Imeelezwa kuwa hazma ya serikali kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa viwanda inaweza isifanikiwe kutokana na ongezeko la deni la taifa na kutofikiwa kwa malengo ya ukusanyaji...
Inaelezwa kuwa watanzania wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali ikiwemo kansa kutokana na matumizi ya bidhaa bandia zinazozalishwa kwenye viwanda vya ndani na nje ya nchi. Shirikisho...
Katika kile kinachotajwa kuwa ni vita ya kiuchumi, Marekani imekosoa mfumo wa utoaji misaada na mikopo wa China kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania ikidai kuwa...
Na Daniel Samson Shirika la Global Witness limeeleza kuwa watu 197 waliuawa mwaka uliopita kwa kutetea matumizi mazuri ya ardhi, wanyama pori na rasilimali asilia. Shirika...
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine duniani inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa ambayo yameathiri shughuli za kilimo ambazo zinategemea mvua msimu. Kutokana na...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amesema nchi inakabiliwa na ukuaji mdogo wa sekta ya kilimo ambao unakwamishwa na ukosefu wa miundombinu ya umwagiliaji...
Daniel Samson Licha ya kuimarika kwa mapambano dhidi ya rushwa nchini, Tanzania bado iko kwenye kiwango cha juu cha uhalifu wa kiuchumi na udanganyifu mali unaotokea...
Serikali ya Tanzania imekubaliana na Washirika wa Maendeleo kurejesha uhusiano wa karibu na wenye tija ili kusaidia kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Maendeleo...
Benki ya Dunia imeizishauri nchi za Africa ikiwemo Tanzania kuboresha mfumo wa utendaji wa taasisi za umma, miundombinu na kuwekeza kwenye rasilimali watu ili kukuza uchumi...
Hatimaye China imeanza mpango wa kuzalisha mazao ya punda katika miji yake ili kukabiliana na zuio la baadhi ya nchi za Afrika ambazo zimepiga marufuku usafirishaji...
Ripoti ya shirika la Chakula Dunia (FA0-2017) imeeleza kuwa ili Tanzania na nchi nyingine za Afrika zikamilishe Malengo Endelevu ya 2030 wanashauri kuzigeukia jamii za watu...
Familia nyingi za watu walio vijijini ni za wafugaji wa wanyama kama ng’ombe, kuku, mbuzi, kondoo lakini zinaishi katika umasikini uliokithiri licha ya kuwa na rasilimali...
Licha ya bunge kupitisha Sheria ya Kuzuia Utakatishaji Fedha ya mwaka 2006, imeelezwa kuwa serikali ya Tanzania haina mfumo mzuri wa sheria wa kuweka wazi wanufaika...
Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG)aliyestaafu, Ludovic Utouh amesema mapambano ya rushwa nchini yanakwamishwa na biashara baina ya serikali na sekta binafsi hasa kwenye...
Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) imesema urahisi wa kuanzisha biashara nchini Tanzania uko chini ya wastani unaotakiwa na nchi za Kusini mwa Jangwa...
Kila mtu anapenda chokoleti (chocolate). Labda sio kila mtu lakini watu wengi wanapenda. Zao la kakao ambalo hutokana na mti wa Theobroma ndio hutumika kutengenezea chokoleti...
Kampuni ya madini ya Acacia Mining imetoa ripoti ya uzalishaji dhahabu kwa robo ya mwisho ya mwaka 2017 ikionyesha kushuka kwa uzalishaji wa dhahabu hadi kufikia...
Ukosefu wa takwimu zinazojitosheleza za meli, maeneo ya bahari zinakoendesha shughuli za uvuvi umekuwa kikwazo kwa serikali za nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania kukabiliana na ...
Tanzania imeshauriwa kuboresha huduma za usafiri wa anga kwa kulegeza masharti ya upatikanaji wa vibali vya kuingia nchini ili kutanua wigo wa ukuaji wa sekta ya...
Benki ya Dunia (WB) imesema Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi duniani ambazo uchumi wake unakua kwa haraka lakini inapaswa kudhibiti ongezeko la deni la taifa...
Wakaazi wa wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi wanategemea zao la korosho kama zao kuu la biashara na kusahau mazao mengine yanayoweza kubadili maisha yao kiuchumi....
Licha ya Tanzania kupiga marufuku uchinjaji wa nyama ya punda, inaelezwa kuwa biashara ya uuzaji wa punda inaendelea kwa njia zisizo halali kutokana na uhitaji mkubwa...
Licha ya pato la ndani la bara la Africa kwa sehemu kubwa kuchangiwa na uchumi usio rasmi, serikali na mashirika ya kimataifa yakiwemo Benki ya Dunia...
Licha ya bara la Afrika kumiliki hazina kubwa ya madini, inachangia asilimia 8 tu madini yote yanayotengenezwa duniani. Inakadiriwa kuwa asilimia 30 ya madini yote yanayochimbwa...
Wataalamu wa Shirika la Kimataifa la fedha (IMF) wameishauri Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kupitia na kuondoa utata wa takwimu za ukuaji wa uchumi ilizozitoa...
Inaelezwa kuwa vikosi vya jeshi la Tanzania kuendelea kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Congo DRC) licha ya kupoteza wanajeshi wake 14 katika shambulio...
Wakazi katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania wamekuwa wakitegemea kilimo cha mazao ya chakula kama chanzo cha kipato na kuendesha familia zao. Licha ya juhudi za wakulima...
Ongezeko la gharama za uendeshaji wa benki na masharti mapya ya kodi yaliyowekwa na serikali kwa taasisi za fedha yametajwa kuathiri mwenendo wa utoaji mikopo kwa...
Ili kukuza pato la ndani la Taifa (GDP), Serikali imeshauriwa kutengeneza mfumo wa kulinda viwanda vya ndani kwa kudhibiti bidhaa zinazoagizwa nje ya nchi ili kuboresha...
Imeelezwa kuwa mipango mingi ya serikali inakwama kutokana na kutopatikana kwa takwimu sahihi za maendeleo zinazokusanywa na kuhifadhiwa na taasisi zilizopewa mamlaka kisheria kutoa takwimu za...
Pamoja na Tanzania kufaidika kiuchumi kutokana na ujenzi wa bomba la Mafuta toka Kabaale, Uganda hadi jijini Tanga, bado itapata hisa za asilimia 8 katika uendeshaji...
Licha ya uchumi wa Tanzania kuimarika na kuchangia kukua kwa pato la ndani la Afrika, Tanzania imetakiwa kuboresha miundombinu ya barabara ili kuwavutia wawekezaji kuwekeza katika...
Licha ya msimu mpya wa ununuzi wa zao la Korosho Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma kuanza, wakulima walalamikia ubovu wa barabara na uchache wa magari ya kusafirisha...
Umoja wa Ulaya (EU) umesema ili kuimarisha utendaji na ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania inatakiwa kutengeneza mazingira mazuri ya biashara yatakayovutia...
Hivi karibuni Rais John Pombe Magufuli aliweka bayana namna anavyochukia ubinafsishaji wa nyenzo za uzalishaji kama ilivyofanywa na watangulizi wake. Akieleza wazi ya kuwa, watangulizi wake...
Mataifa mengi yaliyopiga hatua za maendeleo waliwekeza vilivyo katika tafiti. Tafiti hizo zilitokana na mapato ya ndani ya nchi hizo husika na hazikutokana na misaada ama...
China taifa lililo Mashariki ya mbali lenye uchumi unaokuwa kwa kasi na kuwa miongoni mwa mataifa duniani yenye ushawishi mkubwa katika diplomasia ya kimataifa. Mafanikio ya...
Wakati mjadala ukiendelea juu ya hali ya uchumi nchini, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema uchumi wa nchi umeimarika na umekuwa kwa asilimia 6.8....
Ukosefu wa mikopo katika taasisi za fedha kumetajwa kama sababu mojawapo ya kuanguka kwa uzalishaji na soko la bidhaa katika sekta binafsi nchini. Hayo yamebainishwa leo...
Mlima Kilimanjaro umeshinda tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii Afrika mwaka 2017 na ushindi huo ni wa nne tangu mwaka 2013. Ushindi huo ulitangazwa katika hafla...
Nchi za Afrika Mashariki ni miongoni mwa nchi zenye gharama kubwa za uchukuzi na usafirishaji wa mizigo duniani. Gharama hizo kwa kiasi kikubwa zimepunguza ushindani wa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wananchi wanaosafirisha fedha taslimu zaidi ya milioni 22.5 (Dola 10,000 za Kimarekani) nje ya nchi kujaza fomu yenye maelezo kuhusu fedha...
Chaki ni bidhaa inayohitajika sana katika soko la Tanzania hasa kipindi hiki ambacho serikali imeweka mkazo kuinua ubora wa elimu kwa kuandikisha wanafunzi wengi. Chaki...
MAUZO ya saruji ya Dangote Cement, inayoongoza kwa uzalishaji wa saruji barani Afrika, yamepaa kwa asilimia 12.6 barani humo katika kipindi cha miezi sita kilichoishia Juni...
UFUNGASHAJI bora wa bidhaa za kilimo pamoja na uwekaji wa nembo umeleezwa kwamba ndiyo njia pekee itakayowakomboa wajasiriamali ili kuingia kwenye soko la ushindani.
MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya Namaingo Business Agency, Biubwa Ibrahim, amewataka akinamama wanatekeleza mradi wa Green Voices Tanzania kuwa wabunifu na kutokata tamaa katika shughuli wanazozifanya.
RAIS John Magufuli ametishia kufunga migodi yote inayomilikiwa na wawekezaji kutoka nje ikiwa wawekezaji hao watashindwa kuanzisha mazungumzo haraka juu ya umiliki wao pamoja na kodi...
WAKATI Rais Dkt. John Magufuli anatarajiwa kuuzindua Jumatatu, Julai 24, 2017, Uwanja wa Ndege Tabora sasa unatakiwa kujiendesha wenyewe baada ya ukarabati mkubwa uliogharimu Shs. 27...