Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesimamisha utoaji wa hati za kusafiria za makundi ya vijana wanaosafiri kwenda nje ya nchi kwa kuwa wananyanyaswa na...
Kila mtu anapenda chokoleti (chocolate). Labda sio kila mtu lakini watu wengi wanapenda. Zao la kakao ambalo hutokana na mti wa Theobroma ndio hutumika kutengenezea chokoleti...
Kampuni ya madini ya Acacia Mining imetoa ripoti ya uzalishaji dhahabu kwa robo ya mwisho ya mwaka 2017 ikionyesha kushuka kwa uzalishaji wa dhahabu hadi kufikia...
Daniel Samson Baadhi ya wananchi waishio vijijini wataendelea kusubiri kupata huduma ya maji ya uhakika kwa muda usiojulikana kwasababu ya kukosekana kwa takwimu za utendaji wa...
Wakati serikali ya Tanzania ikitekeleza sera ya elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, serikali ya Morocco inakusudia kupeleka mswada wa sheria bungeni ili kufikia...
Nchini Tanzania msichana wa shule ya msingi na sekondari akipata mimba ndio inakuwa mwisho wa masomo yake. Anafukuzwa shule na haruhusiwi kuendelea na masomo hata baada...
Aliyetobolewa macho kupewa fidia milioni 30 Hakimu asema rufaa iko wazi kwa mtu ambaye hajaridhika Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Salum Njwete maarufu kwa jina...
Licha ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutoa kauli ya kibaguzi dhidi ya nchi za Afrika, inaelezwa kuwa bado wananchi wa bara hilo wanaukubali uongozi wa ...
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imezindua Muongozo wa matibabu na orodha ya dawa zote muhimu ili kupunguza tatizo la...
Haki ya Faragha ni miongoni mwa haki za msingi ambazo zinatambulika kimataifa ambayo hulinda uhuru na taarifa muhimu za mwananchi mmoja mmoja zisifahamike kwa watu au...
UTAFITI mpya uliotolewa na Chuo Kikuu cha British Columbia cha nchini Canada umebaini kuwa kunusa nguo ya mpenzi wako aliye mbali nawe kunasaidia kupunguza msongo wa...
Ukosefu wa takwimu zinazojitosheleza za meli, maeneo ya bahari zinakoendesha shughuli za uvuvi umekuwa kikwazo kwa serikali za nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania kukabiliana na ...
Kabla ya kuingia katika mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Tanzania ilikuwa na mfumo wa Bunge la chama kimoja yaani wabunge wote walitoka chama tawala. Majadiliano...
Serikali yashauriwa kutoa tafsiri sahihi ya 'Maadili ya Mtanzania' Wengine wasema wanawake waachwe huru wasipangiwe mavazi ya kuvaa Mjadala wa mavazi yanayovaliwa na wanawake umeendelea kushika...
Ripoti mpya iliyotolewa na taasisi huru ya Freedom House imesema misingi ya demokrasia ikiwemo uhuru wa vyombo vya habari na haki ya kukusanyika imeendelea kudhoofika nchini...
Shirika la Misaada la Marekani (USAID) kwa kushirikiana na Asasi za Kirai Tanzania wamezindua mradi wa Boresha Habari unaolenga kuwahusisha na kuwawezesha wanawake na vijana kupaza...
Tanzania imeshauriwa kuboresha huduma za usafiri wa anga kwa kulegeza masharti ya upatikanaji wa vibali vya kuingia nchini ili kutanua wigo wa ukuaji wa sekta ya...
Mwishoni mwa mwaka 2017 wanafunzi wa darasa la nne na la saba walifanya mitihani ya kitaifa ili kupima ujuzi na maarifa waliyoyapata katika kipindi cha kusoma...
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa atoboa siri ya kufanya mazungumzo na rais John Magufuli kwamba ilikuwa ni kumshawishi kurejea kwenye Chama Cha Mapinduzi. Kauli...
Benki ya Dunia (WB) imesema Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi duniani ambazo uchumi wake unakua kwa haraka lakini inapaswa kudhibiti ongezeko la deni la taifa...
Shirika la Afya Duniani (WHO) linaeleza kuwa kila mwaka watu 60,000 hufariki kutokana na ugonjwa wa kichaa cha mbwa, ambapo milioni 15 hupata matibabu ya ugonjwa...
Imeelezwa kuwa tabia ya kujipiga picha mwenyewe (selfie) na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii ni ugonjwa wa akili ujulikanao kitaalamu ‘Selfitis’ ambapo mgonjwa wa tatizo hili...
"rushwa adui wa haki” ni msemo ulitumika sana na mwasisi wa taifa la Tanzania mwalimu Julius Nyerere katika harakati zake za kupinga utoaji na upokeaji rushwa ambayo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuanzia Aprili mwaka huu serikali yake itaanza kuwalipa wafanyakazi wa umma kima...
Wakaazi wa wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi wanategemea zao la korosho kama zao kuu la biashara na kusahau mazao mengine yanayoweza kubadili maisha yao kiuchumi....
Licha ya China kuwekeza mtaji mkubwa katika miradi ya maendeleo katika nchi za Afrika ikiwemo Tanzania, imebainika kuwa nchi hiyo ina mchango mdogo katika mapambano dhidi...
Serikali imeendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ili kuwapatia wananchi wote maji safi na salama. Imejiwekea malengo ya kuhakikisha ifikapo 2020 watu milioni 24 wapate maji ya uhakika...
Licha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kupokea wanachama kutoka upinzani ambapo leo chama hicho kimempokea Mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
Mabadiliko ya mtindo wa maisha ikiwemo ulaji wa vyakula vyenye mafuta na kutofanya mazoezi umeongeza idadi ya watu wanaofanyiwa upasuaji katika nchi za Afrika na kuwaweka...
Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha pili yaliyofanyika Novemba 2017 na kuonyesha kuwa asilimia 89.93 ya wanafunzi wamepata ujuzi na maarifa kuwawezesha...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Suleman Jaffo amesema ongezeko la bajeti ya afya ndio sababu kuu ya...
Licha ya serikali kuitenganisha wizara ya Nishati na Madini ili kuongeza ufanisi, inaelezwa kuwa wizara ya madini bado inakabiliwa na changamoto nyingi zinazokwamisha upatikanaji wa mapato...
Siku moja baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuvipiga faini vituo vya runinga vya Star TV, Azam, Channel Ten, EATV na ITV kwa kukiuka maadili...
Licha ya idadi ya wateja waliounganishwa kwenye mitandao ya majitaka katika miji mikuu kuongezeka, ni asilimia 20 tu ya wananchi katika miji hiyo wanafikiwa na huduma...
Licha ya Tanzania kupiga marufuku uchinjaji wa nyama ya punda, inaelezwa kuwa biashara ya uuzaji wa punda inaendelea kwa njia zisizo halali kutokana na uhitaji mkubwa...
“Ukimkomboa mwanamke umeikomboa jamii yote” ni usemi ambao umezoeleka hasa kwa wanaharakati wa kutetea haki za wanawake na watoto ambao huamini kuwa mwanamke ana nafasi kubwa...
Maendeleo ya nchi za Afrika kwa sehemu kubwa yanategemea misaada kutoka nchi zilizoendelea, lakini suala hilo limeibua mijadala juu ya ufanisi wake katika kukuza uchumi na...
Inakadiliwa kuwa watoto wachanga 5,995 wamezaliwa katika siku ya mwaka mpya wa 2018 nchini Tanzania lakini asilimia 60 ya watoto hao hufariki kabla ya kutimiza mwaka mmoja...
Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe ameijibu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inayochunguza utajiri alionao na mwenendo wa ulipaji kodi, kuwa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inakusudia kuchunguza utajiri na ulipaji wa kodi wa Askofu Mkuu, Zachary Kakobe wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (F.G.B.F) ili...
Kuishi ni haki ya msingi ambayo binadamu anatakiwa kuwa nayo ili apate stahili nyingine akiwa hai, lakini mifumo ya uongozi katika nchi mbalimbali imekuwa kikwazo kutekeleza...
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania unaeleza kuwa watoto wanaokula samaki mara moja kwa wiki wanapata usingizi wa uhakika na uwezo wao kufikiri, kuelewa na...
Imeelezwa kuwa ili Tanzania iwe kitovu cha uzalishaji wa vito vya madini ya Tanzanite, serikali na wadau wa madini nchini washirikiane na kutumia sheria kutatua migogoro...
Licha ya pato la ndani la bara la Africa kwa sehemu kubwa kuchangiwa na uchumi usio rasmi, serikali na mashirika ya kimataifa yakiwemo Benki ya Dunia...
Na Daniel Samson Licha ya juhudi mbalimbali za serikali na wadau wa uhifadhi wa mazingira kuzuia matumizi ya mifuko ya plastiki, imeibuka aina nyingine ya plastiki...
Elimu ni mfumo wa maarifa unaomwezesha mwanafunzi kupata ujuzi na stadi ambazo zitamsaidia kumudu mazingira yanayomzunguka. Lakini elimu huwa katika mfumo maalumu ambao unajulikana kama mtaala...
Viongozi waandamizi wa serikali wametakiwa kudumisha na kulinda amani ya nchi kwa kuruhusu uhuru wa kutoa maoni na kuhimiza uvumilivu wa kisiasa miongoni mwa jamii. Wito...
“Nina ndoto kwamba siku moja nchini Tanzania, watu wenye albinism watachukua nafasi yao inayostahili katika ngazi za jamii. Na kwamba siku za ubaguzi dhidi ya watu...