“Nina ndoto kwamba siku moja nchini Tanzania, watu wenye albinism watachukua nafasi yao inayostahili katika ngazi za jamii. Na kwamba siku za ubaguzi dhidi ya watu...
“Tunahitaji kutetea mfumo wa elimu unaokidhi mahitaji na kufanya mabadiliko ili kuleta elimu bora kwa watoto wetu na taifa la kesho kwa ujumla”. Hii ni nukuu...
Wananchi wakielemishwa wakaelimika ni faida kwa taifa. Kuelimika kunategemea ubora wa elimu inayotolewa ambayo hupimwa kwa vigezo mbalimbali, ikiwemo ujuzi na maarifa wanayopata wanafunzi wakiwa shuleni...
Licha ya kuongezeka kwa bajeti inayoelekezwa katika sekta ya lishe nchini, bado haijafanikiwa kutokomeza tatizo la udumavu kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 5, jambo...
Ifikapo Desemba 10 kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya Azimio la Haki za Binadamu lililoasisiwa mwaka 1948 na kuwa tamko rasmi linaloainisha haki za msingi ambazo...
Kutokana na kasi ya wanachama wa vyama vya upinzani kuhama vyama vyao na kukimbilia Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kuunga mkono juhudi za rais...
Mgogoro wa kuuza watu unaoendelea Libya umechukua sura mpya baada ya vyombo vya habari kuripoti matukio ya kuteswa na kuuzwa kwa Waafrika weusi ambao wanakimbia hali...
“Afya njema ni msingi mkubwa wa maendeleo katika taifa. Nchi ambayo wananchi wake hawana afya njema kamwe haiwezi kupata maendeleo, hii ni kwa sababu mwananchi asiye...
Tanzania imekuwa na ukuaji mzuri wa uchumi lakini changamoto kubwa ni kuongezeka tofauti ya kipato kati wananchi wa kipato cha chini na matajiri hali inayoweza kuathiri...
Umbali kutoka shule na mazingira wanayoishi wanafunzi una nafasi kubwa ya kuathiri maendeleo ya wanafunzi kielimu. ili kukabiliana na changamoto hiyo baadhi ya shule zimejenga hosteli...
Wakati Tanzania ikitajwa kuwa miongoni mwa nchi duniani zenye mahitaji makubwa ya maji, serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi inatekeleza miradi mbalimbali kulinda vyanzo vya maji...
Mazingira bora ya kufundishia na kujifunzia katika shule ni kichocheo kwa wanafunzi kufanya vizuri katika masomo yao na kupata ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kutatua changamoto zilizopo...
Ziwa Victoria ni miongoni mwa rasilimali muhimu zilizopo Tanzania, lina sifa moja ya pekee ambayo ni kina kirefu cha maji kuliko maziwa yote Afrika. Upekee wake...
Katika mfumo wa vyama vingi hasa vyama vikubwa vyenye ushawishi katika jamii, migongano na malumbano ya ndani kwa ndani ni jambo la kawaida. Na hii hujidhihirisha kwa kuibuka...
The Comprehensive Community-Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT), an organization which works to provide affordable medical and rehabilitative services for mothers and newborns throughout Dar-es-Salaam, marked World Contraception Day...
Hivi karibuni Rais John Pombe Magufuli aliweka bayana namna anavyochukia ubinafsishaji wa nyenzo za uzalishaji kama ilivyofanywa na watangulizi wake. Akieleza wazi ya kuwa, watangulizi wake...
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za Afrika hutegemea misaada na mikopo kutoka katika nchi zilizoendelea ili kujiendesha kiuchumi na kutoa huduma za kijamii kwa wananchi. Kutokana...
Uhuru wa mtu kutoa maoni kwa jambo analoliamini ni haki ya kila mtu isipokuwa tu pale haki hiyo inapoonekana kuvunja haki nyingine za msingi za watu....
China taifa lililo Mashariki ya mbali lenye uchumi unaokuwa kwa kasi na kuwa miongoni mwa mataifa duniani yenye ushawishi mkubwa katika diplomasia ya kimataifa. Mafanikio ya...
November 30 hadi Disemba 2, 2016 kule Mexico ulifanyika mkutano wa mwaka wa viongozi wa majiji makubwa duniani ujulikanao kama ‘C40 Mayor’s Summit’. Mkutano huo uliwakutanisha...
Matamanio ya watanzania wengi ni kuwa na katiba bora itakayoweza kusimamia rasilimali za nchi na kuhakikisha zinamnufaisha kila mwananchi na kuwa na ustawi mzuri wa jamii....
Sudan Kusini ni nchi changa iliyojipatia uhuru wake miaka michache iliyopita na kuwa taifa huru lenye mamlaka kamili ya kisiasa na kiuchumi. Nchi hiyo ilitangaza uhuru wake...
FOR many years, the Tanzanian educational system has been under scrutiny partly because the desired results as expected by many Tanzanians have not been materialized.
TANZANIA ni miongoni mwa nchi 193 zilizosaini mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na kuenea hali ya jangwa duniani (UNCCD) wenye lengo la kupambana na tatizo la...
“KWA mujibu wa nadharia kuhusu maendeleo, nchi yoyote haiwezi ikaendelea bila ya kuwa na mijadala juu ya mielekeo mbalimbali ya maendeleo. Jukumu mojawapo la wasomi wa...
ALHAMISI, Mei 25, 2017 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, aliibuka na kusema kwamba wapo wahujumu uchumi waliotaka kumhonga Rais...
JUMATANO, Mei 24, 2017 Rais Dkt. John Magufuli alimtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ajiuzulu mara moja kufuatia upotevu wa mabilioni ya fedha...
SERIKALI ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli, imethubutu kwa dhati kupambana na biashara haramu ya dawa za kulevya. Uthubutu huo unatokana na kuweka...
Humphrey Polepole, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Itikadi na Uenezi, anawadharau Watanzania. Anabeza uwezo wao wa kufikiri, anadhani yeye anajua zaidi pengine...
KWA muda mrefu kumekuwa na malumbano baina ya makundi mbalimbali ndani ya nchi kuhusu mfumo gani ambao Tanzania inaufuata katika kufikia maendeleo yanayohitajika. Wengi wanajiuliza, je,...
KWA takribani miaka mia mbili na zaidi dunia imetawaliwa na mfumo mmoja wa kuleta maendeleo ukiasisiwa kwa mawazo na shinikizo kutoka kwenye nchi za Magharibi na...
ZOEZI la serikali kuhamia Dodoma linaonekana kusuasua tofauti na lilivyoanza licha ya makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu wa wizara mbalimbali kuwa katika harakati za kuhamia...
Nilipata fursa ya kusikiliza kongamano lililoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika lililofanyika nchini Rwanda mwaka 2014. Kongamano hilo lililoandaliwa kama sehemu ya kuazimisha mwaka wa...
THE Tanzania economic growth is volatile, non-inclusive and marked by stagnation in industry since the retirement of the first president Mwalimu Julius Nyerere in 1985. The...
Tanzania iliadhimisha siku ya maadili na haki za binadamu tarehe 10 Desemba katika sehemu mbalimbali za nchi ambapo kilele chake kilifanyika Mnazi mmoja Dar es Salaam....
SERIKALI ya awamu ya tano imeonyesha dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko, na safari hii imeamua kuubadili mji wa Chato, nyumbani kwa Rais John Magufuli, kuwa...
The future of Jamii Forums (JF) is at stake. So is the fight against grand corruption. Like conjoined twins, the two are intertwined. A study that was...
Tanzania kwa muda mrefu sasa tangu ipate uhuru imekuwa ikipata mikopo na misaada mbalimbali kutoka kwa mataifa ya kibepari ambayo leo tunayaita wahisani wa maendeleo kwa...
MACHI 23, 2016 vyombo vya ulinzi na usalama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) vilifanikiwa kuwanasa wafanyabiashara wawili ndugu, raia wa Uholanzi wakiwa...
One of the local Swahili dailies, Tanzania Daima, last week carried a very ‘interesting’ story which formed its front page lead story. It said President Jakaya...
Last week the so called Coalition of the Willing (CoW) surreptitiously forged by Kenya, Uganda and Rwanda, was swept under the carpet and the three members...
Hivi karibuni tunashuhudia duniani nchi mbalimbali zikihaha kuhakikisha suala la kodi linakuwa la kipaumbele. Kuhakikisha nchi zinapata kodi stahiki toka kwa vyanzo vyote hususan vile vya...
Ukizunguka vijijini ambako ndiko hasa kilimo kinaendeshwa, unaweza kustaajabu na kujiuliza endapo bado upo katika nchi ile ile yenye mipango na mikakati mingi yenye kuvutia na...
Katika maendeleo yoyote yale ili yawe endelevu na yenye manufaa kama kusudio lake lilivyopangwa, kuna vitu muhimu lazima kuzingataiwa likiwemo hili la ushirikishwaji (participation of community).
Sherehe za pasaka ziliingia dosari hususan kwa wakazi wa Dar es Salaam kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 mtaa wa Indira Gandhi katikati ya mji....
Leo tarehe 27 Machi 2013 ilikuwa siku nyingine ambapo wanahabari wameshindwa kufikia muafaka juu ya suala la usalama wao. Mjadala huu uliandaliwa na Baraza la Habari...
Msomaji, nimeona vema nishirikiane nawe katika hii hoja ya kujiachia kwa miili yetu katika kufanya mapenzi na wapenzi wetu. Hapa ninaposema kujiachia sina maana kujiachia wakati...
Wahenga walinena; “Ahadi ni deni”. Katika mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa kurusha matangazo kwa njia ya digiti toka mfumo wa analojia, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania...