Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) imeitaka serikali ya Tanzania kudumisha amani, utulivu na misingi ya demokrasia kwa kuhakikisha inawachukulia hatua za kisheria wale wote wanaohusika...
Kufuatia msiba wa mwanafunzi wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) aliyeuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala wakati wa maandamano ya wanachama wa Chama cha...
Licha ya taasisi ya Twaweza kuonyesha rushwa imepungua kwa asilimia 80, taasisi nyingine imejitokeza na kudai kuwa juhudi za kutokomeza rushwa nchini hazionyeshi mweleko mzuri kwasababu...
Gari ni chombo cha usafiri ambacho hutumiwa na watu kwa shughuli mbalimbali. Gari linapoanza kutumika unakuwa mwanzo wa kupungua kwa thamani yake kulingana na matumizi ya...
Rais John Magufuli amewasili nchini Uganda kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaotarajiwa kuanza ijumaa na kutawaliwa na ajenda ya kusainiwa...
Hatimaye China imeanza mpango wa kuzalisha mazao ya punda katika miji yake ili kukabiliana na zuio la baadhi ya nchi za Afrika ambazo zimepiga marufuku usafirishaji...
Ripoti ya shirika la Chakula Dunia (FA0-2017) imeeleza kuwa ili Tanzania na nchi nyingine za Afrika zikamilishe Malengo Endelevu ya 2030 wanashauri kuzigeukia jamii za watu...
Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamewasili kwa mahojiano katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kufuatia wito wa Jeshi la...
Upepo wa mabadiliko unaendelea kuvuma Afrika hasa katika nchi zinazotarajia kufanya uchaguzi siku zijazo. Lakini mabadiliko ya madaraka sio kipimo chautawala bora kwasababu kwa Afrika sura...
Licha ya wazazi wengi wa Tanzania kuwapeleka watoto wao kusoma katika shule za serikali, imebainika kuwa kwa wazazi nchini Kenya ni tofauti; wengi wao wanapendelea kuwapeleka...
Daniel Samson Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 100 duniani zenye idadi kubwa ya watu ambao wanatumikishwa kwenye shughuli za ‘utumwa wa kisasa’ ambapo hali hiyo...
Hatimaye tuzo ya uongozi bora ya Afrika imechukuliwa na Rais wa zamani wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf kutokana na utawala bora, mageuzi ya kisiasa na uchumi...
Je, asilimia 92 ya watoto nchini Tanzania wanapata lishe duni? Kwa mujibu wa Rikke Le Kirkegaard, mtaalamu wa maswala ya Afya anayefanya kazi na shirika la ...
Je, unapenda kuishi maisha marefu zaidi na kuendelea kufurahia uhai na raha za dunia hii? Basi jibu lake ni dogo tu; “kodolea matiti ya wasichana wadogo.”...
Zaidi ya shilingi trilioni 10 zinazotolewa bure kwa rais mstaafu wa nchi ya Afrika aliyetenda vyema kwenye uongozi wake, huenda zikachukua miaka mingi kuchukuliwa na viongozi...
Familia nyingi za watu walio vijijini ni za wafugaji wa wanyama kama ng’ombe, kuku, mbuzi, kondoo lakini zinaishi katika umasikini uliokithiri licha ya kuwa na rasilimali...
Na Daniel Samson “Nilipomaliza shule nikaanza mahusiano na huyo mwanaume, basi katika kipindi cha wiki tano nikajigundua sijielewi kutokana na mabadiliko niliyopata”, hayo ni maneno ya...
Licha ya bunge kupitisha Sheria ya Kuzuia Utakatishaji Fedha ya mwaka 2006, imeelezwa kuwa serikali ya Tanzania haina mfumo mzuri wa sheria wa kuweka wazi wanufaika...
Hotuba ya bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji ya mwaka 2017/2018 inaeleza kuwa asilimia 86 ya watu wanaoishi mijini na asilimia 72.58 ya vijijini katika...
Ulimwenguni kote inakadiriwa kuwa wanawake na wasichana milioni 200 wamekeketwa na kuwaachia madhara ya kisaikolojia, kiafya na kijamii. Kwa mujibu wa shirika la Idadi ya watu...
Siku ya Saratani duniani inaadhimishwa Februari 4 kila mwaka. Shirika la Afya Duniani (WHO) linakadiria kuwa, kila mwaka wagonjwa wapya wapatao 50,000 hugundulika na saratani za...
Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu...
Siku chache zilizopita Rais John Magufuli alipiga marufuku michango ya aina yoyote katika shule za msingi na sekondari nchini kwa madai kuwa serikali inatoa elimu bila...
Mahamaka ya Rufani imemwondolea Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) mamlaka ya kisheria ya kuzuia dhamana kwa washtakiwa wa makosa mbalimbali kabla ya kesi zao kutolewa uamuzi. Hatua...
Imeelezwa kuwa matukio ya watu kunywa sumu yameongezeka nchini na kuchangia vifo vya watu wanaokufa muda mfupi kabla ya kupatiwa huduma ya kwanza. Sumu ni kitu...
Wale wanaotajwa mara kwa mara kuwa ni “watu wasiojulikana” walikwama kumfikia na kumuua Tundu Lissu, akiwa amelazwa Hospitali ya Nairobi, Kenya. Taarifa za uhakika kutoka Nairobi zinaeleza...
MENGI yaliandikwa, yanaandikwa na yataandikwa kuhusu maisha, elimu, kazi, familia na ushiriki wake katika siasa za Tanzania na maeneo mengine. Anayezungumzwa hapa ni Kingunge Ngombale Mwiru;...
Watu wanaofanya mazoezi ya kukimbia na kutembea wana mambo mengi yanayofanana. Wote wanatumia njia mbalimbali kufikia malengo ya kuimarisha afya ya mwili. Changamoto inajitokeza ni kwenye...
Na Daniel Samson Kulingana Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 sehemu ya pili (II) inatoa wajibu na majukumu ya mzazi katika kumlea mtoto ambapo inaeleza kuwa...
Viongozi wa Afrika wamekubaliana kuondoa vikwazo vya lishe vinavyowazuia watoto na jamii kutambua na kutumia rasilimali zilizopo katika nchi zao. Viongozi hao walifikia uamuzi huo katika...
Rais John Magufuli amezindua rasmi utolewaji wa hati ya kusafiria ya kielektroniki ambayo itakuwa inapatikana kwa sh. 150,000 na itadumu kwa miaka kumi. Uzinduzi huo umefanyika...
Inaelezwa kuwa ukosefu wa taarifa na ushirikishwaji mdogo wa wananchi katika uandaaji na utekelezaji wa bajeti ni kikwazo katika usimamizi wa rasilimali za umma. Kulingana na...
Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka 2017 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 7.22 huku vitendo...
Diplomasia ni nguzo muhimu ya kuimarisha mahusiano na mataifa mengine ya kikanda na kimataifa. Kwa kutambua hilo viongozi wetu tangu taifa letu linapata uhuru waliweka misingi...
Siku chache baada ya kuripotiwa kwa wanafunzi 299 wa shule ya msingi Mitambo wilayani Mtwara kusomea chini ya miti, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezitaka halmashauri zote nchini kuboresha huduma za dharura za uzazi katika vituo vya afya...
Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG)aliyestaafu, Ludovic Utouh amesema mapambano ya rushwa nchini yanakwamishwa na biashara baina ya serikali na sekta binafsi hasa kwenye...
Tafsiri sahihi ya maendeleo inabaki kuwa gumzo katika jamii zetu. Wengi wetu hudhani tafsiri sahihi ya maendeleo ni vitu (material things) na wengine hudhani kuwa maendeleo...
Una majuto yoyote? Naamini watu wengi wana majuto (regrets) kwasababu wamefanya baadhi ya maamuzi yenye matokeo hasi au hawakufanikiwa kupata yale waliyoyatarajia yangetokea katika maisha yao....
Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) imesema urahisi wa kuanzisha biashara nchini Tanzania uko chini ya wastani unaotakiwa na nchi za Kusini mwa Jangwa...
Mapema Januari 2018 vituo vitano vya runinga vilipigwa faini ya jumla ya shilingi milioni 60 baada ya Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya udhibiti wa Mawasiliano...
Kuna uhusiano gani kati ya bodaboda na ongezeko la mimba za utotoni kwa wasichana wanaosafiri umbali mrefu kwenda shule? Gazeti la The Guardian la Tanzania, linawaweka waendesha...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesimamisha utoaji wa hati za kusafiria za makundi ya vijana wanaosafiri kwenda nje ya nchi kwa kuwa wananyanyaswa na...
Kila mtu anapenda chokoleti (chocolate). Labda sio kila mtu lakini watu wengi wanapenda. Zao la kakao ambalo hutokana na mti wa Theobroma ndio hutumika kutengenezea chokoleti...
Kampuni ya madini ya Acacia Mining imetoa ripoti ya uzalishaji dhahabu kwa robo ya mwisho ya mwaka 2017 ikionyesha kushuka kwa uzalishaji wa dhahabu hadi kufikia...
Daniel Samson Baadhi ya wananchi waishio vijijini wataendelea kusubiri kupata huduma ya maji ya uhakika kwa muda usiojulikana kwasababu ya kukosekana kwa takwimu za utendaji wa...
Wakati serikali ya Tanzania ikitekeleza sera ya elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, serikali ya Morocco inakusudia kupeleka mswada wa sheria bungeni ili kufikia...
Nchini Tanzania msichana wa shule ya msingi na sekondari akipata mimba ndio inakuwa mwisho wa masomo yake. Anafukuzwa shule na haruhusiwi kuendelea na masomo hata baada...