Kuna mtazamo wa baadhi ya watu kuwa mtoto yeyote ambaye anasoma hajakomaa kiakili kiasi cha kuweza kuhusishwa kufanya maamuzi muhimu katika shughuli za familia na jamii....
Licha ya kuimarika kwa huduma za afya nchini China bado wagonjwa wanaoenda kutibiwa katika hospitali nyingi wanalazimika kukaa kwenye foleni kwa dakika kadhaa kabla ya kumuona...
Kwa mujibu wa Shirika la Watoto Duniani (UNICEF) linaeleza kuwa watoto wachanga 7000 hufariki kila siku duniani kote ambapo ni sawa na watoto 21,000 kwa mwezi....
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mohamed Mchengerwa ameitaka ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuvifuta vyama vya siasa vinavyodaiwa...
Majengo mengi makubwa hasa yale ambayo milango yake hubaki wazi huwekwa feni au viyoyozi vikubwa kwenye milango ya kuingilia. Utausikia upepo huu mkali mara tu utakapoingia...
Tunaishi katika dunia ambayo watu wengi wanapenda kujipiga picha ‘selfie’na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Tabia hiyo ya kujipiga selfie inatajwa kuwa ni mapinduzi makubwa ya...
Kulala kwa muda mrefu kunahusishwa na matatizo ya kuharibika kwa ngozi na kupata maumivu ya viungo hasa mgongo. Pia kujilaza kitandani muda mrefu huusishwa na matatizo...
Katika siku za hivi karibuni umezuka mjadala juu ya kukithiri kwa vitendo vya uhalifu unaohusisha wezi kuingia kwenye nyumba za watu nyakati za usiku na kuwapulizia...
Moja ya nguzo kuu za demokrasia ni uwepo wa uhuru na haki ya wananchi kuwa na maoni na kujieleza. Uhuru huo kimsingi huenda sambamba na uhuru wa...
A good number of my fellow citizens are struggling to keep their head above water as tough financial times continue. These people are complaining for life...
Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Juma Homera ameitaka Idara ya elimu ya msingi na sekondari kuandaa mitihani kila baada ya miezi mitatu ili kukabiliana na anguko...
Kufuatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuzipatia hati chafu Halmashauri za Wilaya za Kigoma Ujiji na Pangani, rais John Magufuli...
Hatimaye upande wa Jamhuri katika kesi inayoikabili JamiiForums imekamilisha kutoa ushahidi wake na kuipa nafasi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuamua kama kuna kesi ya kujibu...
Mifumo ya utoaji malalamiko katika vituo vya afya ni moja ya vitu muhimu katika kuboresha utoaji huduma za afya nchini. Kukosekana au kutokufanya kazi kwa mifumo...
Imeelezwa watanzania watalazimika kusubiri kwa muda mrefu ili kupata huduma bora za afya kwenye zahanati na vituo vya afya kutokana na uhaba wa madaktari na wahudumu...
Upatikanaji wa nishati ni nguzo muhimu kwa maendeleo na kupunguza umasikini katika jamii lakini kwa watanzania wengi bado imekuwa ni ndoto iliyokosa suluhisho la kudumu. Inaelezwa...
Mara nyingi mgeni anapoingia mahali, imezoeleka kupokewa kwa shangwe na maneno mazuri ya kumkaribisha, ili ajisikie yuko salama na eneo salama. Maneno yanayosikika kutoka kwa wenyeji ni...
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (TSNP), Abdul Nondo aliyedaiwa ‘kujiteka’ amefikishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kujibu mashtaka...
Pamoja na kukosekana kwa idadi kamili, lakini ukweli ni kuwa Tanzania, kama ilivyo kwa nchi zingine, kumekuwepo ongezeko la wavulana na hata wanaume, kuonekana kuwa na...
Wakulima nchini wamelalamikia mrundikano wa kodi zinazotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kudai kuwa unakwamisha sekta ya kilimo kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa...
Upatikanaji wa maji safi na salama ni muhimu kwa afya zetu. Maji yasiyo safi na salama ni chanzo cha magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu na kuhara...
Mjadala wa kumalizia mchakato wa katiba mpya umeibuka katika siku za hivi karibuni. Asasi na makundi mbalimbali ya kijamii yameanza kujaribu kupaza sauti zao wakishauri na...
“Wananchi wanataka maendeleo. Wanataka huduma bora za jamii. Wanataka maji safi na salama, wanataka elimu bora, huduma za afya, na miundo mbinu bora. Katiba mpya si...
Ninayo ndoto. Inaweza ndoto hii isitimie katika uhai wetu, lakini inaweza kutimia kwa vizazi vijavyo. Ninayo ndoto kuwa ipo siku moja Watanzania tutaweka tofauti zetu pembeni,...
Imeelezwa kuwa ukosekana kwa sera, mipango na mikakati inayotafsiri dhana ya uchumi wa viwanda kunaweza kuikwamisha Tanzania kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025. Ikumbukwe kuwa serikali...
Je, kuwatoa watoto wa kike vijijini kwenda mjini kufanya kazi, kunachangia kuwepo usafirishaji haramu wa binadamu nchini? Watoto wangapi Tanzania ni wahanga wa usafirishaji haramu wa...
Rais John Magufuli ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia upya mfumo wa utozaji kodi ili kuwawezesha watu kulipa kodi inayoendana na mapato halisi ya biashara...
Imeelezwa kuwa hazma ya serikali kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa viwanda inaweza isifanikiwe kutokana na ongezeko la deni la taifa na kutofikiwa kwa malengo ya ukusanyaji...
Kesi namba 458 ya mwaka 2016 imehamishiwa kwa Hakimu Huruma Shaidi baada ya Hakimu Victoria Nongwa ambaye alikuwa anasikiliza kesi hiyo kukabidhiwa majukumu mengine katika Idara...
Serikali imeshauriwa kuupitia upya mfumo wa utoaji mitihani ya kitaifa katika shule za msingi ili kuokoa idadi ya wanafunzi wanaokariri madarasa na kuacha shule. Kulingana na...
Siku ya Figo Duniani huadhimishwa kila Alhamisi ya pili ya mwezi Machi tangu ilipotambulishwa mwaka 2006. Mwaka huu iliadhimishwa Machi 8 pamoja na Siku ya Wanawake...
Serikali imetoa milioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya kitakachengwa katika kitongoji cha Itongwi kata ya Kalamba wilayani Kondoa ili kutatua changamoto ya...
Rais John Mgufuli amepiga marufuku maandamano yanayoratibiwa na baadhi ya watu na amewataka wananchi kufanya kazi ili kuiletea nchi maendeleo. Marufuku hiyo inakuja wakati kukiwa na...
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma kutenga fedha kwenye bajeti ya Mwaka ujao wa...
Na Daniel Samson Shirika la Global Witness limeeleza kuwa watu 197 waliuawa mwaka uliopita kwa kutetea matumizi mazuri ya ardhi, wanyama pori na rasilimali asilia. Shirika...
Machi 8 kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Wanamke ambayo hutoa nafasi ya kutathmini changamoto na mafanikio yaliyofikiwa katika kutambua haki za wanawake na mchango...
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imeeleza kuwa asilimia 74 ya watoto nchini Tanzania wanaishi katika umasikini, jambo linalowafanya kukosa haki na mahitaji muhimu ya kijamii...
Jiji la Cape Town nchini Afrika Kusini litazima mitambo inayopeleka maji kwa watumiaji ifikapo Aprili 29, 2018 na kuweka historia ya jiji hilo kukosa huduma hiyo...
Sekta ya elimu kwa muda mrefu imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimbali za ubora wa elimu inayotolewa kwa wanafunzi ambapo sababu mbalimbali zimekuwa zikihusishwa na kushuka kwa...
Benki ya Dunia imeeleza kuwa watoto wengi wanaondikishwa katika shule za msingi nchini hawapati maarifa ya msingi kutokana na kukosekana kwa usimamizi wa walimu na wanafunzi...
Umewahi kusikia hali ya kuishiwa nguvu au kushindwa kusogeza viungo vya mwili muda mfupi baada ya kulala au kumka? Au unakosa usingizi wa uhakika? Naamini watu...
Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma kwamba inaminya demokrasia nchini na kusema kuwa imesikitishwa na matamko yaliotolewa na Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) na kuungwa mkono...
Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), imeipatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 77.3 kwa ajili ya upanuzi wa barabara ya New Bagamoyo, kuanzia...
Imeelezwa kuwa kukosekana kwa usawa wa utolewaji wa huduma za kijamii kwenye mfumo wa elimu kumeathiri matokeo ya ujifunzaji kwa wanafunzi wa shule za msingi nchini....
Waraka wa Elimu Namba 3 wa mwaka 2016 umeweka wazi majukumu ya wadau mbalimbali wa elimu wakiwemo wazazi na serikali katika utekelezaji wa sera ya elimu...
Benki ya Dunia imeizishauri nchi za Africa ikiwemo Tanzania kuboresha mfumo wa utendaji wa taasisi za umma, miundombinu na kuwekeza kwenye rasilimali watu ili kukuza uchumi...
Ripoti ya Vifo vya watoto, UNICEF Februari 2018 inaeleza kwamba, kila mwaka watoto milioni 2.6 hufariki kabla ya kufikisha umri wa mwezi mmoja huku milioni 1...
Mwendo kasi inatajwa kuwa sababu kubwa inayosababisha ajali za barabarani, huku madereva wakilaumiwa kwa kuendesha magari wakiwa wamelewa. Lakini kwanini ajali nyingi hutokea maeneo wanayoishi watu?...