Hivi karibuni tumeshuhudia matukio kadhaa ya vifo kwa wanandoa, aidha mume kumuua mke wake au mke kumuua mume wake. Ni matukio ya kusikitisha ambayo yameripotiwa sehemu...
Hivi karibuni Rwanda imebadili Sheria yake ya mwaka 2009 iliyokuwa inakataza umiliki na uuzwaji wa silaha za moto. Sheria mpya ya silaha za moto nchini humo...
Wagiriki wana tafsiri yao demokrasia kama ‘uongozi wa watu’. Na tafsiri ya kisasa inaelezeaza demokrasia zinasema ni mfumo wa serikali unaoongozwa na watu moja kwa moja...
Hivi karibuni Rais John Pombe Magufuli aliweka bayana namna anavyochukia ubinafsishaji wa nyenzo za uzalishaji kama ilivyofanywa na watangulizi wake. Akieleza wazi ya kuwa, watangulizi wake...
Mataifa mengi yaliyopiga hatua za maendeleo waliwekeza vilivyo katika tafiti. Tafiti hizo zilitokana na mapato ya ndani ya nchi hizo husika na hazikutokana na misaada ama...
HIVI karibuni, Rais John Pombe Magufuli alitoa agizo kwamba hakuna mwanafunzi aliyepata ujauzito atarudi shule kuendelea kwa masomo kwa kuwa serikali haiwezi kusomesha wazazi.
JUMA lililopita, Rais John Pombe Magufuli alitoa agizo ya kuwa hakuna mwanafunzi aliyepata ujauzito atarudi shule kuendelea kwa masomo kwa kuwa serikali haiwezi kusomesha wazazi. Wito...
KWA takribani miaka mia mbili na zaidi dunia imetawaliwa na mfumo mmoja wa kuleta maendeleo ukiasisiwa kwa mawazo na shinikizo kutoka kwenye nchi za Magharibi na...
Nilipata fursa ya kusikiliza kongamano lililoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika lililofanyika nchini Rwanda mwaka 2014. Kongamano hilo lililoandaliwa kama sehemu ya kuazimisha mwaka wa...
Tanzania iliadhimisha siku ya maadili na haki za binadamu tarehe 10 Desemba katika sehemu mbalimbali za nchi ambapo kilele chake kilifanyika Mnazi mmoja Dar es Salaam....
SERA ya Taifa ya Wazee Tanzania (2003), inaeleza kwamba ‘mzee’ ni mtu mwenye umri wa miaka 60 na zaidi. Zaidi ya hapo, Sensa ya Taifa...
Tanzania kwa muda mrefu sasa tangu ipate uhuru imekuwa ikipata mikopo na misaada mbalimbali kutoka kwa mataifa ya kibepari ambayo leo tunayaita wahisani wa maendeleo kwa...
Siku za hivi karibuni tumesikia ugunduzi wa madini ya aina mbalimbali hapa kwetu Tanzania. Mpaka sasa tumesikia ugunduzi wa madini adimu duniani kama vile Graphite, Niobium...