa...