Maji ni uhai. Ni uhai kwasababu yanabeba dhana nzima ya mwanadamu yeyote kuishi na kufanya shughuli zingine za maendeleo. Pia maji ni uhai kwasababu yanagusa sekta...
Na Daniel Samson Kulingana Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 sehemu ya pili (II) inatoa wajibu na majukumu ya mzazi katika kumlea mtoto ambapo inaeleza kuwa...
Kuna uhusiano gani kati ya bodaboda na ongezeko la mimba za utotoni kwa wasichana wanaosafiri umbali mrefu kwenda shule? Gazeti la The Guardian la Tanzania, linawaweka waendesha...
Na Daniel Samson Licha ya juhudi mbalimbali za serikali na wadau wa uhifadhi wa mazingira kuzuia matumizi ya mifuko ya plastiki, imeibuka aina nyingine ya plastiki...
– Mkuu wa Chuo akataa kuwapokea mpaka walipe ada – Lions Club Morogoro yasema ilikuwa hisani tu kwa wanafunzi hao Wanafunzi 24 wa Chuo Cha Uuguzi...
BARABARA za lami zenye urefu wa kilometa 689.9 ambazo zimegharimu jumla ya Shs. 781.132 bilioni zinafunguliwa na kuzinduliwa na Rais Dkt. John Magufuli kuanzia Julai 19,...
JUMLA ya watu 48,695 wamekufa na wengine 282,194 kujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani zilizotokea nchini Tanzania katika kipindi cha kuanzia mwaka 2000 hadi 2015.
DAUDI Maliyatabu (35) amelala kitandani katika wodi Namba 4 Kibasila katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam huku akiugulia maumivu makali. Hana uwezo wa...
JANUARI 3, 2017 majira ya saa 3:00 usiku katika Kitongoji cha Songambele, Kijiji cha Mumba, Kata ya Masoko katika Wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya, wakati...
UNAWEZA ukawa mwendo wa saa 3 na dakika 39 tu kwa gari ndogo kutoka Songea hadi Mbamba Bay kwenye makao makuu ya Wilaya ya Nyasa mkoani...
UWEPO wa milima mingi ya Livingstone katika wilaya za Mbinga na Nyasa mkoani Ruvuma, umeilazimu Serikali kuihamisha Reli ya Kusini, inayotokea Bandari ya Mtwara, ambapo badala...
BAADHI ya maduka ya dawa za binadamu jijini Tanga wanakaidi agizo la serikali la kutumia mashine za kielektroniki (EFD) kutoa risiti kwa wateja wao. Kukaidi agizo...
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeingia katika kashfa kubwa ya kutumika kutakatisha fedha. Katika mbinu za hali ya juu za kuingiza fedha haramu katika...
MJANE kutoka Tanga, Swabaha Mohamed Shosi aliyewashtaki baadhi ya watendaji wa Serikali kwa Rais John Magufuli hapo jana akidai kuzungushwa kupewa haki yake ya mirathi si...
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni mmiliki na Mkurugenzi wa Kampuni ya Lake Oil ya Mikocheni jijini humo, Ally Edha Awadhi, kwa kosa...
JANGA la kutisha linaweza kuwakumba wakazi wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambao kwa wiki nzima sasa wanakula samaki ambao huenda wamekufa kwa sumu. Utafiti wa...
MWANAFUNZI mmoja tu kati ya wanafunzi wote 17 waliofaulu darasa la saba mwaka 2012 katika shule ya msingi Njenga iliyopo kilometa 80 kutoka mjini Tunduru mkoani ...
IDADI ya watuhumiwa wa tukio la kulipua kanisa la mtakatifu Joseph Mfanyakazi kwa bomu, Mkoani Arusha, imezidi kuongezeka toka tisa hadi kufikia 12, kati yao majina...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeibua tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, kikidai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), hasa kupitia makundi ya wasaka...
MLIMA ambao umetengwa kwa ajili ya hifadhi ya msitu katika kijiji cha Nkali kata ya Liuli wilayani Nyasa mkoani Ruvuma umeuzwa na baadhi ya viongozi wa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) tawi la Afrika kusini kupitia Mwenyekiti wake Ndugu, Kelvin Nyamori, kimetoa taarifa za kusikitishwa na Habari zilizochapishwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii,...
Kiongozi wa jopo la wanasheria watano (5) wanaomtetea Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare, Wakili Tundu Lissu, akiwawakilisha wenzake, ameongea na vyombo vya...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa amezungumzia video aliyorekodiwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare na...
WANAFUNZI 8365 kati ya 11364 wamefeli mtihani wa Taifa wa kidato cha nne katika mkoa wa Ruvuma kwa kupata alama sifuri. Taarifa ya Afisa Elimu wa...
KAMPUNI ya Game Frontiers Tanzania(GFT) inayojishughulisha na uwindaji wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma, kwa kushirikiana na kikosi cha askari wanyamapori katika pori la akiba la Selous, wamefanikiwa...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida karibu nusu tu ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mkoani Ruvuma mwaka huu hawajaripoti katika shule za sekondari ambazo...
Katika mkutano wa Kumi wa Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Spika wa Bunge ndugu Anna Makinda alitangaza mabadiliko kadhaa ya muundo wa...
In 2006, an evaluation of Norwegian aid to Tanzania revealed that about US$30 million had been lost to corruption and mismanagement in the Ministry of Natural...
Video hii imerekodiwa kutoka kwenye simu ya mkononi na inamuonyesha Ofisa wa TRA Arusha akipokea rushwa toka kwa mteja ili aweze kumhudumia. Ofisa huyu yupo mapokezi...
Kwa wiki ya tatu mfululizo kumekuwa na malumbano kuhusiana na suala la ujenzi wa Bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es Salaam. Kumekuwa na madai...
HALMASHAURI ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma imepiga marufuku shule za msingi zenye upungufu wa vyumba vya madarasa kutumia vibanda vilivyojengwa kwa miti na kuezekwa kwa...
AFISA Usalama wa Taifa mstaafu wa mkoani Mbeya Joseph Mwasokwa (76) amekufa baada ya kuchinjwa nje ya nyumba yake eneo la Block T , Mbeya mjini....
KIKOSI maalumu cha vyombo vya usalama chini ya Jeshi la Polisi, kimewatia mbaroni jijini Dar es Salaam watuhumiwa watano muhimu wa mauaji ya Kamanda wa Polisi...
SIKU moja baada ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza (RPC), Liberatus Barlow (52), kuuawa na kundi la watu wanaosadikiwa kuwa majambazi, taarifa zinasema polisi...
Investigative journalism distinguishes itself from regular journalism by its depth and subject matter, often involving crime, political corruption or corporate wrongdoing.
POLISI ambaye alifyatua bomu kwa karibu na kusababisha kifo cha Mwandishi wa habari wa Channel Ten, Daudi Mwangosi, anatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote, Fikra Pevu limefahamishwa.
ASASI ya TCSD inayojishughulisha na uangalizi wa miradi inayotekelezwa na LVEMP II, imesema zaidi ya tani 40 za uchafu huwa zinamwagwa kila mwaka katika bonde la...
Mwalimu Onesmo Mbawala alisema idadi kubwa ya wanafunzi wanasomea katika vibanda vya nyasi kutokana na shule yake kuwa na upungufu wa vyumba 12 vya kusomea ambapo...
HATAMAYE Jeshi la Polisi mkoani hapa limeanza kuwakamata na kuwahoji watumishi wa idara ya ardhi katika halmashauri ya jiji la Mwanza; ili siku yoyote wapandishwe kizimbani...
SIKU chache baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Mkoani Mwanza, kuanza kuwahoji baadhi ya vigogo wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi...
HATIMAYE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (PCCB), Mkoani Mwanza, imeanza kuwahoji vigogo wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Mkoani hapa, wanaotuhumiwa kwa ufisadi...
Tabaka kati ya wageni na wazawa linachangia harufu ya ubaguzi katika migodi ya madini. Katika mgodi wa dhahabu wa Tulawaka wafanyakazi wanatofautiana kwa kila hali kuanzia...
TUHUMA nzito za ufisadi katika Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza, zimeanza kuingia katika hali ya hatari zaidi, ambapo waandishi wa habari watatu akiwemo mwandishi...
WANAWAKE watatu wameuawa kinyama, baada ya kubakwa na watu wasiojulikana katika kata ya Mahina, wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza. Vyanzo vya habari vimeiambia FikraPevu kwamba mauji...
MJANE Specioza Kamala ameendelea kusotea mafao ya mume wake aliyefariki miaka 13 iliyopita, huku mwaka huu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ikimwandikia marehemu barua...
WAKAZI wa kijiji cha Machochwe katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamegoma kushiriki shughuli zozote za maendeleo , hadi hapo watakaposomewa mapato na matumizi ...
BAADHI ya Wafanyabiashara wa mazao mkaa kwa kuashirikiana na baadhi ya maofisa misitu katika vituo mbali mbali vya ukaguzi, wanadaiwa kuiibia Serikali sh. milioni 35 kwa...
UAMUZI wa Serikali wa kuizuia kampuni ya Lima Ltd kununua kahawa mkoani Mbeya umetajwa kuwa ni mbinu chafu zinazofanywa na watendaji wa serikali za wilaya na...