Connect with us

Investigative

Traffic Police akichapana makonde na dereva wa basi

Published

on

Hekaheka kati ya Trafiki na dereva wa basi wakichapana makonde baada ya dereva wa basi hilo kutaka kufunga gurudumu ambalo Trafiki huyo aliikataa kwa madai ni chakavu.

Dereva alipoamua kufunga gurudumu hilo chakavua, Trafiki huyo alimkamata kinguvu huku akimlazimisha kwenda kituo cha Polisi Muhoro.

Tukio hilo limetokea katika barabara ya Kilwa Kijiji cha Muhoro Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani, Trafiki huyo alitambulika kwa jina la Omari na dereva anaitwa Calvin. Dereva huyo alifunguliwa kesi tatu za kubambikiwa ya kwanza kutotii amri ya polisi ya pili kumpiga polisi na kumchania nguo polisi.

Video hapa chini niliipata japo kwa shida (inatikisika)

Continue Reading
3 Comments

3 Comments

 1. jose

  06/01/2013 at 5:54 pm

  Police sometime anatakiwa aaply zile sheria na tartibu za semina ili kumkabiri mtu mkolofi kama huyo pasipo kushikana.

   

 2. experius b nshunju

  08/01/2013 at 4:11 pm

  some times  tanzanian  police  wanauzi sana wanadhani wao awako juu ya sheria

   

 3. experius b nshunju

  08/01/2013 at 4:13 pm

  viongozi wao  nao  wana changia kuintatein uzembe  kwa kuwa kingia kifua kwa kufungua kesi za ovyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Investigative

‘UBESHI’: Safari ya Vijana Kuifikia Almasi Mwadui-Shinyanga

Published

on

MAJUZI nilikuwa katika utafiti wa namna gani Madini ya Almas yanayopatikana katika Mji Mdogo wa Maganzo Wilayani Kishapu mkoani Shinyanga umewanufaisha wananchi wanaozunguka Mgodi wa Almasi wa Mwadui.

(more…)

Continue Reading

Investigative

Hofu ya Usalama kwa wafanyakazi GGM Yatanda

Published

on

SIKU chache baada ya moto kuzuka ndani ya mgodi wa Geita (GGM) na kuteketeza mali zenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 25,hofu kubwa ya kupoteza maisha imeibuka kwa uongozi na wafanyakazi wa mgodi huo.

(more…)

Continue Reading

Investigative

If we can’t give people’s priorities the attention they deserve, why ask them to prioritize?

Published

on

In a move intended to empower the citizens and give them mandate to decide on their own development priorities, the government adopted the decentralization policy.

(more…)

Continue Reading

Muhimu Kusoma

Copyright © 2020 FikraPevu.com