Sekta ya Uvuvi ni kati ya sekta muhimu ndogo ya uchumi Tanzania. Sekta inatoa ajira nyingi, kipato, uchumaji riziki, fedha na mapato ya kigeni kwa nchi....
KIJIJI cha Mkongoro kama ilivyo katika vijiji vingine Wilayani Kigoma wakazi wake ni wakulima, ambao kilimo chao ni mazao ya chakula na biashara yakiwemo Kahawa, Nanasi...
BAADHI ya wanawake waliohojiwa mkoani Kigoma wamelalamikia waume zao kuwa kikwazo kwao kujiunga na uzazi wa mpango kwa kuwa wao wanawachukulia kama chombo cha kuongeza familia...
Bandari ya Kigoma, ni moja ya bandari mbili kubwa ambazo zinamilikiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), katika mwambao wa Ziwa Tanganyika. Nyingine ni...