Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaagiza wataalamu wa wizara yake kuwekeza katika tafiti za tiba asili ili kuboresha utolewaji...
Shirika la Taifa La Hifadhi ya Jamii (NSSF) Wilaya ya Ilala linaendelea na uchunguzi wa wanachama ambao wamefungua madai ya kulipwa mafao baada ya kuachishwa kazi...
Kila ifikapo Juni 25 kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya kupiga vita dawa za kulevya na kutathimini jitihada zilizofikiwa katika kupunguza tatizo la matumizi ya dawa...
Licha ya bara la Afrika kumiliki hazina kubwa ya madini, inachangia asilimia 8 tu madini yote yanayotengenezwa duniani. Inakadiriwa kuwa asilimia 30 ya madini yote yanayochimbwa...
Imebainika kuwa nusu ya watu wote wanaoishi duniani hawapati huduma bora za afya jambo linalowatumbukiza kwenye umaskini kutokana na kutumia gharama kubwa za matibabu. Licha ya...
“Tunahitaji kutetea mfumo wa elimu unaokidhi mahitaji na kufanya mabadiliko ili kuleta elimu bora kwa watoto wetu na taifa la kesho kwa ujumla”. Hii ni nukuu...
Wakili wa upande wa utetezi avutana na Wakili wa Jamhuri ambayealiiomba mahakama ipokee kielelezo cha taarifa iliyowekwa kwenye mtandao wa JamiiForums ikisadikiwa kuichafua kampuni ya mafuta...
Kilimo ni sekta ya uzalishaji ambayo huchangia kukuza pato na kuimarisha uchumi la taifa. Tanzania ikiwa ni nchi inayotegemea kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)aliyestaafu, Ludovick Utouh amesema sheria inaruhusu serikali kutumia fedha ambazo hazijaidhinishwa na bunge kwa masharti ya kutoa taarifa kwa chombo...
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Geita, Upendo Peneza amesema anakusudia kuzuia uchaguzi mdogo wa marudio katika majimbo ambayo wabunge wake wamejiuzuru na kujiunga na vyama...
Utulivu na usikivu wa mwanafunzi akiwa darasani ni hatua muhimu ya kupata maarifa kutoka kwa mwalimu anayemfundisha. Lakini shule zina utaratibu wa kutoa majaribio na mitihani...
Utafiti wa taasisi ya Twaweza unaeleza serikali inapoteza bilioni 793 kila mwaka za mishahara ya walimu wa shule za msingi ambao hawatimizi majukumu yao ya kufundisha...
Wataalamu wa Shirika la Kimataifa la fedha (IMF) wameishauri Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kupitia na kuondoa utata wa takwimu za ukuaji wa uchumi ilizozitoa...
Sera ya maji ya mwaka 2002 inabainisha kuwa Matatizo mengine katika kusimamia na kuendeleza rasilimali za maji hapa nchini yapo katika maeneo ya utunzaji wa rasilimali...
Rais wa Tanzania, John Magufuli ameitaka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi kuzirejesha serikalini shule za sekondari ambazo imeshindwa kuziendesha ili ziboreshwe na kutoa elimu...
Wananchi wakielemishwa wakaelimika ni faida kwa taifa. Kuelimika kunategemea ubora wa elimu inayotolewa ambayo hupimwa kwa vigezo mbalimbali, ikiwemo ujuzi na maarifa wanayopata wanafunzi wakiwa shuleni...
Inaelezwa kuwa vikosi vya jeshi la Tanzania kuendelea kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Congo DRC) licha ya kupoteza wanajeshi wake 14 katika shambulio...
Licha ya kuongezeka kwa bajeti inayoelekezwa katika sekta ya lishe nchini, bado haijafanikiwa kutokomeza tatizo la udumavu kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 5, jambo...
Wananchi wanaoishi jirani wa viwanda jijini Dar es Salaam wapo hatarini kupata magonjwa ya mfumo wa upumuaji, ngozi na kansa kutokana na kuvuta vumbi, moshi na...
Rais John Magufuli ametoa msamaha na kuagiza kuachiwa huru kwa familia ya Nguza Viking maarufu ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ambao walihukumiwa kifungo cha maisha kwa...
Kushukuru kwa kila jambo jema unalofanyiwa na mtu ni muhimu katika kujenga uhusiano mzuri na watu wanaokuzunguka. Kwa kutambua hilo kila ifikapo mwisho wa mwaka watu...
Serikali imeshauriwa kuharakisha upitishaji na utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa kuzuia unyanyasaji na mauaji ya wazee nchini utakaosaidia kuundwa kwa Baraza la Wazee na kujenga...
Ifikapo Desemba 10 kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya Azimio la Haki za Binadamu lililoasisiwa mwaka 1948 na kuwa tamko rasmi linaloainisha haki za msingi ambazo...
Shahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi 457 inayoikabili JamiiForums, amekiri kutokuwepo kwa mahusiano kwa kampuni ya Jamii Media na JamiiForum kwa kuwa kisheria kila kampuni...
Wakazi katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania wamekuwa wakitegemea kilimo cha mazao ya chakula kama chanzo cha kipato na kuendesha familia zao. Licha ya juhudi za wakulima...
Ongezeko la gharama za uendeshaji wa benki na masharti mapya ya kodi yaliyowekwa na serikali kwa taasisi za fedha yametajwa kuathiri mwenendo wa utoaji mikopo kwa...
Maendeleo ya jamii yanachangiwa na mambo mengi ikiwemo upatikanaji wa maji safi na salama. Kwa Tanzania maji yanayozalishwa na Mamlaka za Maji Mjini hayakidhi mahitaji yote...
Kesi namba 457 inayoikabili JamiiForums, kuhusu kampuni ya CUSNA Investment ambayo ilidaiwa kufoji nyaraka bandarini, kukwepa kodi na kuwatesa wafanyakazi wazalendo na kupendelea wageni toka nje...
Kwa mara nyingine tena, China ni mwenyeji wa mkutano kuhusu mtandao wa Internet, unaofanyika katika mji wa Wuzhen, mkoani Zhejiang hapa China. Mada mbalimbali zinajadiliwa kwenye...
Kutokana na kasi ya wanachama wa vyama vya upinzani kuhama vyama vyao na kukimbilia Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kuunga mkono juhudi za rais...
Matumizi ya nishati ya asili katika shughuli za binadamu yamekuwa chanzo kikubwa cha uharibifu wa mazingira, lakini nishati hiyo inatajwa kuathiri zaidi afya za watoto hasa...
Serikali kwa kushirikiana na taasisi binafsi katika Wilaya ya Tunduru inaendelea na uchimbaji wa visima virefu vya maji katika vijiji 23 ili kupunguza tatizo la upatikanaji...
Kansa ya matiti ni miongoni mwa magonjwa yanayowatesa wanawake wengi duniani na kuhatarisha afya zao. Lakini kumekuwepo na hisia tofauti juu ya maumivu ya kawaida ambayo...
Elimu ni njia sahihi ya kumkomboa mwanadamu kifikra na kumuwezesha kumudu mazingira yanayomzunguka ili kufikia malengo aliyojiwekea. Kwa kutambua umuhimu wa elimu, serikali imeweka mfumo mzuri...
Vyombo vya habari nchini vimetakiwa kuboresha maslahi ya wanahabari na kujenga taasisi imara zinazoendeshwa kwa weledi na taaluma ili kuongeza uhuru wa kujieleza na kupata taarifa....
Mgogoro wa kuuza watu unaoendelea Libya umechukua sura mpya baada ya vyombo vya habari kuripoti matukio ya kuteswa na kuuzwa kwa Waafrika weusi ambao wanakimbia hali...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akihojiwa na vyombo vya Reuters na Sauti ya Amerika(VoA) amesema Serikali ya Rais Magufuli imeonesha dhamira ya kisiasa ya kupambana...
Serikali imeshauriwa kuimarisha mifumo ya utoaji taarifa kwa kuzijengea uwezo taasisi zake na kuboresha sheria ili kuongeza uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika rasilimali muhimu za...
Daniel Samson Sekta ya maji inagusa maisha ya kila siku ya mwanadamu. Uhai wa binadamu kwa kiasi kikubwa unategemea uwepo wa maji lakini vitendo vya rushwa...
Zahanati ya Bujonde ni miongoni mwa zahanati 29 zilizomo katika Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya lakini siku za hivi karibuni imeibua mjadala kutokana na uchakavu wa...
Licha ya serikali kufanikiwa kuboresha miundombinu ya sekta ya elimu nchini lakini inakabiliwa na changamoto ya ufanisi na utendaji wa baadhi ya watendaji ambao wanashindwa kuendana ...
Uwazi na uwajibikaji katika jamii ni moja ya nguzo muhimu ya kuimarisha mfumo wa Demokrasia. Ili Demokrasia istawi na kuimarika ni lazima wananchi wapate nafasi ya...
“Afya njema ni msingi mkubwa wa maendeleo katika taifa. Nchi ambayo wananchi wake hawana afya njema kamwe haiwezi kupata maendeleo, hii ni kwa sababu mwananchi asiye...
Tanzania imekuwa na ukuaji mzuri wa uchumi lakini changamoto kubwa ni kuongezeka tofauti ya kipato kati wananchi wa kipato cha chini na matajiri hali inayoweza kuathiri...
Kutokana na ukuaji wa miji na viwanda, mahitaji ya maji nchini yameongezeka na kusababisha changamoto ya upatikanaji wa maji katika maeneo ya vijijini na mijini, hali...
Yasema dawa ya rushwa ni uwazi na uwajibikaji Kuzijengea uwezo Asasi ya Kiraia kukuza Demokrasia nchini Umoja wa Ulaya (EU) umeitaka serikali ya Tanzania kuimarisha taasisi...
Umbali kutoka shule na mazingira wanayoishi wanafunzi una nafasi kubwa ya kuathiri maendeleo ya wanafunzi kielimu. ili kukabiliana na changamoto hiyo baadhi ya shule zimejenga hosteli...
Licha ya serikali kuboresha miundombinu ya sekta ya afya, bado vituo vingi vya afya vinatoa huduma hiyo kwa upendeleo na kuwabagua baadhi ya wagonjwa ambao hawana...