Vurugu na idadi ndogo ya wapiga kura katika vituo imeshuhudiwa katika uchaguzi wa marudi nchini Kenya, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeahirisha uchaguzi huo katika...
Katika kile kinachotajwa ni kamata kamata ya viongozi wa upinzania, leo Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dkt. Vicent Mashinji ametakiwa kuripoti katika...
Wakati mjadala ukiendelea juu ya hali ya uchumi nchini, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema uchumi wa nchi umeimarika na umekuwa kwa asilimia 6.8....
November 30 hadi Disemba 2, 2016 kule Mexico ulifanyika mkutano wa mwaka wa viongozi wa majiji makubwa duniani ujulikanao kama ‘C40 Mayor’s Summit’. Mkutano huo uliwakutanisha...
Rais John Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuwafikisha mahakamani watu wanaobadilisha takwimu zinazotolewa na serikali na kuwapotosha watanzania. Akitoa maagizo hayo Ikulu leo wakati wa kuwatunuku...
Matamanio ya watanzania wengi ni kuwa na katiba bora itakayoweza kusimamia rasilimali za nchi na kuhakikisha zinamnufaisha kila mwananchi na kuwa na ustawi mzuri wa jamii....
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema chama chake kitaendelea kuikosoa serikali pale inapokosea na kutetea maslahi ya taifa. Akizungumza leo na vyombo...
Mazoezi ni sehemu muhimu ya kuufanya mwili kuwa imara na wenye afya, lakini kumekuwa na mijadala mbalimbali juu ya kufanya mazoezi ukiwa na njaa au tayari...
Siku moja baada ya serikali kutangaza makubaliano yaliyofikiwa na kampuni ya Barrick kulipa fidia ya bilioni 700, Kurugenzi ya fedha ya kampuni ya Acacia imesema haina...
Ikiwa imepita siku moja baada ya serikali na Kampuni ya madini ya dhahabu ya Barrick kukubaliana kugawana faida ya 50 kwa 50, Waziri wa Sheria na...
Mabadiliko ya tabia nchi ni mtiririko wa mfumo wa mabadiliko ya hali ya hewa yanayochukua muda mrefu au mfupi na kusababisha hali mbaya za hewa ama...
Vuguvugu la kufufua mchakato wa Katiba Mpya limeendelea kujitokeza kwa sura mpya ambapo uchunguzi uliofanywa na Shirika la Twaweza unaoonyesha kuwa wananchi wengi wanataka katiba mpya...
– Mkuu wa Chuo akataa kuwapokea mpaka walipe ada – Lions Club Morogoro yasema ilikuwa hisani tu kwa wanafunzi hao Wanafunzi 24 wa Chuo Cha Uuguzi...
Ukosefu wa mikopo katika taasisi za fedha kumetajwa kama sababu mojawapo ya kuanguka kwa uzalishaji na soko la bidhaa katika sekta binafsi nchini. Hayo yamebainishwa leo...
Imebaki changamoto moja katika bara la Afrika nayo ni vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vinatokea katika nchi mbalimbali na kukwamisha ukombozi wa bara hili kuwa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema afya ya Tundu Lissu imeimarika na ataingia katika awamu ya tatu ya matibabu nje ya Nairobi....
Serikali imetakiwa kuzifanyia marekebisho sheria na kanuni zinazosimamia usalama barabarani ili kuokoa vifo vinavyozuilika na kukuza uchumi wa taifa. Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amesema mwenge wa uhuru utaendelea kukimbizwa katika maeneo mbalimbali ya nchi ili kuchochea shughuli za maendeleo. Rais...
Kufanya kazi ni sehemu ya maisha ya binadamu yeyote. Mtu asipofanya kazi huugua kwasababu mwili unashindwa kujiendesha na kuzalisha seli mpya ambazo zinatakiwa zitumike. Kwa kila...
Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda amejisalimisha mikononi mwa Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano juu ya kauli alizotoa...
Sudan Kusini ni nchi changa iliyojipatia uhuru wake miaka michache iliyopita na kuwa taifa huru lenye mamlaka kamili ya kisiasa na kiuchumi. Nchi hiyo ilitangaza uhuru wake...
Mlima Kilimanjaro umeshinda tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii Afrika mwaka 2017 na ushindi huo ni wa nne tangu mwaka 2013. Ushindi huo ulitangazwa katika hafla...
Nchi za Afrika Mashariki ni miongoni mwa nchi zenye gharama kubwa za uchukuzi na usafirishaji wa mizigo duniani. Gharama hizo kwa kiasi kikubwa zimepunguza ushindani wa...
Jamii imetakiwa kumuondolea mtoto wa kike vikwazo na kumtengenezea mazingira rafiki na salama akiwa shuleni na nyumbani ili afikie ndoto zake za kielimu. Wito huo umetolewa...
Makala iliyopita tuliongelea dhana ya Trauma na dalili zake, leo tena tunaendelea kuangalia hali halisi ya trauma, athari na jinsi ya kukabiliana nayo. Kimsingi tatizo hili...
Kituo cha Sheria na Haki za binadamu (LHRC) wameitaka serikali kuifanyia marekebisho Sheria ya Kuzuia Ugaidi ya mwaka 2002 ambayo inatoa adhabu ya kifo kwa makosa...
Tunaishi katika dunia ambayo inakabiliwa na matatizo mbalimbali ambayo husababishwa na shughuli za binadamu na nguvu za asili kama mafuriko, vimbunga, matetemeko chini ya ardhi ambayo...
Muda mfupi baada ya kuapishwa katika nyadhifa zao, mawaziri wapya walioteuliwa na Rais John Magufuli waahidi kuwatumikia wananchi kuifikisha nchi kwenye uchumi wa viwanda. Mawaziri hao...
Kuishi muda mrefu ni matamanio ya kila binadamu, kwa sababu kila aliyezaliwa ana kusudi la kutimiza kabla ya kuondoka duniani. Mazoezi ya mwili na ulaji wa...
Ukatili wa kijinsia ni matendo yote yanayolenga kuvunja haki za binadamu ikiwemo kudhalilisha utu wa mtu. Ukatili huo hutokea kwa wanawake na wanaume lakini wanaoathirika zaidi...
Saa 5 asubuhi napita mtaa wa Golani, kata ya Kimara katika jiji la Dar es salaam, watu wanaendelea na shughuli zao kuhakikisha uchumi unakaa vizuri. Ni...
Jamii imetakiwa kuwalinda watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia unaotokea katika shule za msingi ili kuwawezesha wanafunzi kupata elimu bora itakayowakomboa kifikra. Licha ya serikali kutoa...
Daniel Samson Nafasi ya mwanamke kukuza kilimo Tanzania Serikali ya Tanzania katika sera na mipango yake mbalimbali inatambua kuwa usawa wa kijinsia na kumuwezesha mwanamke ni...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wananchi wanaosafirisha fedha taslimu zaidi ya milioni 22.5 (Dola 10,000 za Kimarekani) nje ya nchi kujaza fomu yenye maelezo kuhusu fedha...
Kila mtu anapenda kuwa na furaha, lakini kuna wakati huzuni hutawala na mtu kushindwa kufanya atakayo. Furaha haipatikani isipokuwa umechukua hatua kuitafuta. Ukitaka furaha katika maisha yako...
katika kuelekea siku ya Wazee Duniani, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amewataka wazee wa kata katika jimbo hilo kujitokeza katika zoezi la kujiandikisha ili...
Daniel Samson Kila binadamu aliyezaliwa huongezeka kimo kuanzia akiwa mtoto, kijana na hatua ya mwisho ni uzee na kifo. Kifo hakina kanuni na kinaweza kumpata mtu...
Chaki ni bidhaa inayohitajika sana katika soko la Tanzania hasa kipindi hiki ambacho serikali imeweka mkazo kuinua ubora wa elimu kwa kuandikisha wanafunzi wengi. Chaki...
Katika kile kinachotajwa kubana uhuru wa kujieleza na haki ya kupata habari, serikali imeendelea na mchakato wa kuandaa kanuni zitakazosimamia maudhui ya mitandao ya kijamii na...
Serikali imeshauriwa kufufua mchakato wa kupata katiba mpya ili iweze kufanikiwa katika mapambano dhidi ya rushwa na kuboresha maisha ya watanzania. Mchakato wa katiba mpya ulikwama...
Daniel Samson Jicho ni kiungo kimojawapo cha mwili kinachomsaidia mwanadamu na pia wanyama kuona vitu mbalimbali vilivyomo dunia. Matatizo ya macho yapo ya aina mbalimbali: Mengine...
Wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kusajiliwa kwa ajili ya kupewa vitambulisho vya Taifa katika maeneo ambako zoezi hilo linaendelea ili kutoa fursa kwa kila mwananchi mwenye...
Daniel Samson Ulemavu wa ngozi ni hali ambayo huweza kurithishwa toka kizazi kimoja hadi kingine, huweza kupotea na pia hali hiyo yaweza kubaki katika ukoo au...
–Ukikosa uaminifu huwezi kuwa na mahusiano mazuri na watu Je watu wanaokuzunguka wanakuchukuliwa wewe kama mwaminifu na mkweli? Mtazamo wako kwa watu wengine ukoje? Uaminifu ni...
Kinondoni ni wilaya mojawapo iliyopo katikati ya jiji Dar es salaam, ambapo katika fikra za watu waishio pembozoni mwa nchi hudhani kuwa upatikanaji wa huduma za...
Licha ya jitihada mbalimbali za serikali na wadau wa afya ya mama na mtoto kuhamasisha matumizi ya njia sahihi za uzazi wa mpango, bado idadi ya...
Elimu ni haki ya msingi kwa kila mtoto, lakini kutokana na changamoto mbalimbali wapo watoto ambao hawakupata fursa ya kupata elimu ya msingi katika umri unaostahili....
Ukuaji wa teknolojia na kuvumbuliwa kwa njia za kisasa katika sekta ya habari na mawasiliano, kumerahisisha upatikanaji wa huduma za fedha kwa njia ya simu ambapo...