Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad amewataka wabunge kuihoji serikali kwa kushindwa kutekeleza bajeti ya mwaka 2017/2018 licha ya ukusanyaji...
Hatimaye wakazi wa vijiji vinne vya kata ya Namasakata wilayani Tunduru wameondokana na tatizo la ukosefu wa maji ya uhakika baada ya Benki ya Dunia (WB)...
Kila nchi inafanya juhudi mbalimbali kuwapa Askari wake vifaa vya kisasa kuimarisha utendaji wao. Hapo zamani, Polisi walikuwa wanatumia bastola au bunduki tu lakini Askari wa...
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii kuunga mkono kampeni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwasaidia wanawake wenye watoto...
Kutu ni moja ya tishio linalosababisha vifaa na mashine zenye asili ya chuma kushindwa kufanya kazi yake na hata kufa kabisa. Kama ilivyo kwa magonjwa ya...
Kuna mtazamo wa baadhi ya watu kuwa mtoto yeyote ambaye anasoma hajakomaa kiakili kiasi cha kuweza kuhusishwa kufanya maamuzi muhimu katika shughuli za familia na jamii....
Kuanza kutumika kwa sheria Mpya za madini, kanuni na ukaguzi wa kampuni za madini kunatajwa kupunguza uzalishaji wa madini ya dhahabu na uwekezaji nchini. Kwa mujibu...
Kwa mujibu wa Jhumpa Lahiri katika kitabu chake cha The Namesake anasema, “ Kusoma kitabu ni kitendo cha kusafiri bila kusogea kutoka pale ulipo”. Naye David...
Licha ya kuimarika kwa huduma za afya nchini China bado wagonjwa wanaoenda kutibiwa katika hospitali nyingi wanalazimika kukaa kwenye foleni kwa dakika kadhaa kabla ya kumuona...
April 7 ya kila mwaka ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ambaye alizaliwa mwaka 1905 na kufariki...
Kusafiri ndani ya treni (garimoshi) kuna upekee wake. Unashuhudia mandhari nzuri ya uoto wa asili, uwanda mpana wa ardhi usio na mwisho, miji mbalimbali yenye kila...
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa kila mwaka Tanzania inakadiriwa kuwa na wagonjwa wapya wa Saratani 50,000 huku...
Rais John Magufuli ameagiza watendaji wa Serikali kujenga kuta kuzunguka maeneo yote yenye rasilimali muhimu ikiwemo madini ili kudhibiti upotevu wa mapato na kuwanufaisha watanzania. Akizungumza...
Kwa mujibu wa Shirika la Watoto Duniani (UNICEF) linaeleza kuwa watoto wachanga 7000 hufariki kila siku duniani kote ambapo ni sawa na watoto 21,000 kwa mwezi....
Serikali imesema kuwa haitasitisha mkataba na Mwekezaji wa Kampuni ya Chai Maruku, iliyoko mkoani Kagera, kwa sababu mgogoro wa malipo uliopo baina ya kampuni hiyo na...
Siku chache baada ya Marekani kutangaza kuwa itatoza ushuru wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 60, serikali ya China imejibu kwa kutoa masharti mapya kwa...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mohamed Mchengerwa ameitaka ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuvifuta vyama vya siasa vinavyodaiwa...
Hadi kufikia Januari 2018, Deni la taifa la nchi ya Uingereza lilikuwa limefikia dola za Marekani 2.5 trilioni, Japani dola trilioni 9.5, China dola trilioni 4.6,...
Majengo mengi makubwa hasa yale ambayo milango yake hubaki wazi huwekwa feni au viyoyozi vikubwa kwenye milango ya kuingilia. Utausikia upepo huu mkali mara tu utakapoingia...
Tunaishi katika dunia ambayo watu wengi wanapenda kujipiga picha ‘selfie’na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Tabia hiyo ya kujipiga selfie inatajwa kuwa ni mapinduzi makubwa ya...
There is a big fight going on in Tanzania just like anywhere in the world. The winning card is within ourselves. Tobacco is the center of...
Rais John Magufuli amesema hazima ya Serikali ya kujenga uchumi wa viwanda inaweza isifanikiwe ikiwa tatizo la upatikanaji wa umeme wa uhakika halitatatuliwa ili kuchochea uzalishaji...
Duniani kote , Aprili 2 ya kila mwaka ni siku iliyotengwa kueneza ufahamu, kujenga uelewa na kukubali juu ya hali ya usonji, ambayo kitaalamu inajulikana kama...
Kumekuwepo maswali kadha wa kadha toka kwa wadau wa Fikra Pevu wakitaka kujua maana ya UTAKATISHAJI FEDHA (Money laundering). Huenda hata wewe unayesoma makala hii...
Kulala kwa muda mrefu kunahusishwa na matatizo ya kuharibika kwa ngozi na kupata maumivu ya viungo hasa mgongo. Pia kujilaza kitandani muda mrefu huusishwa na matatizo...
Katika siku za hivi karibuni umezuka mjadala juu ya kukithiri kwa vitendo vya uhalifu unaohusisha wezi kuingia kwenye nyumba za watu nyakati za usiku na kuwapulizia...
Serikali imeshauriwa kuongeza uwazi na uwajibikaji katika mchakato wa kuandaa na utekelezaji wa bajeti kuu ili kuhakikisha wananchi wanapata taarifa muhimu za vipaombele, miradi na maendeleo...
Ukijaribu kwenda kwenye maduka makubwa utashangazwa na idadi ya dawa za meno utakazokutana nazo. Zipo aina nyingi na ni msululu wa dawa umepangwa kwenye makabati baadhi...
Kukosekana kwa mifumo rahisi ya teknolojia ya mawasiliano katika taasisi za umma na binafsi ni kikwazo kwa wananchi kupata taarifa muhimu za maendeleo katika maeneo yao....
Moja ya nguzo kuu za demokrasia ni uwepo wa uhuru na haki ya wananchi kuwa na maoni na kujieleza. Uhuru huo kimsingi huenda sambamba na uhuru wa...
Inaelezwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza isifikie lengo lake la kujenga uchumi wa viwanda kutokana na mabadiliko ya sera za usimamizi wa fedha na rasilimali ambazo...
A good number of my fellow citizens are struggling to keep their head above water as tough financial times continue. These people are complaining for life...
Siku chache zilizopita Marekani imekuwa ikitangaza hatua kadhaa za kulinda soko lake kwa kubadilisha utaratibu uliofuatwa na serikali zilizopita na kuamua kutoza ushuru kwa baadhi ya...
Bwawa la Nyumba ya Mungu ni chanzo kikubwa cha maji yanayotumika kwa shughuli mbalimbali za kibinadamu, kilimo cha umwagiliaji, mifugo na uzalishaji wa umeme, lakini shughuli...
Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Juma Homera ameitaka Idara ya elimu ya msingi na sekondari kuandaa mitihani kila baada ya miezi mitatu ili kukabiliana na anguko...
Kufuatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuzipatia hati chafu Halmashauri za Wilaya za Kigoma Ujiji na Pangani, rais John Magufuli...
Many residents and tourists from outside Tanzania who get the chance to visit Ngorongoro Conservation area and particularly the Crater, believe the place is like Eden,...
Hatimaye upande wa Jamhuri katika kesi inayoikabili JamiiForums imekamilisha kutoa ushahidi wake na kuipa nafasi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuamua kama kuna kesi ya kujibu...
Mifumo ya utoaji malalamiko katika vituo vya afya ni moja ya vitu muhimu katika kuboresha utoaji huduma za afya nchini. Kukosekana au kutokufanya kazi kwa mifumo...
Ni dhahiri kuwa mji wa Dodoma unakua kwa kasi kutokana na uamuzi wa serikali kuhamishia shughuli zake wa utawala mjini humo, jambo linalochochea ongezeko la watu ...
Imeelezwa watanzania watalazimika kusubiri kwa muda mrefu ili kupata huduma bora za afya kwenye zahanati na vituo vya afya kutokana na uhaba wa madaktari na wahudumu...
Mnamo tarehe 21 mwezi wa tatu mwaka huu Afrika iliweka historia kwa viongozi wa Afrika kutia sahihi ya kuwa na soko huru la Afrika. Viongozi kutoka...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jnsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaagiza madaktari katika hospitali na vituo vya afya kuwafanyia uchunguzi wa ugonjwa wa kifua...
Jumatano ya Machi 21 mwaka huu katika jiji la Kigali, Rwanda lilifanyika tukio la kihistoria la kufufua ndoto na matumaini ya waasisi wa bara la Afrika...
Upatikanaji wa nishati ni nguzo muhimu kwa maendeleo na kupunguza umasikini katika jamii lakini kwa watanzania wengi bado imekuwa ni ndoto iliyokosa suluhisho la kudumu. Inaelezwa...
Mara nyingi mgeni anapoingia mahali, imezoeleka kupokewa kwa shangwe na maneno mazuri ya kumkaribisha, ili ajisikie yuko salama na eneo salama. Maneno yanayosikika kutoka kwa wenyeji ni...
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (TSNP), Abdul Nondo aliyedaiwa ‘kujiteka’ amefikishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kujibu mashtaka...
Upatikanaji wa huduma ya intaneti kwa urahisi na kwa wote ni kipaumbele muhimu cha kijamii na kiuchumi kilichowekwa na nchi mbalimbali duniani ili kuhakikisha dunia inaunganishwa...