UKOSEFU wa gari la zimamoto umekwamisha kuanzishwa kwa safari za ndege za Bombardier za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) mjini Mpanda katika Mkoa wa Katavi kama...
HIVI karibuni Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu ilizindua Programu ya Kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvukazi wa stadi za maisha kwa vijana mkoani Iringa ikiwa...
Africa's richest man, Aliko Dangote has assured Tanzania President John Magufuli further investment commitment in the country on top of his USD 600m cement plant based...
Rais Magufuli amesema kuwa Serikali itanunua ndege zaidi katika juhudi za kufufua Shirika la Ndege nchini(ATCL). Amesema Serikali itanunua ndege 4 zikiwemo ndege kubwa 3 ambazo...
Hatimaye Makampuni matano yanayomilikiwa na Mfanyabiashara Yusuf Mehbub Manji yameondolewa katika Jengo la Quality Plaza linalomilikiwa na Shirika la Hifadhi ya Jamii PSPF. Jengo hilo lipo...
UPEMBUZI yakinifu katika mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, Tanzania, umekamilika. Kazi hiyo ya kupembua, ilifanywa na Serikali ya India,...
Pichani ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adofl Mkenda amekaririwa akisema lazima kuwepo na mageuzi mapya ambayo ni magumu, ili kuufanya uchumi...
KARIBU asilimia 70 ya nyanya zinazozalishwa mkoani Irnga zinapotea kwa kuharibika kutokana na ukosefu wa masoko.
Serikali imesema kuwa japokuwa kuna malalamiko ya kukosekana kwa fedha mifukoni na ugumu wa maisha hali ya uchumi sio mbaya kama baadhi ya watu wanavyotaka kuiaminisha...
SAKATA la nani achinje nyama kati ya Waislamu na Wakristo bado linaonekana kuwa bichi, ambapo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale...
Leo naomba tutazame kwa kina hili suala la kwenda na wakati na la kiutandawazi ambapo benki za kibiashara na za umma zimeruhusiwa kuwafungulia akaunti za pesa...
Soko letu limekuwa likiwanufaisha zaidi wageni na wananchi wa nchi jirani ambao hulitumia kikamilifu kujinufaisha na wazalendo wengi kutoelewa nini kinachoendelea. Kwa wale waliokwisha jitosa, huwezi...
MBUNGE wa Jimbo la Ilemela Jijini Mwanza, Highness Kiwia (CHADEMA), ameizuia kampuni ya Nyanza Roadworks ya jijini hapa, kujenga daraja la Bigibaiti lililopo Kilimahewa, baada ya...
WAFANYABIASHARA wa soko kuu mjini Bukoba wamepewa muda wa miezi mitano kufanya maandalizi ya kuhama ikiwa kama kengele ya mwisho kabla ya soko halijabomolewa na kujengwa...
UTAJIRI wa gesi asilia Tanzania, unatishiwa na ufisadi ndani ya mfumo wa utawala na kuna taarifa za uhamishaji wa fedha zinazohofiwa kutokana na uwekezaji katika sekta...
MADEREVA wa magari madogo ya kusafirisha abiria, maalufu kwa jina la ‘daladala’ Wilayani Tarime mkoani Mara, wamegoma kusafirisha abiria wakishinikisha Mamlaka ya Usafiri wa nchi Kavu...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA)kwa kushirikiana na vyombo vya dola, imewakamata matapeli wanaolaghai watu kuwa wanawapatia ajira katika mamlaka hiyo huku wakiwatoza fedha nyingi, Fikra Pevu...
WALINZI wa kampuni ya uchimbaji madini ya Tancan Mining Limited inayoendesha shughuli zake katika mgodi wa dhahabu wa Buckreef Wilayani Geita Mkoani Geita, wamempiga na kumvunja...
SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya Mkoani Mara kupora mwili wa marehemu, Mgosi Magasi Chacha (30), aliyeuawa kwa kupigwa...
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya Mkoani Mara, kupitia askari wake wa FFU limelazimika kutumia nguvu pamoja na kuwatisha kwa silaha wananchi na...
WABUNGE wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa, wameitaka Serikali kuivunja mara moja Bodi ya Pamba nchini (TCB), kwa madai ya kushindwa kuwanufaisha wakulima wa hali ya...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu akihutubia mkutano wa Makatibu Muhtasi nchini (TAPSEA), leo jijini Mwanza. Waziri Nagu akifurahia...
WANACHAMA watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao walifungua kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza, Highness Kiwia (CHADEMA), katika Mahakama...
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt Cyril Chami amejitetea kwamba yeye na wizara yake hawamlindi Mkurugenzi Mkuu wa TBS Bwana Charles Ekelege kama alivyotuhumiwa na baadhi...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amefufua upya tuhuma za ufisadi ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti...
Naagiza TRA na vyombo vingine kuhakikisha vinafanyakazi zake vizuri ikiwa ni pamoja na kuwatia nguvuni wale wote watakaobainika kukiuka sheria na taratibu za uvuvi. Muda wa...
SERIKALI ya Tanzania, Burundi na Rwanda zimetiliana saini mkataba wa maridhiano ya pamoja katika kusimamia mradi mpya na mkubwa wa kuzalisha umeme, kwenye maporomoko ya maji...
Na Deogratius Kilawe 1. Kazi za magazeti ya udaku na mengine yasiyokuwa makini BAADHI ya taarifa katika vyombo vyetu vya habari huwa hazina umakini lakini utafiti...
Siku moja nilikuwa nabadilishana mawazo na vijana wenzangu kupitia email yangu, Je kwa siku wanatumia saa ngapi kufikiri? lakini hakuna hata mmoja aliyejitokeza na kusema kuwa...
UAMUZI wa Serikali wa kuizuia kampuni ya Lima Ltd kununua kahawa mkoani Mbeya umetajwa kuwa ni mbinu chafu zinazofanywa na watendaji wa serikali za wilaya na...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, watu wanne wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha nzito za kivita, wamevamia Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM), na kuiteka...
MJI wa Musoma mkoani Mara, umekumbwa na ukosefu wa nishati ya mafuta, hasa aina ya Petroli na mafuta ya taa, na kwamba hali hiyo imelazimika kufungwa...
SHIRIKA la Viwango nchini (TBS), limesema kwamba, limelazimika kuanzisha mpango mpya wa kudhibiti kabisa uingizwaji wa bidhaa zisizo na ubora hapa nchini, na kazi hiyo limeikabidhi...
WAZIRI wa Ujenzi, John Magufuli amemwagiza Mkandarasi anayesimamia ujenzi wa barabara ya lami kutoka Mission hospitali kwenda mjini Sengerema mkoani Mwanza, kuhakikisha anarudi mara moja kwenye...
JUMLA ya kaya 12I katika kitongoji cha Kabayondo Kata ya Kabirizi wilayani Muleba,zinatoa taswira ya hali mbaya ya uchumi wa mkoa wa Kagera ambao uko nafasi...
ASKARI wa kikosi cha zimamoto katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Masood Gadafi amezua tafrani ofisini kwake baada ya kukwidana na mteja wake na kisha akatafuna ...
MAMLAKA ya Maji Safi na Maji taka ya Manispaa ya Bukoba(Buwasa)haitoi huduma zake kwa kwa siku nne mfululizo baada ya Shirika la umeme (Tanesco) kuikatia umeme...
TARAFA za Ngorongoro, Sale na Loliondo zilizopo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha zinakabiliwa na baa la njaa. Mpaka sasa taarifa zinaonesha kuwa Tarafa ya Ngorongoro inahitaji zaidi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Juni 7, mwaka huu itatoa uamuzi wa kuyapokea au kutoyapokea kama kielelezo cha ushahidi magazeti yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mfanyabiashara Yusuf...
Wakati taifa bado linafuatilia habari za mgodi wa Barrick huko Tarime, habari nyingine ambazo zimepatikana zinadai kuwa viongozi 2 (mwenyekiti na Katibu) wa wafanyakazi kwenye mgodi...
MIGOGORO wa ardhi inazidi kuwa kero kubwa miongoni mwa wakazi wa Jiji la Mwanza ambapo wiki jana ( Mei 6) zaidi ya wananchi 100 kutoka mtaa ...
UTAFITI wa Taasisi ya Tanzania Horticultural (TAHA) umebaini kuwapo kwa masoko makubwa ya matunda na mbogamboga kwa nchi za Ulaya hususani mji wa Berlin nchini Ujerumani....
WAKALA wa barabara mkoani Kagera (TANROADS) imekiri kudaiwa mamilioni ya shilingi na wananchi walioathiriwa na upanuzi wa barabara ya Mutukula Muhutwe uliofanyika zaidi ya miaka kumi...
TAASISI ya utafiti wa samaki na uvuvi (TAFIRI) inadaiwa kukalia matokeo ya utafiti wa aina mpya ya samaki wanaofaa kupandwa katika ziwa Ikimba lililopo wilaya ya...
SAKATA la kati ya Mfanyabiashara Yusuf Manji na mifuko ya hifadhi ya jamii limeendelea na sasa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), umemtaka mfanyabiashara...
Rais Kikwete leo ameanza mlolongo mpya wa ziara za kutembelea wizara mbalimbali ili kujionea utendaji wa wizara hizo na kutoa maelekezo mbalimbali. Ziara hizi zinafanana kwa...
MMILIKI wa kampuni ya Dowans Tanzania Limited Brigedia Jenerali Suleiman Al Adawi amekataa kuzungumzia taarifa yake aliyoisoma mbele ya waandishi wa habari hasa kutokana na kile...
GAVANA wa Benki kuu ya Tanzania (BoT)Prof Benno Ndulu, amezungumzia ubora wa noti mpya zilizotolewa hivi karibuni na kukanusha taarifa za kuibiwa kwa sehemu ya noti...