Wasomi nchini wamesema kuyumba kwa msingi ya umoja wa kitaifa, uwazi na uwajibikaji miongoni mwa viongozi na wananchi ni kikwazo kwa Tanzania kujenga amani ya kudumu...
Baada ya China kufunga biashara ya pembe za ndovu, mtandao wa watumiaji wa teknolojia duniani wameungana kukomesha biashara hiyo haramu na bidhaa zake inayofanyika mtandaoni. Hatua...
Hatimaye mawaziri wa wizara zilitajwa kwenye ripoti ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) waanza kujitetea juu ya matumizi mabaya ya...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad amewataka wabunge kuihoji serikali kwa kushindwa kutekeleza bajeti ya mwaka 2017/2018 licha ya ukusanyaji...
Hatimaye wakazi wa vijiji vinne vya kata ya Namasakata wilayani Tunduru wameondokana na tatizo la ukosefu wa maji ya uhakika baada ya Benki ya Dunia (WB)...
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii kuunga mkono kampeni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwasaidia wanawake wenye watoto...
Kuanza kutumika kwa sheria Mpya za madini, kanuni na ukaguzi wa kampuni za madini kunatajwa kupunguza uzalishaji wa madini ya dhahabu na uwekezaji nchini. Kwa mujibu...
April 7 ya kila mwaka ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ambaye alizaliwa mwaka 1905 na kufariki...
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa kila mwaka Tanzania inakadiriwa kuwa na wagonjwa wapya wa Saratani 50,000 huku...
Rais John Magufuli ameagiza watendaji wa Serikali kujenga kuta kuzunguka maeneo yote yenye rasilimali muhimu ikiwemo madini ili kudhibiti upotevu wa mapato na kuwanufaisha watanzania. Akizungumza...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mohamed Mchengerwa ameitaka ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuvifuta vyama vya siasa vinavyodaiwa...
Tunaishi katika dunia ambayo watu wengi wanapenda kujipiga picha ‘selfie’na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Tabia hiyo ya kujipiga selfie inatajwa kuwa ni mapinduzi makubwa ya...
There is a big fight going on in Tanzania just like anywhere in the world. The winning card is within ourselves. Tobacco is the center of...
Rais John Magufuli amesema hazima ya Serikali ya kujenga uchumi wa viwanda inaweza isifanikiwe ikiwa tatizo la upatikanaji wa umeme wa uhakika halitatatuliwa ili kuchochea uzalishaji...
Serikali imeshauriwa kuongeza uwazi na uwajibikaji katika mchakato wa kuandaa na utekelezaji wa bajeti kuu ili kuhakikisha wananchi wanapata taarifa muhimu za vipaombele, miradi na maendeleo...
Kukosekana kwa mifumo rahisi ya teknolojia ya mawasiliano katika taasisi za umma na binafsi ni kikwazo kwa wananchi kupata taarifa muhimu za maendeleo katika maeneo yao....
Moja ya nguzo kuu za demokrasia ni uwepo wa uhuru na haki ya wananchi kuwa na maoni na kujieleza. Uhuru huo kimsingi huenda sambamba na uhuru wa...
Inaelezwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza isifikie lengo lake la kujenga uchumi wa viwanda kutokana na mabadiliko ya sera za usimamizi wa fedha na rasilimali ambazo...
A good number of my fellow citizens are struggling to keep their head above water as tough financial times continue. These people are complaining for life...
Siku chache zilizopita Marekani imekuwa ikitangaza hatua kadhaa za kulinda soko lake kwa kubadilisha utaratibu uliofuatwa na serikali zilizopita na kuamua kutoza ushuru kwa baadhi ya...
Bwawa la Nyumba ya Mungu ni chanzo kikubwa cha maji yanayotumika kwa shughuli mbalimbali za kibinadamu, kilimo cha umwagiliaji, mifugo na uzalishaji wa umeme, lakini shughuli...
Kufuatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuzipatia hati chafu Halmashauri za Wilaya za Kigoma Ujiji na Pangani, rais John Magufuli...
Hatimaye upande wa Jamhuri katika kesi inayoikabili JamiiForums imekamilisha kutoa ushahidi wake na kuipa nafasi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuamua kama kuna kesi ya kujibu...
Mifumo ya utoaji malalamiko katika vituo vya afya ni moja ya vitu muhimu katika kuboresha utoaji huduma za afya nchini. Kukosekana au kutokufanya kazi kwa mifumo...
Ni dhahiri kuwa mji wa Dodoma unakua kwa kasi kutokana na uamuzi wa serikali kuhamishia shughuli zake wa utawala mjini humo, jambo linalochochea ongezeko la watu ...
Imeelezwa watanzania watalazimika kusubiri kwa muda mrefu ili kupata huduma bora za afya kwenye zahanati na vituo vya afya kutokana na uhaba wa madaktari na wahudumu...
Mnamo tarehe 21 mwezi wa tatu mwaka huu Afrika iliweka historia kwa viongozi wa Afrika kutia sahihi ya kuwa na soko huru la Afrika. Viongozi kutoka...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jnsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaagiza madaktari katika hospitali na vituo vya afya kuwafanyia uchunguzi wa ugonjwa wa kifua...
Jumatano ya Machi 21 mwaka huu katika jiji la Kigali, Rwanda lilifanyika tukio la kihistoria la kufufua ndoto na matumaini ya waasisi wa bara la Afrika...
Upatikanaji wa nishati ni nguzo muhimu kwa maendeleo na kupunguza umasikini katika jamii lakini kwa watanzania wengi bado imekuwa ni ndoto iliyokosa suluhisho la kudumu. Inaelezwa...
Mara nyingi mgeni anapoingia mahali, imezoeleka kupokewa kwa shangwe na maneno mazuri ya kumkaribisha, ili ajisikie yuko salama na eneo salama. Maneno yanayosikika kutoka kwa wenyeji ni...
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (TSNP), Abdul Nondo aliyedaiwa ‘kujiteka’ amefikishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kujibu mashtaka...
Mkakati wa kitaifa wa utekelezaji wa Elimu Jumuishi unaweza usifanikiwe kutokana na kushindwa kuboresha mazingira ya kosomea ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu. Elimu Jumuishi ni mpango...
Nchi 32 za Afrika ikiwemo Tanzania zimeutaka Umoja wa Ulaya (EU) kusitisha biashara ya pembe za ndovu ili kuokoa tembo waliosalia barani humo. Makubaliano hayo yalifikiwa...
Wakulima nchini wamelalamikia mrundikano wa kodi zinazotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kudai kuwa unakwamisha sekta ya kilimo kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa...
Mjadala wa kumalizia mchakato wa katiba mpya umeibuka katika siku za hivi karibuni. Asasi na makundi mbalimbali ya kijamii yameanza kujaribu kupaza sauti zao wakishauri na...
Mwaka 1964, Serikali iliyokuwa ikiongozwa na chama cha TANU iliamua kupiga marufuku mfumo wa vyama vingi na kuamua kuwa Tanzania itakuwa ni nchi ya chama kimoja....
“Wananchi wanataka maendeleo. Wanataka huduma bora za jamii. Wanataka maji safi na salama, wanataka elimu bora, huduma za afya, na miundo mbinu bora. Katiba mpya si...
Wajibu wa wasomi au wanazuoni katika jamii ni mada muhimu na pana sana. Hakuna mtu yoyote anayeweza kukataa mchango muhimu wa wasomi katika jamii yoyote na...
Kukosekana kwa utashi wa kisiasa na ukuaji wa soko la tumbaku kumetajwa kama kichocheo cha ongezeko la matumizi ya sigara na vifo kwa vijana nchini. Uvutaji...
Je, kuwatoa watoto wa kike vijijini kwenda mjini kufanya kazi, kunachangia kuwepo usafirishaji haramu wa binadamu nchini? Watoto wangapi Tanzania ni wahanga wa usafirishaji haramu wa...
Rais John Magufuli ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia upya mfumo wa utozaji kodi ili kuwawezesha watu kulipa kodi inayoendana na mapato halisi ya biashara...
Imeelezwa kuwa hazma ya serikali kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa viwanda inaweza isifanikiwe kutokana na ongezeko la deni la taifa na kutofikiwa kwa malengo ya ukusanyaji...
Kesi namba 458 ya mwaka 2016 imehamishiwa kwa Hakimu Huruma Shaidi baada ya Hakimu Victoria Nongwa ambaye alikuwa anasikiliza kesi hiyo kukabidhiwa majukumu mengine katika Idara...
Inaelezwa kuwa watanzania wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali ikiwemo kansa kutokana na matumizi ya bidhaa bandia zinazozalishwa kwenye viwanda vya ndani na nje ya nchi. Shirikisho...
Serikali imetoa milioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya kitakachengwa katika kitongoji cha Itongwi kata ya Kalamba wilayani Kondoa ili kutatua changamoto ya...
Rais John Mgufuli amepiga marufuku maandamano yanayoratibiwa na baadhi ya watu na amewataka wananchi kufanya kazi ili kuiletea nchi maendeleo. Marufuku hiyo inakuja wakati kukiwa na...
Na Daniel Samson Shirika la Global Witness limeeleza kuwa watu 197 waliuawa mwaka uliopita kwa kutetea matumizi mazuri ya ardhi, wanyama pori na rasilimali asilia. Shirika...