FOLENI za Jiji la Dar es Salaam zimenifanya nijifunze mambo mengi sana ya kijamii. Kwa jinsi zilivyo ndefu, hususan hii ya Barabara ya Mandela kama unatoka...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amesema anataka kuona Watanzania wakisafiri kwa Bajaj kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam baada ya kuimarishwa...
RAIS John Magufuli ametishia kufunga migodi yote inayomilikiwa na wawekezaji kutoka nje ikiwa wawekezaji hao watashindwa kuanzisha mazungumzo haraka juu ya umiliki wao pamoja na kodi...
WAKAZI wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamesema hawataamini ahadi ya serikali ya kujenga barabara ya Mpemba-Isongole mpaka watakapoona imekamilika, kwani wamemchoka na ahadi nyingi zisizotimia.
TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars, inatakiwa kucheza kufa au kupona katika mechi dhidi ya Rwanda Jumamosi, Julai 22, 2017, na ushindi tu ndio utakaoivusha...
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imejiweka katika mazingira magumu ya kufuzu kwa fainali za Mashindano ya Afrika kwa wachezaji wa klabu...
IKIWA imetoka kulamba Dola za Marekani 10,000 kwa kushinda nafasi ya tatu katika Mashindano ya Kombe la Castle la Baraza la Soka kwa Nchi za Kusini...
TIMU ya Taifa, Taifa Stars, jana usiku Ijumaa, Julai 7, 2017 ilifanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Kombe la Castle yanayoandaliwa na Baraza la...
“NANI kauona mwaka! Nani kauona mwaka! Ni majaliwa yake Mungu eeeh, kuuona mwaka!…” Haya ni mashairi ya wimbo wa ‘Nani Kauona Mwaka’ uliotungwa na Shaaban Dede...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeamua kukunjua makucha yake na kuyaelekeza kwenye sekta ya michezo nchini Tanzania ambapo tayari inawashtaki watu watano kwa...
ASKOFU Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Blaston Gaville, amesema Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itafuta ufisadi...
ZAMA za kuwepo kwa mbolea zisizo na viwango zinaweza kuwa historia ikiwa kanuni za ununuzi wa pamoja wa mbolea zinazoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea...
BAADA ya rufaa yake kutupwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), hatimaye Simba wamejifariji kwa kunyakua Kombe la Shikirisho la Azam kwa kuifunga Mbao FC...
NDOTO za Simba kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara ‘mezani’ zimegonga mwamba baada ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kuitupilia mbali rufaa yake ya kupinga kunyang’anywa...
KAMATI ya Saa 72 ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeilima faini Yanga ya jumla ya Shs. 5 milioni kutokana na vitendo visivyo vya kiungwana michezoni,...
JUMATANO, Mei 24, 2017 Rais Dkt. John Magufuli alimtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ajiuzulu mara moja kufuatia upotevu wa mabilioni ya fedha...
Humphrey Polepole, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Itikadi na Uenezi, anawadharau Watanzania. Anabeza uwezo wao wa kufikiri, anadhani yeye anajua zaidi pengine...
Serikali ya Rais Dk. John Pombe Magufuli imekiri kukabiliwa na ukosefu wa fedha, hali inayoathiri utekelezaji wa shughuli zake za kila siku. Kauli hiyo imetolewa leo...
KUHARIBIKA kwa kondo la nyuma, kuharibika kwa mfuko wa neva na mimba zinazofuata, kuwa tasa, kufariki kwa mama au mama kuamua kujiua baadaye, ni miongoni mwa...
UWEPO wa watoto katika familia ni furaha kwa wanandoa, wengi huamini kuwa watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Wazazi wanawekeza fedha na muda mwingi kuwalinda na...
HUKUMU ya Kesi ya Kikatiba kuhusu Sheria ya Makosa ya Mtandao (Cyber Crimes Law) iliyofunguliwa na kampuni ya Jamii Media dhidi ya Jamhuri imeshindwa kusomwa leo....
JENERALI Kutona (32), mkazi wa Kijiji cha Ilolo wilayani Mpwapwa, analiangalia shamba lake kwa masikitiko baada ya kufunikwa na mchanga ulioletwa na mafuriko makubwa yaliyotokea usiku...
KWA muda mrefu kumekuwa na malumbano baina ya makundi mbalimbali ndani ya nchi kuhusu mfumo gani ambao Tanzania inaufuata katika kufikia maendeleo yanayohitajika. Wengi wanajiuliza, je,...
UHAKIKA na usalama wa chakula kwa jamii nyingi nchini Tanzania ni jambo linalopewa kipaumbele kwa ajili ya maendeleo ya uzalishaji na kuepukana na umaskini. FikraPevu inatambua...
WENGI wetu tunadhani ili kuwa wa kisasa na kupata maendeleo lazima tuwe kama nchi za Magharibi, hasa Marekani, lakini ukweli hauko hivyo. Tunafikiri kuacha na kuua...
WATU wanne, wakiwemo watatu wa familia moja, wamepoteza maisha katika mafuriko yaliyotokea wilayani Mpwapwa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, FikraPevu inaripoti. Taarifa kutoka...
UJIO wa Sheria ya Makosa ya Mtandao (The Cyber Crimes Act, 2015) ambayo ilipitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano karibu saa 6 usiku Jumatano, Aprili...
SERIKALI ya awamu ya tano imeonyesha dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko, na safari hii imeamua kuubadili mji wa Chato, nyumbani kwa Rais John Magufuli, kuwa...
MACHI 23, 2016 vyombo vya ulinzi na usalama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) vilifanikiwa kuwanasa wafanyabiashara wawili ndugu, raia wa Uholanzi wakiwa...
SERIKALI imeanza kuushughulikia mgogoro wa ardhi kati ya mwekezaji wa lililokuwa Shamba la Mpunga la NAFCO na wananchi wa kijiji cha Kapunga wilayani Mbarali, imefahamika. Hatua...
IF you want the authenticity and uniqueness of history, especially the guerilla movements, then come to Congresso in Matchedje, in the Niassa Province, where the true...
KWA Grace Ntambo, suala la kujiunga na vikundi vya akinamama au vyama vya kuweka na kukopa (SACCOS) ni msamiati mgeni kwani hajui kikundi chochote. Grace (25),...
Four years to go before the year 2015 but still Tanzanian children are struggling to fully achieve the second United Nations Millennium Development Goal of Universal...
Wazee kama hawa wanapaswa kuenziwa kutokana na busara zao badala ya kuwanyanyasa. Vijana wanatakiwa kujifunza kutoka kwao ili kujenga taifa lenye nidhamu, busara na hekima. Tusiwadharau...
Kuwasaidia wazazi ni kujifunza, hivyo lazima vijana washiriki kikamilifu kazi za nyumbani kwa kuzingatia umri na uwezo wao. Huo ndio msingi mkubwa wa kuweza kujitegemea hapo...
Jamani eee, Tanzania inasherehekea miaka 50 ya Uhuru (wa Tanganyika) lakini haya ndiyo maisha halisi ya Mtanzania. Wengi wetu tunatokea huko ingawa tukiwa mjini huwa hatupendi...
FOR Jacqueline Mwamfupe*, a sex hooker plying her business at the Mbeya Carnival Night Club, love has turned to be the pleasures of the past as...
IT’S about 11:26hrs when I mount off a Honda 250R motorbike after about 100km drive from Mbeya to Kapunga village, about 26km from Chimala town where...
The Tanzania government has been advised to draft laws to curb acquisition by foreigners of extensive tracts of the country’s fertile agricultural land as foreign direct...
“LOOK! I have been telling you guys everyday to come early so that I could give you money. You are late and I have no money...