Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema chama chake kitaendelea kuikosoa serikali pale inapokosea na kutetea maslahi ya taifa. Akizungumza leo na vyombo...
Siku moja baada ya serikali kutangaza makubaliano yaliyofikiwa na kampuni ya Barrick kulipa fidia ya bilioni 700, Kurugenzi ya fedha ya kampuni ya Acacia imesema haina...
Ikiwa imepita siku moja baada ya serikali na Kampuni ya madini ya dhahabu ya Barrick kukubaliana kugawana faida ya 50 kwa 50, Waziri wa Sheria na...
Vuguvugu la kufufua mchakato wa Katiba Mpya limeendelea kujitokeza kwa sura mpya ambapo uchunguzi uliofanywa na Shirika la Twaweza unaoonyesha kuwa wananchi wengi wanataka katiba mpya...
Imebaki changamoto moja katika bara la Afrika nayo ni vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vinatokea katika nchi mbalimbali na kukwamisha ukombozi wa bara hili kuwa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema afya ya Tundu Lissu imeimarika na ataingia katika awamu ya tatu ya matibabu nje ya Nairobi....
Serikali imetakiwa kuzifanyia marekebisho sheria na kanuni zinazosimamia usalama barabarani ili kuokoa vifo vinavyozuilika na kukuza uchumi wa taifa. Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amesema mwenge wa uhuru utaendelea kukimbizwa katika maeneo mbalimbali ya nchi ili kuchochea shughuli za maendeleo. Rais...
Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda amejisalimisha mikononi mwa Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano juu ya kauli alizotoa...
Jamii imetakiwa kumuondolea mtoto wa kike vikwazo na kumtengenezea mazingira rafiki na salama akiwa shuleni na nyumbani ili afikie ndoto zake za kielimu. Wito huo umetolewa...
Kituo cha Sheria na Haki za binadamu (LHRC) wameitaka serikali kuifanyia marekebisho Sheria ya Kuzuia Ugaidi ya mwaka 2002 ambayo inatoa adhabu ya kifo kwa makosa...
Muda mfupi baada ya kuapishwa katika nyadhifa zao, mawaziri wapya walioteuliwa na Rais John Magufuli waahidi kuwatumikia wananchi kuifikisha nchi kwenye uchumi wa viwanda. Mawaziri hao...
Saa 5 asubuhi napita mtaa wa Golani, kata ya Kimara katika jiji la Dar es salaam, watu wanaendelea na shughuli zao kuhakikisha uchumi unakaa vizuri. Ni...
katika kuelekea siku ya Wazee Duniani, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amewataka wazee wa kata katika jimbo hilo kujitokeza katika zoezi la kujiandikisha ili...
Katika kile kinachotajwa kubana uhuru wa kujieleza na haki ya kupata habari, serikali imeendelea na mchakato wa kuandaa kanuni zitakazosimamia maudhui ya mitandao ya kijamii na...
Serikali imeshauriwa kufufua mchakato wa kupata katiba mpya ili iweze kufanikiwa katika mapambano dhidi ya rushwa na kuboresha maisha ya watanzania. Mchakato wa katiba mpya ulikwama...
Wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kusajiliwa kwa ajili ya kupewa vitambulisho vya Taifa katika maeneo ambako zoezi hilo linaendelea ili kutoa fursa kwa kila mwananchi mwenye...
KWA wakazi wa Kata ya Kipeta, Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, ujenzi wa Daraja la Mto Momba unaotarajiwa kuanza mwaka huu unaonekana kuwa ukombozi mpya kwao...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amesema anataka kuona Watanzania wakisafiri kwa Bajaj kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam baada ya kuimarishwa...
WAKAZI wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamesema hawataamini ahadi ya serikali ya kujenga barabara ya Mpemba-Isongole mpaka watakapoona imekamilika, kwani wamemchoka na ahadi nyingi zisizotimia.
ASKOFU Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Blaston Gaville, amesema Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itafuta ufisadi...
TAASISI ya Twaweza imetoa utafiti wake leo Alhamisi Juni 15, 2017 na kueleza kwamba kiwango cha rushwa kwa watendaji wa umma kimeshuka ndani ya siku 500...
ASILIMIA 84 ya wananchi wamesema watapiga kura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2020 ikilinganishwa na asilimia 67 ambao walijitokeza katika uchaguzi wa mwaka 2015.
WATANZANIA saba kati ya 10 wanaukubali utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli pamoja na serikali yake ya awamu ya tano. Hayo yameelezwa katika utafiti wa...
SERIKALI za Tanzania na Uganda zimetiliana saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania...
UPO uwezekano mkubwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, kuondolewa madarakani wakati wowote kuanzia sasa. Trump (70) anaweza kuondolewa na bunge baada kuibuka dalili za wawakilishi...
SASA ni dhahiri kwamba Rais John Magufuli atakuwa katika mikakati ya kuhakikisha swahiba wake, Raila Odinga anashinda urais wa Kenya katika uchaguzi wa nchi hiyo uliopangwa...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazotoa hifadhi kwa idadi kubwa ya wakimbizi duniani ikiwa nao zaidi ya 300,000. Ukarimu huo umeifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi...
MAWAKILI wa upande wa utetezi na wale wa mashtaka katika Kesi namba 458 inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums wamevutana leo kuhusiana kupokelewa kwa kidhibiti mahakamani. Mvutano huo...
KESI namba 456 inayowakabili wakurugenzi wa kampuni ya Jamii Media inayomilikia gazeti tando la FikraPevu na mtandao maarufu wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike Mushi, inatarajiwa...
LEO Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitafanya uamuzi wa kuwapata wagombea wake kwa nafasi zake mbili za wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki (EALA)....
*Kiwango cha malaria kwa watoto wenye miezi sita hadi 59 ni takribani mara tatu ya wastani wa kitaifa Zaujia Swalehe Dar es Salaam. Wengi tunaufahamu mkoa...
NJAA sasa inainyemelea Wilaya ya Tarime, Mara kutokana na mdudu mharibifu wa mahindi. Ikiwa mavuno ya mahindi hayatakuwa ya kuridhisha msimu, huu, basi wakazi wa wilaya...
Katika moja ya mambo ambayo huwa najiuliza na nashindwa kupata majibu kuhusu sisi watanzania ni kuwa, kama leo akija mgeni na kutuliza swali, tunataka kiongozi wa...
UMEPITA mwaka mmoja na miezi mitatu tangu tumefanya uchaguzi mkuu na sasa tumesalia na miaka mitatu na miezi saba mpaka uchaguzi mwingine mwaka 2020. Wakati wa...
MAOFISA ugani ni miongoni mwa kada ya uongozi na wataalam wanaonyooshewa vidole kuwa chanzo cha kuzorota kwa kilimo chenye tija kwenye mazao ya chakula na biashara,...
Serikali ya Rais Dk. John Pombe Magufuli imekiri kukabiliwa na ukosefu wa fedha, hali inayoathiri utekelezaji wa shughuli zake za kila siku. Kauli hiyo imetolewa leo...
HATIMAYE gazeti la MAWIO lililofutwa na serikali ya Tanzania na kuacha kuchapishwa kwa zaidi ya mwaka mmoja, limerejea mtaani kwa uamuzi wa Mahakama Kuu. Serikali ililifuta...
Tarehe 4 mwezi wa tatu mwaka 2016 Kampuni ya Jamii Media inayoendesha mtandao maarufu wa JamiiForums Ilifungua Kesi ya Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania kesi...
JUMLA ya ekari 400 zililengwa kwa kilimo cha umwagiliaji katika Kata ya Magulilwa zimekwama kwa miaka saba sasa kutokana na ufisadi uliofanyika wakati wa ujenzi wa...
WAZIRI mwandamizi wa serikali ya Tanzania kwa awamu nne za uongozi, Stephen Masato Wassira, kupitia kwa wafuasi wake watatu, amekata rufaa Mahakama ya Rufaa, akipinga uamuzi...
UJIO wa Sheria ya Makosa ya Mtandao (The Cyber Crimes Act, 2015) ambayo ilipitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano karibu saa 6 usiku Jumatano, Aprili...
MKURUGENZI Mtendaji wa Jamii Media na mwanzilishi wa mtandao maarufu wa JamiiForums, anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika kituo kuu cha polisi, Dar es Salaam, kwa...
WAFANYABIASHARA wadogowadogo, maarufu kwa jina la ‘machinga’ wanaendelea kuumizwa na utofauti wa kauli na maagizo yanayotolewa na viongozi wa serikali nchini kuhusu kuondolewa maeneo ya katikati ya...
WANANCHI saba kati ya 10 (70%) wanaamini na kupenda kuona Vyombo vya Habari nchini Tanzania, vinatangaza maovu ya watendaji wa serikali na wanayaamini yanayoandikwa na kuongelewa...
Umoja wa Ulaya(EU) umeishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupendekeza kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Balozi wa...
Rais Magufuli leo amepongeza ziara anazofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda za kuwafuata wananchi na kusikiliza kero zinazowakabili wananchi hao 'wanyonge' na...
ASILIMIA 11 ya wananchi wa Tanzania, waamini Serikali ya Rais John Magufuli, inaongoza kwa mfumo wenye viashiria vya kidikteta. Vitendo kama vile kuzuia kurushwa kwa matangazo...