Jukumu la kumlea na kumtunza mtoto ni la wazazi wote wawili yaani baba na mama. Matunzo hayo yanaanza mama anapokuwa mjamzito mpaka siku ya kujifungua. Katika...
Ni matamanio ya kila mtu kuwa na afya bora itakayomuwezesha kuishi maisha marefu ili kutimiza kusudi la kuja duniani. Lakini mtindo wa maisha usiozingatia kanuni za...
Nakumbuka nikiwa mdogo, nilikuwa naambiwa kama nimepata jeraha au kidonda basi nikiache wazi ili kipate hewa safi hasa kama kidonda ni kibichi. Sikuwa na ufahamu kuhoji...
Ni zile zinazowataka wamiliki wa blogu na runinga za mtandaoni kupata leseni toka serikalini Wanaharakati wasema zinakiuka haki za msingi za binadamu Mahakama Kuu Kanda ya...
China imethibitisha kusitisha uagizaji wa maharage aina ya soya kutoka Marekani ikiwa ni hatua inazozichukua kujibu mapigo kwenye vita ya kibiashara inayoendelea baina ya mataifa hayo...
Intaneti iko kila mahali. Inapatikana ofisini, kwenye maduka makubwa, hata vituo vya mabasi utaipata huduma hiyo. Sio tena anasa lakini kiuhalisia ni fahari na haki ya...
Tanzania inaungana na nchi zingine duniani kusherekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani huku kukiwa sintofahamu ya uhai wa vyombo hivyo kutokana na baadhi...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amesema kutokuwepo kwa uwiano kati ya ukuaji wa uchumi na sekta ya kilimo ndiyo sababu kubwa ya wananchi...
Benki ya Dunia imesema wananchi milioni 600 hawana umeme kuendesha shughuli zao za maendeleo hali inayokwamisha ukuaji wa uchumi na upatikanaji wa huduma za kijamii. Siku...
Ni kawaida ya watu wengi kuangalia utabiri wa hali ya hewa kabla ya kutoka nyumbani na kwenda katika majukumu ya kila siku. Tunapata taarifa za hali...
Imeelezwa kuwa uhaba wa walimu na mlundikano wa wanafunzi katika madarasa ya awali ni kikwazo kwa Tanzania kutekeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu ya 2030 yanayohimiza utolewaji...
Imeelezwa kuwa muingiliano wa kisiasa katika kazi za kitaaluma kwenye ofisi za umma kunazuia wataalamu kufanya kazi kwa huru na kutoa huduma bora kwa wananchi. Kwa...
Kwa muda mrefu sasa wanawake wamekuwa wakiwajibika kutumia njia za uzazi wa mpango kuzuia mimba zisizo tarajiwa. Wengine wanatumia njia za muda mrefu kama vipandikizi, kukata...
Ni jambo la kushangaza tena la kustaajabisha! Ni kule mashariki ya mbali, rasi ya Korea. Nchi zenye uhasama mkubwa kisiasa ziliamua kuweka tofauti zao pembeni na...
Aprili 25 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya Ugonjwa wa Malaria. Lengo hasa ni kutathmini hatua zilizopigwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa ambao unaua maelefu ya...
Imeelezwa kuwa kukosekana kwa mfumo mzuri wa uwajibikaji na uwazi katika taasisi za serikali kumesababisha matumizi mabaya ya rasilimali za umma kama ilivyoibuliwa kwenye ripoti ya...
Ukuaji wa huduma za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao (mobile money) umetenegeneza fursa mpya kwa wafanyabiashara kutangaza na kuuza bidhaa na huduma zao. Moja...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametangaza kuipandisha hadhi Manispaa ya Mji wa Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 26, 2018....
Leo watanzania kutoka nchi mbili za Zanzibar na Tanzania Bara wanaungano kusherehekea miaka 54 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioasisiwa April 26, 1964 na viongozi...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kukithiri kwa mauaji, utekaji, uteswaji, ukatili, kuminywa kwa uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kujumuika ni matukio...
Kama ambavyo imekuwa ikielezwa na baadhi ya vyombo vya habari, wanawake wapo kwenye nafasi ya kupata msongo wa mawazo kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume. Pia kiwango...
Mikoa ya Iringa, Mbeya na Njombe imetajwa kuongoza kwa idadi kubwa ya wanafunzi yatima wanaondikishwa katika shule za mingi, jambo linaloweza kuongeza gharama za matunzo kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema licha ya kuwepo kwa sheria zinazoonekana kuminya uhuru wa mitandao ya kijamii, bado vijana wana nafasi kubwa ya kufaidika...
Serikali imeanza kutumia kadi alama ya lishe ili kuongeza uwajibikaji kwa watoa huduma itakayosaidia kupunguza tatizo la utapiamlo na udumavu kwa watoto nchini. Muhtasari wa hali...
Licha matumizi ya intaneti kuongezeka katika ukanda wa Afrika Mashariki, watumiaji wa mitandao ya kijamii hawatafaidika na huduma hiyo kutokana vikwazo vya kisheria vilivyowekwa na serikali...
Imeelezwa kuwa kukosekana kwa teknolojia ya kisasa na masoko ya mazao ni miongoni mwa changamoto zinazokwamisha ukuaji wa sekta ya kilimo nchini. Changamoto hizo zinachochewa na ...
Rais John Magufuli amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) aliyokabidhiwa haionyeshi upotevu wa trilioni 1.5 na kwamba ni upotoshaji unaofanywa na baadhi...
Unaweza kuwa umegundua kuwa ukikaa sehemu moja bila kubadilisha mkao hata kwa saa moja, miguu yako itaanza kupatwa na hali isiyo ya kawaida. Wengine wanaweza kuhisi...
Imeelezwa kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa watanzania kukosa huduma bora za afya kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kutokana na kupunguzwa kwa bajeti ya Wizara ya Afya,...
Kugundua kwamba una saratani au ndugu yako ana saratani huwa ni kipindi kigumu sana maishani. Saratani imekuwa janga kubwa sana duniani na hujitokeza katika namna tofauti....
Matukio ya watu kujiua yameendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali nchini. Watu ambao wanaondoa uhai wao kwa kunywa sumu, kujinyonga au kujirusha kwenye majengo marefu, sio mambo...
Kufuatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuibua upotevu mkubwa mapato Serikalini wa trilioni 1.5, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejitokeza kutoa...
Watu wanaweza kupata mzio wa vitu au vyakula katika namna mbili; Kwanza, wanawaweza kuwa na mzio wa kitu fulani tangu kuzaliwa (Hii ni kutokana na vinasaba...
Maji ni uhai. Ni uhai kwasababu yanabeba dhana nzima ya mwanadamu yeyote kuishi na kufanya shughuli zingine za maendeleo. Pia maji ni uhai kwasababu yanagusa sekta...
Kutokana na kudorora kwa soko la nje la mbaazi, Serikali imewataka wakulima kutafuta na kuimarisha soko la ndani kwa kutumia kama chakula ili kujenga na kuimarisha...
Kama umewahi kupanda au kuiona ndege, utakuwa umegundua kuwa ndege nyingi zina rangi nyeupe. Hata kama zimepakwa rangi nyingine lakini nyeupe haiwezi kukosa. Lakini umewahi kujuuliza...
Kwa muda mrefu sasa intaneti imekuwa ni jukwaa muhimu la kuwaunganisha watumiaji wa mitandao ya kijamii duniani kote; kupashana habari na kupadilishana uzoefu wa kijamii, kiuchumi,...
Jukumu la kutunza familia ni la wazazi wote wawili yaani mwanaume na mwanamke. Lakini majukumu ya mwanamke huongezeka pale anapopata ujauzito, hulazimika kumlea mtoto aliyepo tumboni...
Imeelezwa kuwa watanzania watalazimika kusubiri kwa muda mrefu ili kupata huduma bora za afya kutokana na uchache wa vituo vya kutolea huduma hizo ambavyo haviendani na...
Kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa nchini Marekani, watu wanaopoteza utajiri au mali zao ghafla wana uwezekano mkubwa kufa mapema kuliko wale ambao wanafirisika taratibu. Utafiti...
Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuweka mazingira mazuri ya utendaji wa sekta ya fedha ili kuongeza wigo wa uzalishaji, biashara na uwekezaji wa mitaji utakaochochea ukuaji wa...
Wasomi nchini wamesema kuyumba kwa msingi ya umoja wa kitaifa, uwazi na uwajibikaji miongoni mwa viongozi na wananchi ni kikwazo kwa Tanzania kujenga amani ya kudumu...
Baada ya China kufunga biashara ya pembe za ndovu, mtandao wa watumiaji wa teknolojia duniani wameungana kukomesha biashara hiyo haramu na bidhaa zake inayofanyika mtandaoni. Hatua...
Hatimaye mawaziri wa wizara zilitajwa kwenye ripoti ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) waanza kujitetea juu ya matumizi mabaya ya...
Kuna vitu vingi vya kuzingatia unapomchagua mtu kuwa mwenza wa maisha yako. Jambo mojawapo la kuangalia ni kundi la damu. Sio kitu kinachozingatiwa na watu wengi...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad amewataka wabunge kuihoji serikali kwa kushindwa kutekeleza bajeti ya mwaka 2017/2018 licha ya ukusanyaji...
Hatimaye wakazi wa vijiji vinne vya kata ya Namasakata wilayani Tunduru wameondokana na tatizo la ukosefu wa maji ya uhakika baada ya Benki ya Dunia (WB)...
Kila nchi inafanya juhudi mbalimbali kuwapa Askari wake vifaa vya kisasa kuimarisha utendaji wao. Hapo zamani, Polisi walikuwa wanatumia bastola au bunduki tu lakini Askari wa...