Kufuatia upungufu wa wataalamu wa dawa za usingizi (anaesthesia), serikali itatoa mafunzo ya dawa za usingizi kwa watumishi wa afya 200 katika vituo vya afya vya...
Waziri wa Mambo ya Ndani Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Sheria na Usajili wa Jumuiya za Kidini na Vyama vya...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameweka wazi kuwa serikali haitatangaza nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma hadharani ili kuepusha athari kwa jamii ikiwemo kupanda kwa bei...
Tanzania itaanza kufaidika na rasilimali za bahari baada ya kuanza kutekeleza Programu ya Udhibiti na Matumizi Endelevu wa Rasilimali Samaki (EAF-Nansen) kudhibiti mabadiliko ya tabia na...
Serikali imetoa siku 10 kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kuufuta kwa maandishi waraka wao waliotuoa Machi 24 mwaka huu na kisha kuujulisha Umma...
Kufikisha miaka 30 maishani yaweza kuwa kipindi cha mabadiliko makubwa kwenye maisha ya mtu na taaluma yake. Ni kipindi ambacho malengo ya wengi kitaaluma huanza kuwa...
Elimu bora ina faida kubwa kwa maisha ya kila siku ya wananchi na pia huchangia ukuaji wa uchumi. Kwa kutambua hilo, Serikali nyingi katika nchi zinazoendelea...
Serikali ya Tanzania Bara na ile ya Zanzibar kukutana kujadili kuhusu namna bora ya kupata ufumbuzi wa kudumu wa kero ya ulipaji kodi ya mizigo kutoka...
Kamati ya Urithi wa Dunia ya Umoja wa Mataifa inatarajia kuamua kama Pori la akiba la Selous liondolewe miongoni mwa maeneo ya urithi wa dunia, kufuatia...
Tunaishi katika ulimwengu unaokabiliwa na athari kubwa za mabadiliko ya hali ya hewa. Moja ya athari hizo ni kuongezeka kwa joto na kupungua kwa mvua katika...
Serikali ya Tanzania imeanza kunufaika na sheria mpya ya madini kwa kufanikiwa kukusanya mrabaha wa Tsh Milioni 615 kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Tanzanite katika robo...
Mark Thomas anasema, kukosolewa kunaweza kuwa kitu kizuri bila kujali imetoka kwa mtu wa aina gani au anayefanya kazi gani. Kukubali kukosolewa yaweza kuwa jambo gumu...
Rwanda imewaonya raia wake wanaoingia kinyume cha sheria katika Mbuga za Wanyama mkoani Kagera kwa madai kuwa wanahatarisha ujirani mwema baina ya nchi hiyo na Tanzania....
Thamani ya maisha haiko kwenye muonekano wa mtu na vitu vinavyomzunguka bali kwenye chakula anachokula kila siku ili kuwa na afya njema. Lakini umewahi kujiuliza, chakula...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga imeitaka sekta ndogo ya benki kuongeza ubunifu kwa kutoa mikopo ya muda mfupi na mrefu ili...
Imeelezwa kuwa uamuzi wa serikali ya Tanzania kuzuia usafirishaji wa mahindi nje ya nchi umeshuha bei ya zao hilo katika ukanda wa Afrika Mashariki. Kushuka kwa...
Wakati utegemezi katika bajeti kuu ya Serikali ukishuka mwaka hadi mwaka, utegemezi katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia umekuwa ukiongezeka jambo ambalo wadau wanaeleza kuwa...
Virusi vya Zika vinavyosababisha watoto kuzaliwa wakiwa na ubongo uliodumaa na vichwa vidogo vimeibainika kama njia mojawapo ya kutibu kansa ya ubongo ijulikanayo kama ‘glioblastoma’ Homa...
Serikali ya Tanzania inakusudia kuingia makubaliano na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kufadhili mradi wa kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao ya chakula ili kuinua...
Imethibitishwa bila shaka kwamba kukaa muda mrefu kwenye magari, ofisini au kwenye viti kunasababisha matokeo hasi kwa afya. Tabia hiyo ya kukaa muda mrefu inahusishwa na...
Wakati mjadala ukiendelea kuhusu serikali ya Zanzibar kuagiza walimu 300 kutoka Nigeria kwaajili ya kufundisha masomo ya sayansi, nchi hiyo imeendelea kutoa somo la uboreshaji elimu...
Imeelezwa kuwa wanawake kati ya 1,200 na1,500 hupata ugonjwa wa fistula nchini na hali inayohatarisha maendeleo ya afya zao na watoto wanaozaliwa kila mwaka. Mwakilishi Mkazi...
Kwa namna moja au nyingine, wote kwa namna fulani tumewahi kujutia kujali sana kile ambacho watu wengine wanakifikiria au watakifikiria. Tunasita kuwa wabunifu, wavumbuzi au kusema...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kuwa Mei 28, 2018 itatoa uamuzi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo na mwenzake wana kesi ya...
Wasafirishaji wa kahawa, chai, samaki na ngozi kutokana Tanzania kufaidika na soko la Afrika Mashariki baada jumuiya hiyo kuanzisha mfumo wa pamoja wa forodha mipakani unaolenga...
“Nafikiri kichocheo kikubwa cha uchumi wa Tanzania kitakuwa utalii,” hayo yalikuwa maneno ya Gavana Mstaafu, Prof Benno Ndulu wakati wa Mkutano wa mwaka wa taasisi ya...
Imeelezwa kuwa watanzania wanashauriwa kuendelea kujihadhari na ugonjwa wa ukoma, licha ya kupungua kwa maambukizi yake katika maeneo mbalimbali nchini. Tahadhari hiyo inatokana na uchunguzi wa...
Wanafunzi wa shule ya msingi Mpanda iliyopo kata ya Ipyana wilayani Kyela wanalazimika kusoma kwa kupokezana kutoka na madarasa ya shule ya kuchakaa na kutokufanyiwa ukarabati...
Baada ya Tanzania na Kenya kufanya mabadiliko ya kisheria katika sekta ya madini, ripoti mpya ya utafiti imeeleza kuwa hatua hiyo ni kikwazo katika kuvutia uwekezaji...
Utafiti uliotolewa hivi karibuni umebaini kuwa watu wanaochelewa kulala wana uwezekano mkubwa wa kufa mapema kuliko wale wanaoamka mapema wakati wa usubuhi. Msingi wa utafiti huo...
Utafiti mpya uliotolewa na taasisi ya Twaweza unaonyesha kuwa mtazamo wa wananchi kuhusu utoaji elimu bila malipo umebadilika, wengi wao wangependa kulipa ada ili elimu inayotolewa...
Serikali ya Kenya imesema itazuia bidhaa za Tanzania kuingia nchini mwake baada ya Mamlaka ya forodha kuendelea kutoza ushuru kwa bidhaa zinazotengenezwa kwa sukari kutoka nchini...
Ni matarajio au matamanio ya kila mtu kusaidiwa kukamilisha jambo fulani. Iwe kazini au kwenye shughuli yoyote ya kijamii, utahitaji watu wenye ujuzi na maarifa tofauti...
Inawezekana wakazi wa wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza wakaendelea kusubiri kwa muda mrefu kabla ya kupata maji safi na yenye uhakika, kutokana na miradi ya usambazaji...
Serikali imeiomba Switzeland kuangalia uwezekano wa kutoa mafunzo kwa madaktari Bingwa na kuwajengea uwezo watumishi wa umma ili kuongeza ufanisi kati utoaji huduma kwa wananchi. Hayo...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete ameungana na makamishna wengine wa Tume ya Elimu ya Umoja wa Mataifa (UN) kuanzisha Mfuko wa kimataifa elimu (IFFEd) ambao unalenga kutatua...
Imebainika kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi 6 za Afrika ambazo raia wake wanapenda kuhama na kwenda kuishi nchi zingine hasa Marekani na Ulaya ikiwa watapata...
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema inaendelea kupima na kutoa chanzo ya ugonjwa wa homa ya manjano kwa wasafiri wanaoingia nchini...
Leo Mei 14, Taifa la Israel linaadhimisha miaka 70 ya uhuru wake. Lakini sherehe hizo huenda zikachochea zaidi uhasama wa kisiasa katika eneo la Mashariki ya...
Imeelezwa kuwa watoto yatima wako katika hatari kubwa ya kukumbwa na ukatili wa kijinsia na kuathiri ustawi wa maisha yao kiuchumi na kielimu. Vitendo vya ukatili...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa amewatoa wasiwasi wananchi wa mkoa huo kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ambao umeuikumba nchi ya jirani ya Jamhuri...
Kila mtu anafahamu jinsi ilivyo ngumu kujifunza lugha ya pili hasa unapokuwa mtu mzima. Katika utafiti mpya, wanasayansi wamebainisha kuwa kuna umri ambao mwanadamu akifika itampa...
Hatimaye Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amewasilisha bajeti ya Sh143.33 bilioni, ikiwa ni ongezeko la Sh21.1 bilioni ikilinganishwa na bajeti ya wizara hiyo...
Serikali ya Tanzania imeshauriwa kufungua milango kwa wakulima kuuza mazao yao nje ya nchi ili kufaidika na ukuaji wa bei ya soko katika nchi za Afrika...
Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 inaelekeza kuwapatia wananchi waishio vijijini maji safi na salama katika umbali usiozidi mita 400 kutoka kwenye makazi yao....
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amelazimika kuingilia kati mvutano ulioibuka bungeni kuhusu tofauti ya bei ya sukari kati ya Tanzania bara na Zanzibar na...
Imeelezwa kuwa wasichana katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wako katika hatari ya kukatisha masomo na kutofikia ndoto zao kielimu kutokana na tatizo la mimba za...
Serikali imesema kinachofanya mafuta ya kula kuadimika katika baadhi ya maeneo nchini, ni kutokuwepo kwa makubaliano ya kodi na wafanyabiashara wanaoagiza mafuta hayo kutoka nje ya...