HALMASHAURI ya Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza, imekumbwa na kashfa ufisadi wa matumizi mabaya ya fedha za miradi ya maendeleo, ambapo inadaiwa kutafuna zaidi ya sh....
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kwa kutajwa katika kashfa ya mdadi wa umeme uliohusisha kampuni tata ya Richmond Development LLC, Edward Lowassa, amelipwa mamilioni ya fedha na wafanyabiashara...
SERIKALI Mkoani Mwanza, imeyafunga machimbo matatu ya madini yaliyopo Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, baada ya uongozi wa machimbo ya Ishokelahela kutoa kudaiwa taarifa zinazokinzana, kuhusu...
Tanzanian health authorities have announced the withdrawal of a South Korean HIV test kit from circulation following warnings about its poor quality.
SERIKALI kupitia Idara ya Uhamiaji, imewatimua nchini wahamiaji 26 akiwamo Raia mmoja wa Uingereza mwenye asili ya Afrika Magharibi, Fikra Pevu limethibitisha.
Mganga Mkuu wa Tanzania (Chief Medical Officer) Dr. Deo Mutasiwa (pichani) amedaiwa na wadau mbalimbali wa masuala ya afya nchini kwa kushindwa kutoa maagizo ya kuondolewa kwa...
NAIBU Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, Charles Kitwanga ameeleza kukerwa na uongozi wa hospitali na halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, kwa kushindwa kununua...
WAFUNGWA wa Gereza Kuu la Musoma mkoani Mara, wamemtaka Rais Jakaya Kikwete na Bunge la Jamhuri kutoidhinisha posho mpya ya sh. 200,000 za wabunge, badala yake...
MFAMASIA wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani hapa, Kanuti Kimaro ametiwa mbaroni akituhumiwa kutokuwa mwaminifu kwa mwajiri wake na kisha kuuza mgawo wa dawa za...
YULE Wakili maarufu jijini Arusha Mediam Mwalle amefunguliwa kesi nyingine tena akidaiwa kuiba Dola za Marekani Milioni 17, 212,812 sawa na Sh. Bilioni 27.5 mali ya...
ASKARI wa kikosi cha zimamoto katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Masoud Gadafi anakabiliwa na kashfa ya kumshambulia mteja wake na kisha akatafuna stakabadhi za serikali...
LICHA ya kuwa hukumu iliyotolea na Mahakama Kuu katika kukamilisha kusikiliza upinzani dhidi ya kusajiliwa tuzo ya DOWANS ambayo ilitolewa na mahakama ya kimataifa ya biashara...
Endapo mahakama zitaendelea kukubali maombi ya mfanyabiashara maarufu nchini Bw. Yusuph Manji ya kutaka kuzuia habari zake kuandikwa au kuonekana kwenye vyombo vya habari kadha wa...
MACHOZI ya mwanafunzi Janeth Julius (16) yanahitimisha mahojiano kwani sikuwa na ujasili wa kuuliza swali jipya. Yalibeba hisia za uchungu na ujumbe mzito uliowakilisha kilio cha...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Godbless Lema CHADEMA) ameionya na kuitaka Idara ya Usalama wa Taifa nchini kujifunza kutoka kwa Kiongozi wa Libya Muammar Gadaffi. Mbali...
MWAKILISHI na Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Raia Mwema mjini Arusha Paul Sarwat akiwa na mke wake wamenusurika kupoteza maisha baada ya gari yao aina...
MWANDISHI wa habari anayeandikia gazeti la Mwananchi kutokea Arusha, Mussa Juma, ameanza kuandamwa na serikali na sasa uraia wake umeanza kuhojiwa huku yeye akihusisha hatua hizo...
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu 52 kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za ujambazi wa kutumia silaha na wizi wa vocha za simu za mkononi zenye...
HATIMAYE imebainika jinsi Wakili maarufu mjini hapa Mediaum Mwalle alivyokuwa akihamisha mabilioni kwenye akaunti mbalimbali zinazodaiwa kufikia Sh. Bilioni 18. Kupitia hati ya Mashitaka alityosomewa jana...
MISSENYI ni kati ya wilaya nane za mkoa wa Kagera yenye ranchi mbili za taifa na sehemu imebinafsishwa kwa wawekezaji. Ni wilaya mpya iliyoanzishwa Julai 2007...
WAKILI maarufu Medium Mwalle anayetuhumiwa za kukutwa na kiasi kikubwa cha fedha kwenye akaunti zake na kisha kupandishwa kizimbani amelazwa kwenye Hospital ya Mkoa wa Arusha...
WAKILI Maarufu jijini Arusha Medium Mwalle amefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kusomewa mashitaka 13 yanayodaiwa kumkabili likiwamo la kukutwa na kiasi kikubwa...
KASHFA ya Richmond-Dowans haionyeshi dalili zozote za kumalizika wakati kampuni ya kimarekani (Symbion Power) imeanza kuzalisha umeme. Sehemu kubwa ya Tanzania inajitahidi kukabiliana na mgawo wa...
Kitendo cha Kamati Kuu ya CHADEMA kuwavua uanachama madiwani wake wa Arusha, is “A Big Mistake”!, and there is a price to pay, so Chadema must...
Katibu Mwenezi wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi Bw. Nape Nnauye ametajwa kama mlengwa wa waraka wa siri ambao unakituhumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Two journalists of the Mwananchi Communications Limited, have been selected for the 2011 Tanzania Media Fund Fellowship.The Citizen acting Business Editor, Mr Damas Kanyabwoya, and Mwanaspoti’s...
Elmer G. Pratt, a Black Panther leader who was imprisoned for 27 years for murder and whose marathon fight to prove he had been framed attracted...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Juni 7, mwaka huu itatoa uamuzi wa kuyapokea au kutoyapokea kama kielelezo cha ushahidi magazeti yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mfanyabiashara Yusuf...
WAFANYAKAZI wanne wa hospitali ya mkoa wa Kagera wakiwemo wafamasia wawili wanashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuiba dawa za wagonjwa zenye thamani ya...
WATU wawili wanasakwa na jeshi la polisi mkoani Kagera kwa tuhuma za kumkata vipande viwili Richard Raphael (55) na kumzika, mmoja wa watuhumiwa akiwa ni mtoto...
WAFANYABIASHARA wanne wametozwa faini, akiwemo mmiliki wa basi liitwalo Bariadi Express, Maduhu Katalima, mkazi wa wilaya ya Bariadi mkoani Shinyanga ambaye ametozwa faini ya shilingi milioni 2...
TAARIFA ya mkaguzi wa ndani wa halmashauri ya wilaya ya Muleba imebaini kuwepo ubadhilifu wa zaidi ya milioni 231 zilizotumika kama malipo hewa kwa wakuu wa...
MKAZI wa kijiji cha Byamutemba kata ya Nsunga wilayani Missenyi Hashimu France (43) amemuua mke wake Aisha Hashimu (39) kwa kumcharanga mapanga kisha naye kujinyonga katika...
WAKALA wa barabara mkoani Kagera (TANROADS) imekiri kudaiwa mamilioni ya shilingi na wananchi walioathiriwa na upanuzi wa barabara ya Mutukula Muhutwe uliofanyika zaidi ya miaka kumi...
BAADA ya uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka jana, mabaraza mengi ya madiwani yameibua sura mpya zenye kila dalili ya kiu ya mabadiliko FikraPevu imebaini.
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitamba kujivua gamba kwa kupanga safu mpya ya uongozi, Katibu wa chama hicho mkoa wa Kagera Faustin Kamaleki ametangaza kustaafu nafasi...
TAASISI ya utafiti wa samaki na uvuvi (TAFIRI) inadaiwa kukalia matokeo ya utafiti wa aina mpya ya samaki wanaofaa kupandwa katika ziwa Ikimba lililopo wilaya ya...
MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kabalenzi wilaya ya Bukoba vijijini Twinayesu Emmanuel (8) ameuwawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili,kisha kunyofolewa baadhi ya...
The following is the statement issued earlier today by JamiiForums – the most prominent Tanzanian online social gathering. The popular political forum played a crucial role...
Ni mengi yamekuwa yakizungumzwa juu ya changamoto zinazozikumba shule za kata zilianzishwa chini ya serikali yetu ya awamu ya nne. Pamoja na utetezi unaofanywa na wanasiasa...
MMILIKI wa kampuni ya Dowans Tanzania Limited Brigedia Jenerali Suleiman Al Adawi amekataa kuzungumzia taarifa yake aliyoisoma mbele ya waandishi wa habari hasa kutokana na kile...
HALI ni mbaya katika eneo la Gongo la Mboto, kilometa chache kutoka Uwanja wa Kimataifa Ndege wa Julius Nyerere, baada ya mabomu kulipuka katika maghala ya...
MSAFARA wa Mke wa Rais Mama Salma Kikwete umepata ajali na kusababisha kifo cha dereva wa Idara ya Usalama wa Taifa, Ramadhani Mkoma, Fikra Pevu, limethibitishiwa....
KUCHAGULIWA kwa Edward Lowassa, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond/Dowans, kuwa Mwenyekiti wa Kamati nzito ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kumethibitisha...
Edward Mdaki — Migomo ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini vilivyolazimishwa kufunguliwa baada ya uchaguzi wa oktoba 2010, imefikia kilele . Ni kilele kwa sababu...
Meshack Mpanda (Mwanza) — Wajumbe 27 wa Serikali ya kijiji cha Nyangho’mango katka kata ya Usagara Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza wameuza ikari 80 katika...