WAKATI wakiendelea ‘kusubiria kudra za Mwenyezi Mungu’ zitende kazi kwenye rufaa yao waliyoipeleka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Simba kesho Jumamosi, Mei 27, 2017 watakuwa...
JUMATANO, Mei 24, 2017 Rais John Pombe Magufuli alipokea taarifa kutoka kwa Kamati ya Profesa Abdulkarim Mruma iliyokuwa inachunguza makanikia yaliyokuwemo katika makontena yaliyozuiliwa kwenye Bandari...
OPERESHENI ya uhakiki wa vyeti feki vya elimu na taaluma nimesababisha mhudumu wa afya katika Zahanati ya Majimoto, Kata ya Majimoto wilayani Mlele katika Mkoa wa...
JUMATANO, Mei 24, 2017 Rais Dkt. John Magufuli alimtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ajiuzulu mara moja kufuatia upotevu wa mabilioni ya fedha...
YANGA imetwaa ubingwa wa soka wa Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululizo na kuibeba ‘ndoo’ moja kwa moja katika msimu ambao umekuwa na changamoto nyingi...
RAIS Dkt. John Magufuli, amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ajiuzulu mara moja kufuatia upotevu wa mabilioni ya fedha katika usafirishaji wa mchanga...
JANUARI 3, 2017 majira ya saa 3:00 usiku katika Kitongoji cha Songambele, Kijiji cha Mumba, Kata ya Masoko katika Wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya, wakati...
NDOTO za wananchi wa Manispaa ya Mpanda na Mkoa wa Katavi kwa ujumla za Jumanne ya Januari 17, 2017 kuhusu kutatuliwa kwa changamoto ya upatikanaji wa...
UPO uwezekano mkubwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, kuondolewa madarakani wakati wowote kuanzia sasa. Trump (70) anaweza kuondolewa na bunge baada kuibuka dalili za wawakilishi...
TANZANIA imejaa watu wengi wanaopenda “ujanjaujanja” katika harakati za kufanikiwa maishani. Wengi wanapenda kuvuna wasichopanda na kula wasicholima wala huhemea. Wao wanaamini kutumia “njia za mkato”...
SASA ni dhahiri kwamba Rais John Magufuli atakuwa katika mikakati ya kuhakikisha swahiba wake, Raila Odinga anashinda urais wa Kenya katika uchaguzi wa nchi hiyo uliopangwa...
MATUMAINI ya wakazi wa Dar es Salaam, Lindi na Mtwara kuanza kutumia gesi asilia majumbani mwao Julai, mwaka huu, hayapo tena. Kukosekana kwa matumaini hayo kunatokana...
Kwa wenye uelewa wa ndani juu ya historia ya dunia, bila shaka watakuwa wanafahamu kwamba katika kipindi fulani kwenye historia ya dunia (207 BC–220 AD), China...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazotoa hifadhi kwa idadi kubwa ya wakimbizi duniani ikiwa nao zaidi ya 300,000. Ukarimu huo umeifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi...
MAWAKILI wa upande wa utetezi na wale wa mashtaka katika Kesi namba 458 inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums wamevutana leo kuhusiana kupokelewa kwa kidhibiti mahakamani. Mvutano huo...
KESI namba 456 inayowakabili wakurugenzi wa kampuni ya Jamii Media inayomilikia gazeti tando la FikraPevu na mtandao maarufu wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike Mushi, inatarajiwa...
LEO Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitafanya uamuzi wa kuwapata wagombea wake kwa nafasi zake mbili za wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki (EALA)....
UGONJWA wa shinikizo la damu, maarufu kwa jina la 'presha,' unatajwa kuwa kitanzi kipya katika maisha ya wazee Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. “Ugonjwa huu...
MKOA wa Geita ni maarufu kwa utajiri wa madini ya dhahabu iliyotapakaa katika eneo mbalimbali mkoani humo, hasa maeneo maarufu la Nyarugusu. Katika miaka ya themanini...
MASHIRIKIA ya kutetea uhai, PROLIFE- Tanzania na Human Life International (HLI) Tanzania, yanaendesha kampeni kupinga muswada ulioandaliwa na Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kuhusu afya ya...
WATANZANIA wengi wameaminishwa kuwa zao la muhogo ni muhimu sana wakati wa njaa. Wanaofanya kazi hiyo ni, kwa kiasi kikubwa ni wanasiasa na viongozi wa dini....
MIAKA 21 iliyopita wakati Mbunge wa Ludewa wakati huo, Horace Kolimba, alipokuwa akipigia debe kuhusu makaa ya mawe Mchuchuma, hakuna aliyekuwa analifahamu eneo hilo isipokuwa wale...
DHANA kwamba Watanzania wengi ni watu wanaoumia “kimoyomoyo” hata kama wanaumizwa, imeanza kutoweka. Idadi yao kubwa; wale walioko vijijini na mijini, wasomi na wale walioshindwa “kukanyaga”...
LICHA ya kuwepo kwa viwanda vitatu vya kusindika bidhaa zitokanazo na zao la nyanya mkoani Iringa, wakulima wa mkoa huo bado wanaendelea kutaabika na uhaba wa...
TAMBO nyingi zimesikika kuhusu umuhimu wa nazi. Wapo wanaoipa sifa kubwa nazi kwa kuwa siyo zao la msimu. Kwamba nazi ni zao linapatikana muda wote na...
MUASISI na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alitangaza maadui wakubwa wa Tanganyika (baadaye Tanzania) kuwa ni ujinga, maradhi na umasikini. Tangu uhuru wa Tanganyika, serikali...
LICHA ya kuwepo kwa uhaba wa walimu nchini Tanzania, lakini kwa sasa hakuna shule yenye mwalimu mmoja katika Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. FikraPevu imeelezwa kwamba,...
* Utafiti unaonyesha kuwa kwa kila wanawake 10 waliopo Tanzania, mmoja amekeketwa jambo linalotishia afya zao AISI SOBO Dar es Salaam. Wakati ukeketaji ukiendelea kushika kasi...
“KWA mwezi mmoja nilikuwa natumia Sh. 140,000 kwa ajili ya kununulia magunia mawili ya mkaa ambayo yanatosha kwa matumizi ya nyumbani, lakini sasa ninaokoa Sh. 365,000...
*Kiwango cha malaria kwa watoto wenye miezi sita hadi 59 ni takribani mara tatu ya wastani wa kitaifa Zaujia Swalehe Dar es Salaam. Wengi tunaufahamu mkoa...
NJAA sasa inainyemelea Wilaya ya Tarime, Mara kutokana na mdudu mharibifu wa mahindi. Ikiwa mavuno ya mahindi hayatakuwa ya kuridhisha msimu, huu, basi wakazi wa wilaya...
Journalist Krista Mahr, writing in the British Guardian newspaper recently, reported that cancer rates are on the rise in Tanzania. Mahr wrote, “Tanzania’s only internationally trained...
SERIKALI mkoani Ruvuma kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii, imefanikiwa kuhimiza kasi ya utalii wa fukwe katika Mwambao wa Ziwa Nyasa ambapo tayari watalii...
SAMAKI na dagaa kutoka Ziwa Nyasa wameadimika. Kuwala imekua kama anasa, kwani, licha kutopatikana kirahisi, wamekuwa bei aghali. Inashangaza kwamba bei ya mazao hayo ya Ziwa...
UNAWEZA ukawa mwendo wa saa 3 na dakika 39 tu kwa gari ndogo kutoka Songea hadi Mbamba Bay kwenye makao makuu ya Wilaya ya Nyasa mkoani...
Katika moja ya mambo ambayo huwa najiuliza na nashindwa kupata majibu kuhusu sisi watanzania ni kuwa, kama leo akija mgeni na kutuliza swali, tunataka kiongozi wa...
*Lakini zipo baadhi hazina walimu wenye sifa kufundisha watoto Dar es Salaam. Mwalimu ni mtu muhimu katika kumsaidia mwanafunzi kupata maarifa yaliyokusudiwa akiwa darasani. Japo mwanafunzi...
MIAKA mitatu iliyopita, hali ya uchumi ya Nobert Rajab Kikoti (61) ilikuwa ya kawaida kama walivyo wakulima wengi wa kijijini kwake Tanangozi mkoani Iringa. Hii ni...
WANAFUNZI wa shule za sekondari Wilaya ya Ngara, Kagera wanakosa masomo kwa kuwa “wanapoteza” muda mwingi wakisaka maji kwa ajili ya matumizi. Hali hiyo inatokana na...
UKOSEFU wa zahanati na vituo vya afya katika maeneo ya pembezoni nchini Tanzania unachangia wananchi wengi kukosa huduma za afya kwa wakati. Uchunguzi ulifanywa na FikraPevu umebaini...
UMEPITA mwaka mmoja na miezi mitatu tangu tumefanya uchaguzi mkuu na sasa tumesalia na miaka mitatu na miezi saba mpaka uchaguzi mwingine mwaka 2020. Wakati wa...
VIONGOZI wa ngazi za mitaa na vijiji mkoani Mtwara wamedai kutengwa na kutoshirikishwa katika masuala mbalimbali ya elimu, hali inayodaiwa kusababisha ongezeko la utoro na kuporomoka...
Baadhi ya wananchi wa vijijini nchini huenda wakasubiri kwa muda kupata maji ya uhakika baada ya Serikali kushindwa kufanikisha ujenzi wa zaidi ya nusu ya vituo...
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Mtiniko, Halmashauri ya Mji wa Nanyamba mkoani Mtwara huanza kufanya mitihani wakiwa tayari wamefeli masomo mawili kati ya saba yanayohitajika. Kimsingi,...
WAKAZI wa Kata ya Mindu katika Manispaa ya Morogoro wanapata huduma za afya chini ya mti kutokana na ukosefu wa jengo la zahanati na kituo cha...
MNAMO Agosti 8, 2016 viwanja vya maonesho Sikukuu ya Wakulima– maarufu; Nane Nane katika eneo la Ngongo, mjini Lindi vilikuwa vimependeza kutokana na kuwepo kwa mabanda...
ASILIMIA 10 ya malipo ya rushwa na upendeleo, huenda “ikawatokea puani” watumishi wawili wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), mkoani Kilimanjaro. Inadaiwa kuwa watumishi hao wamekuwa...
SERIKALI ya Mkoa wa Lindi ikishirikiana na wadau mbali mbali wa elimu ndani na nje ya mkoa, imeazimia kufanya mabadiliko makubwa kwenye ufaulu wa wanafunzi hasa...