Hivi karibuni tumeshuhudia matukio kadhaa ya vifo kwa wanandoa, aidha mume kumuua mke wake au mke kumuua mume wake. Ni matukio ya kusikitisha ambayo yameripotiwa sehemu...
Hivi karibuni Rwanda imebadili Sheria yake ya mwaka 2009 iliyokuwa inakataza umiliki na uuzwaji wa silaha za moto. Sheria mpya ya silaha za moto nchini humo...
Wagiriki wana tafsiri yao demokrasia kama ‘uongozi wa watu’. Na tafsiri ya kisasa inaelezeaza demokrasia zinasema ni mfumo wa serikali unaoongozwa na watu moja kwa moja...
Kila mtu anafahamu jinsi ilivyo ngumu kujifunza lugha ya pili hasa unapokuwa mtu mzima. Katika utafiti mpya, wanasayansi wamebainisha kuwa kuna umri ambao mwanadamu akifika itampa...
Intaneti iko kila mahali. Inapatikana ofisini, kwenye maduka makubwa, hata vituo vya mabasi utaipata huduma hiyo. Sio tena anasa lakini kiuhalisia ni fahari na haki ya...
Ni kawaida ya watu wengi kuangalia utabiri wa hali ya hewa kabla ya kutoka nyumbani na kwenda katika majukumu ya kila siku. Tunapata taarifa za hali...
Ni jambo la kushangaza tena la kustaajabisha! Ni kule mashariki ya mbali, rasi ya Korea. Nchi zenye uhasama mkubwa kisiasa ziliamua kuweka tofauti zao pembeni na...
Aprili 25 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya Ugonjwa wa Malaria. Lengo hasa ni kutathmini hatua zilizopigwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa ambao unaua maelefu ya...
Leo watanzania kutoka nchi mbili za Zanzibar na Tanzania Bara wanaungano kusherehekea miaka 54 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioasisiwa April 26, 1964 na viongozi...
Licha matumizi ya intaneti kuongezeka katika ukanda wa Afrika Mashariki, watumiaji wa mitandao ya kijamii hawatafaidika na huduma hiyo kutokana vikwazo vya kisheria vilivyowekwa na serikali...
Matukio ya watu kujiua yameendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali nchini. Watu ambao wanaondoa uhai wao kwa kunywa sumu, kujinyonga au kujirusha kwenye majengo marefu, sio mambo...
Kwa muda mrefu sasa intaneti imekuwa ni jukwaa muhimu la kuwaunganisha watumiaji wa mitandao ya kijamii duniani kote; kupashana habari na kupadilishana uzoefu wa kijamii, kiuchumi,...
Kwa mujibu wa Jhumpa Lahiri katika kitabu chake cha The Namesake anasema, “ Kusoma kitabu ni kitendo cha kusafiri bila kusogea kutoka pale ulipo”. Naye David...
April 7 ya kila mwaka ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ambaye alizaliwa mwaka 1905 na kufariki...
Hadi kufikia Januari 2018, Deni la taifa la nchi ya Uingereza lilikuwa limefikia dola za Marekani 2.5 trilioni, Japani dola trilioni 9.5, China dola trilioni 4.6,...
A good number of my fellow citizens are struggling to keep their head above water as tough financial times continue. These people are complaining for life...
Many residents and tourists from outside Tanzania who get the chance to visit Ngorongoro Conservation area and particularly the Crater, believe the place is like Eden,...
Mnamo tarehe 21 mwezi wa tatu mwaka huu Afrika iliweka historia kwa viongozi wa Afrika kutia sahihi ya kuwa na soko huru la Afrika. Viongozi kutoka...
Jumatano ya Machi 21 mwaka huu katika jiji la Kigali, Rwanda lilifanyika tukio la kihistoria la kufufua ndoto na matumaini ya waasisi wa bara la Afrika...
It is a terminal disease. No vaccine, no medicine but could be avoided when everyone gets proper education. Each of us will be safe from the...
Mjadala wa kumalizia mchakato wa katiba mpya umeibuka katika siku za hivi karibuni. Asasi na makundi mbalimbali ya kijamii yameanza kujaribu kupaza sauti zao wakishauri na...
Mwaka 1964, Serikali iliyokuwa ikiongozwa na chama cha TANU iliamua kupiga marufuku mfumo wa vyama vingi na kuamua kuwa Tanzania itakuwa ni nchi ya chama kimoja....
“Wananchi wanataka maendeleo. Wanataka huduma bora za jamii. Wanataka maji safi na salama, wanataka elimu bora, huduma za afya, na miundo mbinu bora. Katiba mpya si...
Wajibu wa wasomi au wanazuoni katika jamii ni mada muhimu na pana sana. Hakuna mtu yoyote anayeweza kukataa mchango muhimu wa wasomi katika jamii yoyote na...
Ninayo ndoto. Inaweza ndoto hii isitimie katika uhai wetu, lakini inaweza kutimia kwa vizazi vijavyo. Ninayo ndoto kuwa ipo siku moja Watanzania tutaweka tofauti zetu pembeni,...
Kulingana na Benki ya Dunia (WB) katika ripoti yake ya Mapitio ya Uchumi ya mwaka 2017, inaitaja Tanzania kutumia asilimia 80 ya maji yake yote katika...
Katika kile kinachotajwa kuwa ni vita ya kiuchumi, Marekani imekosoa mfumo wa utoaji misaada na mikopo wa China kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania ikidai kuwa...
Shirika la Ujasusi la New Zealand (SIS) limethibitisha kwa mara ya kwanza kwamba kulikuwa na jaribio la kumuua Malikia Elizabeth II wakati alipotembelea jiji la Kusini...
Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) imeitaka serikali ya Tanzania kudumisha amani, utulivu na misingi ya demokrasia kwa kuhakikisha inawachukulia hatua za kisheria wale wote wanaohusika...
Kufuatia msiba wa mwanafunzi wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) aliyeuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala wakati wa maandamano ya wanachama wa Chama cha...
Upepo wa mabadiliko unaendelea kuvuma Afrika hasa katika nchi zinazotarajia kufanya uchaguzi siku zijazo. Lakini mabadiliko ya madaraka sio kipimo chautawala bora kwasababu kwa Afrika sura...
Hatimaye tuzo ya uongozi bora ya Afrika imechukuliwa na Rais wa zamani wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf kutokana na utawala bora, mageuzi ya kisiasa na uchumi...
Je, asilimia 92 ya watoto nchini Tanzania wanapata lishe duni? Kwa mujibu wa Rikke Le Kirkegaard, mtaalamu wa maswala ya Afya anayefanya kazi na shirika la ...
Zaidi ya shilingi trilioni 10 zinazotolewa bure kwa rais mstaafu wa nchi ya Afrika aliyetenda vyema kwenye uongozi wake, huenda zikachukua miaka mingi kuchukuliwa na viongozi...
MENGI yaliandikwa, yanaandikwa na yataandikwa kuhusu maisha, elimu, kazi, familia na ushiriki wake katika siasa za Tanzania na maeneo mengine. Anayezungumzwa hapa ni Kingunge Ngombale Mwiru;...
Katika muda mrefu wa maisha yangu ya utu uzima, Chama Cha Mapinduzi kinaadhimisha kuzaliwa kwake kikiwa ni chama chenye uhai zaidi, nguvu zaidi, kurudi kwenye njia...
Diplomasia ni nguzo muhimu ya kuimarisha mahusiano na mataifa mengine ya kikanda na kimataifa. Kwa kutambua hilo viongozi wetu tangu taifa letu linapata uhuru waliweka misingi...
Tafsiri sahihi ya maendeleo inabaki kuwa gumzo katika jamii zetu. Wengi wetu hudhani tafsiri sahihi ya maendeleo ni vitu (material things) na wengine hudhani kuwa maendeleo...
Mapema Januari 2018 vituo vitano vya runinga vilipigwa faini ya jumla ya shilingi milioni 60 baada ya Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya udhibiti wa Mawasiliano...
Haki ya Faragha ni miongoni mwa haki za msingi ambazo zinatambulika kimataifa ambayo hulinda uhuru na taarifa muhimu za mwananchi mmoja mmoja zisifahamike kwa watu au...
Kabla ya kuingia katika mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Tanzania ilikuwa na mfumo wa Bunge la chama kimoja yaani wabunge wote walitoka chama tawala. Majadiliano...
"rushwa adui wa haki” ni msemo ulitumika sana na mwasisi wa taifa la Tanzania mwalimu Julius Nyerere katika harakati zake za kupinga utoaji na upokeaji rushwa ambayo...
Mabadiliko ya mtindo wa maisha ikiwemo ulaji wa vyakula vyenye mafuta na kutofanya mazoezi umeongeza idadi ya watu wanaofanyiwa upasuaji katika nchi za Afrika na kuwaweka...
Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha pili yaliyofanyika Novemba 2017 na kuonyesha kuwa asilimia 89.93 ya wanafunzi wamepata ujuzi na maarifa kuwawezesha...
Maendeleo ya nchi za Afrika kwa sehemu kubwa yanategemea misaada kutoka nchi zilizoendelea, lakini suala hilo limeibua mijadala juu ya ufanisi wake katika kukuza uchumi na...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inakusudia kuchunguza utajiri na ulipaji wa kodi wa Askofu Mkuu, Zachary Kakobe wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (F.G.B.F) ili...
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania unaeleza kuwa watoto wanaokula samaki mara moja kwa wiki wanapata usingizi wa uhakika na uwezo wao kufikiri, kuelewa na...
Elimu ni mfumo wa maarifa unaomwezesha mwanafunzi kupata ujuzi na stadi ambazo zitamsaidia kumudu mazingira yanayomzunguka. Lakini elimu huwa katika mfumo maalumu ambao unajulikana kama mtaala...