KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mkazi mmoja wa mtaa wa Bugarika jijini Mwanza, Malimi Mathias ameuawa kikatili kwa kuchinjwa kisha kuachanishwa kichwa na kiwiliwili.
MIEZI michache baada ya wanafunzi wa Shule ya Sengerema Sekondari iliyopo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, kufanya maandamano kisha kuharibu baadhi ya mali za shule hiyo, wakidai...
SAKATA la nani achinje nyama kati ya Waislamu na Wakristo bado linaonekana kuwa bichi, ambapo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale...
KWA mara nyingine tena, Serikali imeingia hasara baada ya Meli yake ya Mv. Victoria inayofanya safari zake kutoka Jijini Mwanza kwenda Bukoba mkoani Kagera, kuwaka moto...
UDHAIFU umejitokeza ndani ya Wizara ya Uchukuzi baada ya Waziri wa Wizara hiyo, Dk. Harrison Mwakyembe kuigeuka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), kuhusiana na usimamishwaji wa...
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa huo, Injinia Evarist Welle Ndikilo, ametofautiana na maagizo ya...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Umoja wa Makanisa ya Kikristo Jijini Mwanza, umetoa tamko kali kwa kuwataka waumini wa dini hiyo kutokula nyama yoyote iliyochinjwa wa...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepata pigo kubwa baada ya Mahakama kuwaweka ndani Diwani wa Kata ya Kirumba jijini Mwanza, Dan Kahungu pamoja na Katibu...
MBUNGE wa Jimbo la Ilemela Jijini Mwanza, Highness Kiwia (CHADEMA), ameizuia kampuni ya Nyanza Roadworks ya jijini hapa, kujenga daraja la Bigibaiti lililopo Kilimahewa, baada ya...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Mbunge wa Viti Maalumu, Leticia Mageni Nyerere (CHADEMA), amejikuta akimwaga machozi hadharani, baada ya kutembelea na kujionea mrundikano mkubwa wa wanafunzi...
WAZIRI wa zamani wa Maliasili na Utalii, na mbunge wa zamani wa Jimbo la Ilemela jijini Mwanza, Anthony Mwandu Diallo, ameibuka mshindi kwa kura 611 katika...
UCHAGUZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), nafasi ya Uenyekiti mkoa wa Mwanza umeingia dosari baada ya basi walilokuwa wamepanda wajumbe kutoka Wilayani ya Kwimba mkoani hapa,...
SIKU moja baada ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza (RPC), Liberatus Barlow (52), kuuawa na kundi la watu wanaosadikiwa kuwa majambazi, taarifa zinasema polisi...
UTATA mkubwa umegubika mauaji ya Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza (RPC), Liberatus Barlow ikiwa ni pamoja na utambulisho wa mwanamke aliyekuwa na marehemu kabla na wakati...
MADEREVA wa magari madogo ya kusafirisha abiria, maalufu kwa jina la ‘daladala’ Wilayani Tarime mkoani Mara, wamegoma kusafirisha abiria wakishinikisha Mamlaka ya Usafiri wa nchi Kavu...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, kimesisitiza kuwa msimamo wake wa kumtaka mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani hapa, Benald Polcarp kujivua 'gamba'...