Kitambi (kilibatumbo) ni tumbo kubwa ambalo linachomoza kwa mbele na wakati mwingi kuning'inia isivyo kawaida. Ni ugonjwa kama magonjwa mengineyo na huweza kuwakumba watoto, vijana, watu...
Poleni watanzania wenzangu kwa habari ya kusikitisha ya wahitimu wa Kidato cha Nne 2012 kuwa na ufaulu wa kusikitisha (zaidi ya 90% wamefeli kwa kupata div...
Soko letu limekuwa likiwanufaisha zaidi wageni na wananchi wa nchi jirani ambao hulitumia kikamilifu kujinufaisha na wazalendo wengi kutoelewa nini kinachoendelea. Kwa wale waliokwisha jitosa, huwezi...
Kila mara niangaliapo jinsi mambo yanavyoendeshwa na walio kwenye madaraka ya umma na hasa katika serikali za hivi karibuni kuna jambo ninaloliona haliko sawa. Nafahamu ili...
Kwa wiki ya tatu mfululizo kumekuwa na malumbano kuhusiana na suala la ujenzi wa Bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es Salaam. Kumekuwa na madai...
Wengi wangependa kujua/kusoma wasifu rasmi “biography/autobiography” wa wanasiasa kama Benjamin Mkapa, Dkt. Salim A. Salim (moja ya wanadiplomasia nguli ambaye alipata kuiongoza Umoja wa Afrika katika...
Since the departure of Mwalimu Nyerere from power in 1985, it has become customary for Tanzanians to denounce their political leaders as being ‘arrogant’ and ‘corrupt’....
What is this with Tanzania power projects where the government is always looking for the 100mw or below to supply power? When you look at the...
Ili Chadema kiweze kuwa Chama mbadala, kinahitaji major overhaul ya kiuongozi na utendaji. Matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010, yamoenyesha wazi kuwa safari ya Chadema kuinga...
Ndugu Mtanzania, Naomba kuwasilisha kwako waraka huu ukiwa ni mwamsho na na hamasa kwetu kama Wananchi na Taifa ili kulikwamua taifa letu kutoka katika hali mbaya...