JESHI la Polisi Mkoani Mwanza, limewakamata watu 15 wanaosadikiwa kuwakata mapanga wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Highness Kiwia (Ilemela), na Salvatori Machemli...
JESHI la Polisi Mkoani Mwanza, limeanza kuonekana kutaka 'kuwageuzia kibao' wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoani Mwanza, waliovamiwa na kukatwa mapanga na...
CHADEMA 32,972 Joshua Nassari (Mbunge Mteule); CCM 26,757 - Siyoi Sumari. Vyama vingine: AFP 139; UDP 18; TLP 18; DP 77; UPDP 22; NRA 35
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia mgombea wake Joshua Nasari, kinaongoza katika vituo vingi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki, huku mgombea wa...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, amesema sakata la ufisadi wa fedha za manunuzi ya...
WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoani Mwanza, Highness Kiwia (Ilemela), na Salvatori Machemli (Ukerewe), wamenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa...
WENZANGU wa MAJI YA CHAI- wazee wa kumiliki viumbe na vyombo vya angani, wajomba zangu KIKATITI wana wa visima na mwaka , wakubwa wa KINGORI wale...
Huu ni wakati wa Watanzania kutafakari nani anafaa kuwa Rais wao. Lakini kwangu mimi, Watanzania wenyewe watapima na kuona jinsi ninavyoendesha mambo yangu kwa uwazi zaidi...
Aliyekuwa Waziri Mkuu Bw. Edward Lowassa leo amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kuzomewa na mamia ya wananchi wa Arumeru wakati akitoka kuhutubia mkutano...
WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe Jumamosi Machi 31, 2012 wanatarajiwa kukabana...
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012. Fuatili kupata orodha...
WATU wanaosadikiwa kuwa majambazi wenye silaha wamemuua polisi aliyekuwa akilinda mgodi wa dhahabu wa Tulawaka unaomilikiwa na Kampuni ya Barrick wilayani Biharamulo Mkoani Kagera na kutoweka...
SERIKALI ya Marekani kupitia Ofisa wake wa Ubalozi Nchini Tanzania anayeshughulikia masuala ya Usalama Bw. Jeremy Yamin imekabidhi Jeshi la Polisi Tanzania msaada wa vitendea kazi...
Werevu hawasubiri mavuno ndipo wafanye tathimini, wapumbavu husubiri hadi nukta ya mwisho ya tone la mvua ndipo huamka kwamba mwaka huu ni wa njaa na kukurupuka...
Rekodi ya uongozi wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linapokuja suala la uchaguzi mdogo ni rekodi mbaya na ambayo ingetosha kabisa kusababisha uongozi...
WALIMU zaidi ya 200 wa shule za msingi na sekondari mkoani Mbeya wanalalamikia vitendo vya ufisadi unaofanywa na watendaji serikalini na kusababissha kukosa fedha zao za...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amefufua upya tuhuma za ufisadi ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti...
Naagiza TRA na vyombo vingine kuhakikisha vinafanyakazi zake vizuri ikiwa ni pamoja na kuwatia nguvuni wale wote watakaobainika kukiuka sheria na taratibu za uvuvi. Muda wa...
Serikali inawakumbusha wananchi wanaoishi mabondeni kuhama mara moja kutoka kwenye maeneo hayo hatarishi na kwenda kwenye maeneo salama ili kujikinga na maafa yanayoweza kusababishwa na mafuriko...
CHAMA cha watu wenye ulemavu wa ngozi Mkoani Kagera (Albino) kimeieleza timu ya Tathimini ya Utawala Bora Barani Afrika (APRM) kuwa watuhumiwa wakubwa wa mauaji ya...
Nimesoma na kurudia mara kadhaa taarifa ya chama cha madaktari kuhusu kusitisha mgomo na niseme kwamba nimeipenda upeo na heshima yangu kwa madaktari wetu imezidi mara...
Rais Jakaya Kikwete, amefanya kikao cha ghafla na uongozi wa madaktari ambao wameanza mgomo wao upya wakidai maslahi zaidi na kuboreshwa kwa mazingira ya kufanyia kazi...
Leo tutashuhudia kujaribiwa kwa Rais Kikwete kama kiongozi. Naamini hakuna kipimo kizuri cha uwezo wake wa kuongoza na kulishawishi taifa kama atakavyojaribu kuonesha njia ya kushughulikia...
Kuna kanuni ya msingi inagombaniwa katika mgomo huu wa madaktari ulioanza tena baada ya kusitishwa kwa muda wa wiki tatu. Kwamba je wananchi wa Tanzania watatawaliwa...
Tabaka kati ya wageni na wazawa linachangia harufu ya ubaguzi katika migodi ya madini. Katika mgodi wa dhahabu wa Tulawaka wafanyakazi wanatofautiana kwa kila hali kuanzia...
WAKILI maarufu nchini, Tundu Lisu jana aligeuka kuwa mbogo katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, inayosikiliza kesi ya kupinga matokeo ya ushindi wa Mbunge wa Jimbo...
A three day international climate media exhibition has ended at the Serena Hotel Kigali, Rwanda with a call to journalists in Africa to play the leading...
DOUGLAS Muhani, beki wa zamani aliyepata kuchezea klabu kadhaa za Tanzania pamoja timu ya taifa, Taifa Stars, anakumbuka siku ambayo yeye na wachezaji wenzake walipokesha makaburini...
Shilingi za kitanzania Milioni 336.7 za manunuzi zimeliwa maana matumizi yake hayakufuata utaratibu. Chanzo ni idara ya fedha, afya na wahusika wapo 12 na wametajwa kwa...
MJANE Specioza Kamala ameendelea kusotea mafao ya mume wake aliyefariki miaka 13 iliyopita, huku mwaka huu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ikimwandikia marehemu barua...
“Ni kwamba mimi nimeletewa malalamiko ofisini kwangu ; na siyo lazima niwasiliane na wenye nyumba kabla ya kuweka alama ya 'X' katika nyumba zao,” Manyerere (Meya...
Tume hiyo imewahoji viongozi hao baada ya kupokea maoni na malalamiko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya Bubare na Kakunyu ambao wameendelea kuharibiwa mali na makazi...
MAKAMANDA wa Jeshi la Polisi katika Mikoa minane ya Maziwa Makuu, wamekubaliana kwa pamoja kuhakikisha kila mmoja wao anapambana kikamilifu na tatizo la uhalifu wa kutumia...
WAKATI Mbunge wa Kyela na Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, analishutumu Jeshi la Polisi kwa kutotimiza wajibu kuhusiana na mambo mbalimbali ikiwamo uchunguzi kuhusu...
Ajali hiyo imetokea leo majira ya saa 10 jioni, ambapo inasadikiwa boti hiyo ilikuwa ikitoka Maisome kwenda Kahunda, na kwamba ilipofika katikati ya Ziwa, ilipigwa na...
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya kimataifa, Yanga na Simba, wako kwenye kampeni za Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kuanzia Jumamosi hii Februari 18,...
MWAKA 1999 nilikuwa mmoja wa waandishi niliyeshiriki kuhimiza kuwepo kwa mtindo wa taifa wa muziki badala ya kila bendi kupiga kivyake vyake na kushindwa kuupa taswira...
SHAURI la kudharau amri ya Baraza la Ardhi na Nyumba lililokuwa limefunguliwa na ‘bibi kizee’ mmoja jijini hapa, Moshi Juma Mzungu(67) dhidi ya watumishi wa Halmashauri...
WAKAZI wa kijiji cha Machochwe katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamegoma kushiriki shughuli zozote za maendeleo , hadi hapo watakaposomewa mapato na matumizi ...
RAIS Jakaya Kikwete, amekiri wazi kuwepo kwa vuguvugu la upinzani lenye nguvu kubwa hapa nchini, na kuonya kwamba, iwapo Chama cha Mapinduzi (CCM), hakitajirekebisha katika mienendo...
WAKATI baadhi ya hospitali zikiathiriwa na mgomo wa madaktari, mkoani Mwanza kumetokea kituko baada ya zahanati kusitisha huduma na kufungwa kwa kuwa tu muuguzi wake ameanza...
Katika taarifa yake katika mitandao mbalimbali ikiwamo blogu yake, Zitto amesema inasikitisha kwamba Bunge laweza kukaa wiki nzima na kujadili masuala mbalimbali bila kutoa muda kujadili...
"Bila kutupa majibu mazuri kwa fedha hizi Mkurugenzi, kuanzia leo hatutakuwa na imani na wewe. Na kama ningekuwa na uwezo ningeagiza kamata weka ndani huyu mtu",...
Katika demokrasia ya kweli wananchi ndio wenye sauti ya mwisho. Siyo wanasiasa, siyo majeshi, siyo wataalamu au kikundi kimoja cha watu. Huu ndio msingi wa kweli...
Mr. President, you cannot wish the doctors’ demands to disappear like a Houdini act! The doctors and the demands will not go away just at the...
Kuwalazimisha madaktari kurudi kazini mara moja ama sivyo watajifukuzisha kazi hakubadilishi ukweli wa hali iliyopo. Hata kuwabembeleza warudi kazini mara moja kwa sababu “wagonjwa wanakufa” nako...
Mabao matatu ya haraka haraka yaliyofungwa dakika za mwisho yameisaidia timu hiyo kuishushia kipigo kizito Namibia cha mabao 5-2 katika mchezo wa marudiano uliofanyika Uwanja wa...
BAADHI ya Wafanyabiashara wa mazao mkaa kwa kuashirikiana na baadhi ya maofisa misitu katika vituo mbali mbali vya ukaguzi, wanadaiwa kuiibia Serikali sh. milioni 35 kwa...