Daniel Samson Dunia inashuhudia maendeleo makubwa ya teknolojia ambapo matumizi ya simu za mkononi yameongezeka. Kutokana na teknolojia kuwa njia rahisi ya kutoa huduma, taasisi za...
Huduma bora za afya ni haki ya msingi ya kila mtu lakini changamoto katika sekta ya afya nchini huwa kikwazo kwa wananchi kuzipata huduma hizo kwa...
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kusini mwa jangwa la Sahara iliyopiga hatua kubwa katika uboreshaji wa sekta ya afya na kupunguza vifo vya wajawazito, watoto...
Na Daniel Samson Maendeleo mazuri ya afya ya mtu ni pamoja kuwa na uhakika wa kupata matibabu akiugua au kupata ajali. Bima ya afya ni njia...
MAUZO ya saruji ya Dangote Cement, inayoongoza kwa uzalishaji wa saruji barani Afrika, yamepaa kwa asilimia 12.6 barani humo katika kipindi cha miezi sita kilichoishia Juni...
MCHEZAJI yeyote atakayesajiliwa msimu huu hataweza kupatiwa leseni ya kucheza soka ikiwa hatapimwa afya yake na kuidhinishwa kwamba ni mzima.
UFUNGASHAJI bora wa bidhaa za kilimo pamoja na uwekaji wa nembo umeleezwa kwamba ndiyo njia pekee itakayowakomboa wajasiriamali ili kuingia kwenye soko la ushindani.
KWA wakazi wa Kata ya Kipeta, Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, ujenzi wa Daraja la Mto Momba unaotarajiwa kuanza mwaka huu unaonekana kuwa ukombozi mpya kwao...
FOR many years, the Tanzanian educational system has been under scrutiny partly because the desired results as expected by many Tanzanians have not been materialized.
HIVI karibuni, Rais John Pombe Magufuli alitoa agizo kwamba hakuna mwanafunzi aliyepata ujauzito atarudi shule kuendelea kwa masomo kwa kuwa serikali haiwezi kusomesha wazazi.
TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeendelea kudhihirisha kauli ya Rais mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ally Hassan Mwinyi, kwamba ni ‘kichwa...
MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya Namaingo Business Agency, Biubwa Ibrahim, amewataka akinamama wanatekeleza mradi wa Green Voices Tanzania kuwa wabunifu na kutokata tamaa katika shughuli wanazozifanya.
FOLENI za Jiji la Dar es Salaam zimenifanya nijifunze mambo mengi sana ya kijamii. Kwa jinsi zilivyo ndefu, hususan hii ya Barabara ya Mandela kama unatoka...
KUFUZU ama kutokufuzu kwa Taifa Stars kwa fainali za Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Kombe la CHAN) kutajulikana leo wakati timu hiyo itakapomenyana na...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amesema anataka kuona Watanzania wakisafiri kwa Bajaj kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam baada ya kuimarishwa...
RAIS John Magufuli ametishia kufunga migodi yote inayomilikiwa na wawekezaji kutoka nje ikiwa wawekezaji hao watashindwa kuanzisha mazungumzo haraka juu ya umiliki wao pamoja na kodi...
WAKATI Rais Dkt. John Magufuli anatarajiwa kuuzindua Jumatatu, Julai 24, 2017, Uwanja wa Ndege Tabora sasa unatakiwa kujiendesha wenyewe baada ya ukarabati mkubwa uliogharimu Shs. 27...
WAKAZI wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamesema hawataamini ahadi ya serikali ya kujenga barabara ya Mpemba-Isongole mpaka watakapoona imekamilika, kwani wamemchoka na ahadi nyingi zisizotimia.
TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars, inatakiwa kucheza kufa au kupona katika mechi dhidi ya Rwanda Jumamosi, Julai 22, 2017, na ushindi tu ndio utakaoivusha...
NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jaffo, amesema serikali iko bega kwa bega na akinamama wanaojihusisha na miradi ya kupambana...
BARABARA za lami zenye urefu wa kilometa 689.9 ambazo zimegharimu jumla ya Shs. 781.132 bilioni zinafunguliwa na kuzinduliwa na Rais Dkt. John Magufuli kuanzia Julai 19,...
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imejiweka katika mazingira magumu ya kufuzu kwa fainali za Mashindano ya Afrika kwa wachezaji wa klabu...
JUMLA ya watu 48,695 wamekufa na wengine 282,194 kujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani zilizotokea nchini Tanzania katika kipindi cha kuanzia mwaka 2000 hadi 2015.
IKIWA imetoka kulamba Dola za Marekani 10,000 kwa kushinda nafasi ya tatu katika Mashindano ya Kombe la Castle la Baraza la Soka kwa Nchi za Kusini...
UKOSEFU wa gari la zimamoto umekwamisha kuanzishwa kwa safari za ndege za Bombardier za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) mjini Mpanda katika Mkoa wa Katavi kama...
TANZANIA ni miongoni mwa nchi 193 zilizosaini mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na kuenea hali ya jangwa duniani (UNCCD) wenye lengo la kupambana na tatizo la...
TIMU ya Taifa, Taifa Stars, jana usiku Ijumaa, Julai 7, 2017 ilifanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Kombe la Castle yanayoandaliwa na Baraza la...
DAUDI Maliyatabu (35) amelala kitandani katika wodi Namba 4 Kibasila katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam huku akiugulia maumivu makali. Hana uwezo wa...
“NANI kauona mwaka! Nani kauona mwaka! Ni majaliwa yake Mungu eeeh, kuuona mwaka!…” Haya ni mashairi ya wimbo wa ‘Nani Kauona Mwaka’ uliotungwa na Shaaban Dede...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeamua kukunjua makucha yake na kuyaelekeza kwenye sekta ya michezo nchini Tanzania ambapo tayari inawashtaki watu watano kwa...
HIVI karibuni Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu ilizindua Programu ya Kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvukazi wa stadi za maisha kwa vijana mkoani Iringa ikiwa...
“KWA mujibu wa nadharia kuhusu maendeleo, nchi yoyote haiwezi ikaendelea bila ya kuwa na mijadala juu ya mielekeo mbalimbali ya maendeleo. Jukumu mojawapo la wasomi wa...
ZAIDI ya wanafunzi milioni tatu wamejiunga na masomo mwaka 2017 ikiwa ni idadi kubwa kulinganisha na miaka iliyopita, hatua ambayo inaelezwa kwamba imechangiwa na mpango wa...
Hivi karibuni, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameagiza Halmashauri zote nchini kuandalia wazee vitambulisho maalum kwa ajili ya kupata...
ASKOFU Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Blaston Gaville, amesema Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itafuta ufisadi...
ZAMA za kuwepo kwa mbolea zisizo na viwango zinaweza kuwa historia ikiwa kanuni za ununuzi wa pamoja wa mbolea zinazoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea...
JUMA lililopita, Rais John Pombe Magufuli alitoa agizo ya kuwa hakuna mwanafunzi aliyepata ujauzito atarudi shule kuendelea kwa masomo kwa kuwa serikali haiwezi kusomesha wazazi. Wito...
TAASISI ya Twaweza imetoa utafiti wake leo Alhamisi Juni 15, 2017 na kueleza kwamba kiwango cha rushwa kwa watendaji wa umma kimeshuka ndani ya siku 500...
ASILIMIA 84 ya wananchi wamesema watapiga kura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2020 ikilinganishwa na asilimia 67 ambao walijitokeza katika uchaguzi wa mwaka 2015.
WATANZANIA saba kati ya 10 wanaukubali utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli pamoja na serikali yake ya awamu ya tano. Hayo yameelezwa katika utafiti wa...
WALIMU na wanafunzi katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamelalamikia tabia ya viongozi wa serikali kuwalazimisha kushiriki shughuli ambazo hata hazihusu maendeleo yao kielimu. Wakizungumza na...
NYUMBA ya Mwalimu Mkuu katika Shule ya Msingi Mtapemba kwenye Halmashauri ya Nsimbo, takriban kilometa 15 tu kutoka wilayani Mpanda, haina choo. Uchunguzi wa FikraPevu umebaini...
WAKATI dunia ikiwa katika miaka ya mwanzo ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), huenda bado ipo haja ya kutazama upya utekelezwaji wa Malengo ya...
ALHAMISI, Mei 25, 2017 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, aliibuka na kusema kwamba wapo wahujumu uchumi waliotaka kumhonga Rais...
BAADA ya rufaa yake kutupwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), hatimaye Simba wamejifariji kwa kunyakua Kombe la Shikirisho la Azam kwa kuifunga Mbao FC...
NDOTO za Simba kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara ‘mezani’ zimegonga mwamba baada ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kuitupilia mbali rufaa yake ya kupinga kunyang’anywa...
SERIKALI za Tanzania na Uganda zimetiliana saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania...
KAMATI ya Saa 72 ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeilima faini Yanga ya jumla ya Shs. 5 milioni kutokana na vitendo visivyo vya kiungwana michezoni,...