Jana asubuhi tarehe 10 Septemba 2011 Taifa liligubikwa na habari za kushtusha za maafa. Mwanzoni taarifa zilisambaa kwamba zaidi ya watu 2,000 walikuwa kwenye Boti MV...
WAKAZI wa mji wa Kyaka wilayani Missenyi wamesema hawako tayari kupisha ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami ya Kyaka – Bugene bila kupewa fidia vinginevyo...
Namkumbuka mwanamuziki wa kizazi kipya Seleman Msindi maarufu kama Afande sele na kile kibao chake cha “Darubini kali” anapohoji “kama unapenda pepo kwanini uogope kifo?” Tungo...
MWAKILISHI na Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Raia Mwema mjini Arusha Paul Sarwat akiwa na mke wake wamenusurika kupoteza maisha baada ya gari yao aina...
MWANDISHI wa habari anayeandikia gazeti la Mwananchi kutokea Arusha, Mussa Juma, ameanza kuandamwa na serikali na sasa uraia wake umeanza kuhojiwa huku yeye akihusisha hatua hizo...
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu 52 kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za ujambazi wa kutumia silaha na wizi wa vocha za simu za mkononi zenye...
HATIMAYE imebainika jinsi Wakili maarufu mjini hapa Mediaum Mwalle alivyokuwa akihamisha mabilioni kwenye akaunti mbalimbali zinazodaiwa kufikia Sh. Bilioni 18. Kupitia hati ya Mashitaka alityosomewa jana...
MISSENYI ni kati ya wilaya nane za mkoa wa Kagera yenye ranchi mbili za taifa na sehemu imebinafsishwa kwa wawekezaji. Ni wilaya mpya iliyoanzishwa Julai 2007...
WAKILI maarufu Medium Mwalle anayetuhumiwa za kukutwa na kiasi kikubwa cha fedha kwenye akaunti zake na kisha kupandishwa kizimbani amelazwa kwenye Hospital ya Mkoa wa Arusha...
WAKILI Maarufu jijini Arusha Medium Mwalle amefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kusomewa mashitaka 13 yanayodaiwa kumkabili likiwamo la kukutwa na kiasi kikubwa...
Tanzania’s national power grid has reportedly collapsed resulting into a massive power outage all across the nation, from the Mainland to the Islands of Zanzibar. From...
Two journalists of the Mwananchi Communications Limited, have been selected for the 2011 Tanzania Media Fund Fellowship.The Citizen acting Business Editor, Mr Damas Kanyabwoya, and Mwanaspoti’s...
BAADHI ya kaya zinazofuga kuku na wanyama wadogo wadogo wilayani Muleba zimelalamika kutofikiliwa kupata chakula cha msaada kwa madai kuwa mifugo yao ni kipimo cha kaya...
TARAFA za Ngorongoro, Sale na Loliondo zilizopo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha zinakabiliwa na baa la njaa. Mpaka sasa taarifa zinaonesha kuwa Tarafa ya Ngorongoro inahitaji zaidi...
WAFANYAKAZI wanne wa hospitali ya mkoa wa Kagera wakiwemo wafamasia wawili wanashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuiba dawa za wagonjwa zenye thamani ya...
WALINZI wawili wa kampuni ya Cob Web Security Ltd wamelazwa katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema Mkoani hapa, huku mmoja wao akiwa mahututi baada ya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa angalizo kwa watumiaji wa simu za mkononi duniani kuwa waangalifu kwani matumizi ya muda mrefu ya simu hizo yaweza kusababisha...
WATU wawili wanasakwa na jeshi la polisi mkoani Kagera kwa tuhuma za kumkata vipande viwili Richard Raphael (55) na kumzika, mmoja wa watuhumiwa akiwa ni mtoto...
Kama vile mlolongo wa vituko na kashfa havijaisha serikalini huko Ngara mtu aliyejitambulisha kuwa ni daktari wa magonjwa ya binadamu na afisa kutoka Wizara ya Afya...
Taarifa ya uchunguzI wa vifo vya wananchi waliouawa mikononi mwa Polisi huko Tarime inadaiwa kuonesha kuwa marehemu wote wanne walipigwa risasi kutokea nyuma ikiashiria kwamba walikuwa...
Ni mfano wa sinema ya kutisha iliyojaa kila aina ya ukatili.Abiria wachache walionusurika katika ajali ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba May 21,mwaka 1996 bado...
Watu 16 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali ya basi mkoani Geita wakati mabasi ya Sheratoni na Bunda yalipogongana. Basi la Sheratoni lilikuwa likitoka Biharamulo...
WAFANYABIASHARA wanne wametozwa faini, akiwemo mmiliki wa basi liitwalo Bariadi Express, Maduhu Katalima, mkazi wa wilaya ya Bariadi mkoani Shinyanga ambaye ametozwa faini ya shilingi milioni 2...
KAMA lilivyo tatizo sugu kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini, mauaji ya kinyama dhidi ya watuhumiwa wa uchawi yanazidi kushika kasi mkoani hapa ambapo...
TAARIFA ya mkaguzi wa ndani wa halmashauri ya wilaya ya Muleba imebaini kuwepo ubadhilifu wa zaidi ya milioni 231 zilizotumika kama malipo hewa kwa wakuu wa...
MKAZI wa kijiji cha Byamutemba kata ya Nsunga wilayani Missenyi Hashimu France (43) amemuua mke wake Aisha Hashimu (39) kwa kumcharanga mapanga kisha naye kujinyonga katika...
*Adaiwa kuharibu kamera ya Channel Ten MLINZI wa Mchungaji Ambilikile Masapila, Fred Nsajile anayedaiwa kuwa ni ‘Ofisa wa Usalama wa Taifa’ anadaiwa kuharibu kamera ya Mwandishi...
Hatimaye taarifa ya Kitaalamu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kuhusu uwezo wa “kikombe cha babu” wa Loliondo imepatikana na inaonesha kuwa kwa kiasi kikubwa madai ya Mch....
Na Phinias Bashaya, Bukoba CHUO cha usafirishaji cha taifa(NIT)kinadaiwa kuchangia mgogoro unaofukuta baina ya vyuo vya ufundi mjini Bukoba vinavyowania kuwatoza madereva ada ili vitoe mafunzo...
Na Juma Ng’oko, FikraPevu – Mwanza MAMIA ya wakazi wa Jiji la Mwanza pamoja na vitongoji vyake, hasa wanawake wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, jana...
WANANCHI wa Kata ya Mang’ola na Kata ya Baray wamedai kwamba kama Serikali haitaingilia kati mgogoro wa maji yanayotoka kwenye chanzo cha Mto Mang’ola basi vita...
WAKALA wa barabara mkoani Kagera (TANROADS) imekiri kudaiwa mamilioni ya shilingi na wananchi walioathiriwa na upanuzi wa barabara ya Mutukula Muhutwe uliofanyika zaidi ya miaka kumi...
BAADA ya uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka jana, mabaraza mengi ya madiwani yameibua sura mpya zenye kila dalili ya kiu ya mabadiliko FikraPevu imebaini.
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitamba kujivua gamba kwa kupanga safu mpya ya uongozi, Katibu wa chama hicho mkoa wa Kagera Faustin Kamaleki ametangaza kustaafu nafasi...
MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kabalenzi wilaya ya Bukoba vijijini Twinayesu Emmanuel (8) ameuwawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili,kisha kunyofolewa baadhi ya...
Wahariri nchini wametakiwa kuwa makini na kazi zao ili kuepusha kuipotosha jamii na kupigania maendeleo. Maoni hayo yametolewa muda huu na baadhi ya wahariri hao Jijini...
Ni mengi yamekuwa yakizungumzwa juu ya changamoto zinazozikumba shule za kata zilianzishwa chini ya serikali yetu ya awamu ya nne. Pamoja na utetezi unaofanywa na wanasiasa...
AJALI mbaya ya aina yake kuwahusisha wasanii, imesababisha vifo vya wasanii 13 wa kundi la muziki wa taarabu la Five Star’s Modern Taarab na kujeruhi wengine...
MSAFARA wa Mke wa Rais Mama Salma Kikwete umepata ajali na kusababisha kifo cha dereva wa Idara ya Usalama wa Taifa, Ramadhani Mkoma, Fikra Pevu, limethibitishiwa....
Edward Mdaki — Migomo ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini vilivyolazimishwa kufunguliwa baada ya uchaguzi wa oktoba 2010, imefikia kilele . Ni kilele kwa sababu...
HALI inazidi kuwa tete katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, baada ya wanafunzi wa chuo hicho kuamua kugoma na kuandamana wakitaka ongezeko la...
Meshack Mpanda (Mwanza) — Wajumbe 27 wa Serikali ya kijiji cha Nyangho’mango katka kata ya Usagara Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza wameuza ikari 80 katika...