Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amekutana na waandishi wa habari mjini Beijing kuelezea utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ya China katika...
Sekta ya Uvuvi ni kati ya sekta muhimu ndogo ya uchumi Tanzania. Sekta inatoa ajira nyingi, kipato, uchumaji riziki, fedha na mapato ya kigeni kwa nchi....
Utatatuzi wa Mgogoro wa Fidia kati ya wawekezaji na wananchi katika maeneo ya mgodi wa Makaa ya Mawe Rwanda wilayani Mbinga utategemea busara ya Serikali. Hii...
UMASKINI ni kitendo kinachopigwa vita na Mataifa mengi Duniani ikiwa ni pamoja na nchi zinazoendelea. Umoja wa Mataifa katika mikakati ya kupunguza umaskini na kukuza...
UCHAFUZI wa mazingira ni jambo linalostahili kupigwa vita katika kujiletea maendeleo. Kupigwa vita huko kunatokana na athari zinazokuja kujitokeza baada ya uchafuzi kufanyika. Nyingi ya athari...
SIMON Lwena anaonekana akikunjua nyavu zake zilizowekwa viraka na kuzipanga vizuri kwenye mtumbwi. Ni asubuhi na upepo katika Pwani ya Mbamba-Bay umetulia, hivyo wavuvi wengi, kama...
KWA Raphael Millanzi, mkazi wa Manispaa ya Songea, maji yamekuwa anasa kutokana na kutopatikana kwa uhakika katika maeneo anayoishi na yale ya jirani. Millanzi anasema, kitendo...
KIJIJI cha Mkongoro kama ilivyo katika vijiji vingine Wilayani Kigoma wakazi wake ni wakulima, ambao kilimo chao ni mazao ya chakula na biashara yakiwemo Kahawa, Nanasi...
TATIZO la utapiamlo wilaya ya Uvinza limekuwa likishika kasi kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za ulaji duni wa chakula unaotokana na kula milo michache na yenye...
Mauaji ya wanawake mkoani Mara hususani wilayani Butiama hufanywa kwa sababu za kijinga na zisizo na ukweli za haja ya kupata samaki wengi kwa kutumia viungo...
Mkoa wa mara ni mkoa ulio katika kanda ya ziwa unaoundwa na wilaya sita ambazo ni Serengeti, Butiama, Rorya, Tarime, Bunda na Musoma mjini. Mkoa huu...
Afisa Elimu Taaluma, Elisanguo Mshiu anasema kuwa shule za Sekondari za kata ni mkombozi katika kuinua elimu Mkoa wa Mara ingawaje kuna changamoto mbalimbali zinazozikabili shule...
MLIMA Mtiro uliopo kijiji cha Busekela chache kutoka Musoma mjini ni mlima wenye hifadhi ya maajabu ya vyungu.Maajabu haya ni sehemu ya ibada zinazofanywa na watu...
UKATILI kwa watoto ni kitendo ambacho kinachoendelea kupigwa vita wakati wote na dunia. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokamia kutokomeza ukatili huo kwa jitihada za wazi...
KWA Wordson Pakyindi (30), mkazi wa Kijiji cha Kyimo wilayani Rungwe, kuvunjika mguu kutokana na ajali ya pikipiki aliyoipata Desemba 17, 2013 kulimaanisha mwanzo mpya wa...
WAKATI uzalishaji wa zao la kahawa nchini unatarajia kuongezeka hadi kufikia tani 80,000 kwa mwaka ifikapo mwaka 2016 ili kukidhi masoko ya ndani na nje ya...
WANANCHI wa Kijiji cha Liyombo kata ya Ruanda wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wameonyesha wasiwasi wao juu ya kudaiwa kutoroshwa kwa makaa ya mawe pamoja na...
UKIFUATILIA takwimu za wanawake waliokwenda kwa hiari katika hospitali ya mkoa wa Dodoma kujaribu kuona nini kinawasibu katika miili yao, utakubaliana na taarifa kwamba kansa ya...
WILAYA ya Mpwapwa ni moja ya Wilaya saba zinazounda mkoa wa Dodoma. Inapakana na Wilaya za Chamwino, Kongwa, Kilolo mkoani Iringa na Kilosa Mkoani Morogoro. Ikiwa...
KILA mtu anasema kwamba ukeketaji ni mbaya na hakuna mtu anayeuliza kiundani kwanini ukeketaji. Makala haya ya SHOMARI BINDA yanatafuta majibu ya kweli kutoka kwa wenyeji...
SHERIA ya Haki za Mtoto ya mwaka 2009, iliyotungwa na Serikali, na hatimaye kupitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni moja ya nyenzo...
Bandari ya Kigoma, ni moja ya bandari mbili kubwa ambazo zinamilikiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), katika mwambao wa Ziwa Tanganyika. Nyingine ni...
KONDOMU ya kike ni kifuko cha plastiki kinachovaliwa na mwanawake katika sehemu zake za siri (ukeni), lengo likiwa ni kukabiliana na magonjwa yanayotoakana na vitendo vya...
Pamoja na kuwepo kwa mbuga ya wanyama ya Serengeti iliyoko Mkoa wa Mara na vivutio vingine kuna baadhi ya vivutio ambavyo havitambuliwi kitaifa ambavyo vinaweza kukuza...
CHANGAMOTO kubwa ya upatikanaji wa viwanja ni miongoni mwa masuala yanayowasibu wakazi wa Dodoma. Hali hiyo imepelekea malalamiko mengi miongoni mwa wananchi huku Mamlaka ya Ustawishaji...
Furu samaki ambao kwa sasa ninaweza kukueleza tu kwa wajihi wake kama nilivyosimuliwa, akiwa na ukubwa wa kati ya dagaa na sato wadogo, wamebaki kuwa historia...
KUWAPO kwa masoko yasiyotumika katika Halmashauri ya Iringa na Manispaa ya Iringa, pamoja na kujengwa kwa thamani kubwa ni ishara ya wazi kwamba yalijengwa kinyume na...
MAISHA ni mtihani ambao unatakiwa kufaulu ndipo usonge mbele. Unapokutana na Kudra Majuto(20), katika mitaa mbalimbali ya Mji wa Dodoma kama mzazi lazima utakuwa na kuhoji...
Kwa desturi ya kabila la wahehe mtoto wa kike tangu anapozaliwa anahesabiwa kuwa ni mpita njia katika familia yake (kwamba ni lazima ataolewa hapo baadae) na...