Connect with us

Education

World Cup and Tarmac road excite Shinyanga town

Published

on

I returned to ‘Shy town’ to watch the opening session of what any one worth being called ‘African’  would be proud of.

So I made way to one Shinyanga Motel, on a bar side to watch  the opening function of soccer world cup 2010.In the corners of this large town of Shinyanga,  everywhere it’s excitement. A sense of opportunity. Self satisfaction, in a peasant, professional doctor, sheikh, priest, boda boda rider, bar waiter/waitress etc.

It’s excitement. Everyone seems to have a story to tell. Husbands who saved a hand and a leg to buy a TV in a small village of Itinje or Tinde ,such that his 30 neighbours can watch world cup. A wife who will be ‘forced’ to keep out late to escort her husband to watch a late night match. It’s to make sure the hubby does not use the excuse of world cup to explore with madams on the side.

It is such excitement I used to have during every first Friday of the month during secondary school days some 9 years back.

We had a thing called the TFI night in the most popular night club in town. Only techno music was played on this particular day for us, (the wanabes) to  shake a leg ,whole night loooong, with no bucks to afford a drink.

Interestingly, this World cup excitement has come like that described ‘law of attraction’ in the SECRET book and movie.

It has come at a time when Shinyanga town has just got a new road that is every one’s attraction. Everyone’s freedom away from dust.

With buzz of activity, more shops are coming up on this newly constructed Uhuru tarmac road, stretching well over 5km, and seemingly, the darling of most daladalas (bicycles), pedestrians, private cars, and more shop business.

The Regional Tanzania Revenue Authority Offices, are imposed on the same road, as if to be closer to the booming business, to know exactly where and how to collect the tax and benefit from the development as well. You know our budget is 11.6trillion this fiscal year.

It is said, TRA in the region, may have more trips to the bank this year, and with the sort of business the new road is stimulating.

All TV sets, antennas to help villagers watch world cup from their homes in the rural sides may, after all, have come from the multiplying shops along this same road.

Continue Reading
5 Comments

5 Comments

 1. MELIARY EZEKIEL

  23/01/2011 at 11:10 pm

  Write more to me about DOWANS.

 2. Paschal Wenceslaus Seni

  27/01/2011 at 10:39 pm

  Am so proud to see da news of ma city coz am frm lubaga,visitors u a so welcome in dis beautiful city!

 3. kulwa mathias kusekwa

  03/02/2011 at 8:55 pm

  The roads are too lough i the manner that it can burst car tires if Shy town fellows can not take action against the region road manager.Kiwango cha lami ni kibovu mwanzo mwisho.Mfano barabara ya kwenda Old shy unaweza kulia halafu omba bajeti na gharama kwa ujumla nado utachoka zaidi. Please Magufuli visit the region ujionee i think utafukuza mpaka watumiaji.

 4. Shija Ng'wananzuga

  23/03/2011 at 4:22 pm

  Katika watu ninao wafagilia ktk CCM basi ni Magufuli, Mwakyembe naaaa!!!! aah!!!! huyu wa tatu tracker imegoma kumuolodhesha inaonekana kapoteza point kadhaa…..
  Lakini hapa nilitaka kuongelea jambo moja kama si mawili.
  >Alipokuwa wizara ya miundo mbinu kabla ya AWAMU hii, alikuwa anachapa kazi hakuangalia sura ya mtu wala cheo chake achilia mbali uwezo wake kifedha,,,akiingia anga zake anamchana mistari yake..na hatua zina chukuliwa kama amevunja amri mojawapo kati ya zile kumi za wizara yake.
  >kama ilivyokuwa *wizara ya* ziwa victoria, tanganyika, nyasa, bwawa la nyumba ya mungu na kwengineko,,,ukikubali au ukikataa ni hali haliiiisi! wizara hiyo hasa kitengo cha kuzuia na kupambana na uvuvi haram wa kutumia vyandarua kama nyavu za kuvua samaki,,,kwa hali ya kawaida unaweza kufikiri ni namna ya kujikwamua na hali mbaya ya uchumi wa kaya zetu….lakini hebu fikiri kama hali hii ikiendelea siku zijazo kutakua na vizazi vya samaki kweli?
  Jibu ni hapana kwa sababu vyandarua vina kokoa mpaka mazalia ya samaki..
  YAMENITOKA YOTE HAYA KWA SABABU KILA WIZARA ANAYO PANGIWA MAGUFULI HUWA ANAWASHA MOTO. NA AKISHA KUUWASHA MOTO ULE UNAKUWA MOTO WA GESI(GAS) UNAWAWAKIA MPAKA VIGOGO WENZIWE WAKI MWAGA MAJI KUUZIMA UNAPITA JUU YA MAJI NA KUWACHOMA,,,KINACHOTOKEA BAADA YA HAPO NI KUMNYIMA SAPOTI(SUPPORT). NA MBAYA ZAIDI WANANCHI WANAMUONA MWIBA KWASABABU ANAPOFUATA SHERIA ANAWAATHILI MASKINI!!!!MFANO MZURI NI BOMOABOMOA YA NCHI NZIMA..BAADHI YA WAZALENDO WAMEUZIWA VIWANJA NA WAJANJA,,,WAMEWEKEZA PESA ZAO KWENYE MAJENGO,,,NA WANAYALIPIA MAJENGO SERIKALINI,,SERIKALI INACHUKUA KODI ZA WANANCHI WAKE HALI WAKIJUA MAJENGO YALE YAKO PAHALA AMBAPO SI HALALI KUJENGA,,, USISEME KAMA HAWAJUI WANAJUA NA KAMA HAWAJUI BASI HAWAKO MAKINI.
  SASA LEO HII MAGUFILI ANAFUATA SHERIA ILIYO WEKWA NA SERIKALI HIYO HIYO ANAONEKANA MBAYA? HEBU WANANCHI TUMPE SUPPORT MAGUFULI ILI WALE WALIO SABABISHA BOMOA BOMOA HIYO KUWEPO WACHUKULIWE HATUA KALI ZA KISHERIA..
  SERIKALI NA NINYI MSITUCHANGANYE KWENYE MAAMUZI YENU. UOZO HUO HAMKU UONA MAPEMA? KAMA MAJENGO YAPO KWENYE HIFADHI YA BARABARA KWANINI SERIKALI ISICHUKUE HATUA MAPEMA.
  HIYO NDO HASARA YA KUACHIA BAADHI YA MAMBO ILI MPATE RIDHAA YA KUONGOZA HALAFU BAADAYE YANA WAGEUKA,,,,WAACHENI WATU WAJENGE MPAKA KANDO YA BARABARA AMA MCHUKUE HATUA ZA MAKUSUDI JAPO ZINA MADHALA..WALIPENI WANANCHI KABLA YA KUBOMOA KWANI SERIKALI ILIJUA TOKEA MWANZO KWAMBA SEHEMU WALIYOKUWA WANA CHUKUA KODI ZA MAJENGO ILIKUWA NI HIFADHI YA BARABARA.
  Kanikumbusha kulwa aliposema Magufuli tembelea mkoa wa Shinyanga ajionee nafikiri utafukuza mpaka watumiaji(watumia baarabara) kwa uozo wa barabara za mji huo wenye utajiri wa almasi lakini wenye muonekano wa wilaya. Kama barabara ilipo benki ye NMB tawi la SHY, malaka ya mapato mkoa wa shy kuelekea stend kuu (Old Shy road) kila baada muda fulani ina tengenezwa lakini kiwango cha matengenezo utajua tu ni mradi wa mtu ule…ANGALIENI HAYO MSIJE FIKIRI HATUYAONI SIKU YA KIAMA IKIFIKA WOTE MTAANGUSHWA NA MTAANGUKA ANGUKO KUU…..MSIJETAFUTA MCHAWI.

 5. TWAHA SALUM

  12/09/2011 at 9:41 pm

  waandishi wa habari mnatupotosha
  njoo uone hiyo barabara,kama inafanana ya shekilango-sinza-mwenge(shinyanga mwanza oyeeeeeeeee

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Education

Kwanini ni vigumu kuomba msaada?

Published

on

Ni matarajio au matamanio ya kila mtu kusaidiwa kukamilisha jambo fulani. Iwe kazini au kwenye shughuli yoyote ya kijamii, utahitaji watu wenye ujuzi na maarifa tofauti tofauti kufanikisha malengo yako. Mfano, wachezaji wakiwa uwanjani wanacheza kwa kusaidiana kila mmoja katika nafasi yake ili kuifunga timu pinzani na kuibuka na ushindi.

Hakuna jambo lolote linaloweza kukamilika bila ya kuwa na usaidizi wa namna fulani. Lakini umewahi kujiuliza kwanini ni vigumu kwa watu kuomba msaada?

Jibu linatolewa na Mwanasaikolojia ya Jamii, Heidi Grant anaeleza kuwa, kilichopo nyuma ya kuomba msaada ni hofu ya kukataliwa ambayo imekita mizizi katika saikolojia ya uumbaji wa mwanadamu.

Katika kitabu chake kiitwacho, Reinforcements anaandika kuwa kuomba msaada ni jambo lisilopendeza linalomfanya mtu ajisikie mgonjwa.

Hilo linathibitishwa na Mtaalamu wa Saikolojia mwingine nchini Marekani, Stanley Milgram ambaye alifanya jaribio la utii na mamlaka ambapo aliwaelekeza wanafunzi wake ambao walikuwa wamesimama ndani ya treni kuomba nafasi ya kukaa kwenye viti. Anasema majibu aliyopata ni kwamba wengi wao waliogopa kuomba msaada huo. “Niliogopa ningesingeweza,” alisema mmoja wa wanafunzi.

Lakini  Milgram aliamua  kuomba siti na akakubaliwa , “ Kichwa changu kilizama katikati ya miguu yangu na nilihisi nimepigwa na butwaa,” anaandika. “Sikufanya wajibu wangu. Nilikuwa najisikia kama naenda kupotea.”

Muitiko huo ambao Grant ameuelezea unahusiana na tabia za kijamii ambazo zimeunganishwa kwenye ubongo wa mwanadamu tangu karne nyingi za uumbaji. Kama wanyama wengine, binadamu wameumbwa kupata msaada kutoka kwa familia na jamii zao ili waweze kuishi. Lakini inafika wakati tunaogopa kuomba msaada hata kama tuna shida.

Kwanini watu wanaogopa kuomba msaada?

Zipo sababu mbalimbali ambazo zinasababisha watu kuogopa kuomba msaada ni kupoteza  hadhi na heshima katika jamii. Wapo baadhi ya watu wana hadhi fulani ambayo anahisi akiomba msaada kwa watu  atadharaulika. Pia kukataliwa, siyo kila ombi linakubaliwa, mengine yanakatiliwa; hofu hiyo huwazuia watu kuomba msaada. Wakati mwingine ukiomba msaada inakuwa ni njia ya watu kufahamu matatizo yako na kuwaambia wengine; jambo linaloweza kutengeneza huzuni katika maisha.

Grant anaeleza kuwa kuomba msaada kunakuweka wazi zaidi na hatari za kijamii ambazo zinaweza  kudhihirisha unyonge  na kukaribisha maumivu.

Anaeleza zaidi kuwa inatengeneza huzuni, na kukaribisha uwezekano wa kukataliwa. “Hajalishi, ndiyo maana tunaogopa kuomba msaada kama tunavyogoopa maradhi,” ameandika. “Maradhi yanaweza kuwa  na hatari ndogo kwetu ukilinganisha na kuomba msaada.”

Hata hivyo, ni mara chache sana matokeo hasi tuliyoyaona hapo juu kutokea mara tunapoomba msaada. Katika utafiti mwingine, Mwanasaikolojia  Vanessa Bohns alichunguza sampuli ya watu 14,000 ambao walitakiwa kuomba msaada. Na alibaini kuwa idadi kubwa ya walioomba msaada walikuwa na uwezekano mkubwa wa kupata kuliko ambavyo walikuwa wanaamini awali.

Katika semina mbalimbali, Mhamasishaji, Antony Luvanda amekuwa akisisitiza kuwa kuomba msaada siyo ishara ya unyonge bali ni ishara kuwa umeimarika kimaisha.

Kwa maneno mengine, inaweza kuwa rahisi kupata msaada kuliko kuomba.

Continue Reading

Education

Utunzaji nyaraka za serikali katika kijiji cha Magalata

Published

on

NYARAKA mbalimbali za serikali na kumbukumbu za ofisi ya kijiji cha Magalata, kilichoko katika wilaya ya Kishapu, ziko hatarini kuharibika na kulowana na maji iwapo mvua zitanyesha.

(more…)

Continue Reading

Education

Historia ya Shule ya Msingi Nachingwea imebaki katika ‘kava’ la daftari…

Published

on

Historia ya shule ya msingi Kiegei katika kata ya Kiegei wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi, imebaki katika kava moja tu la daftari, lakini shule hiyo inakabiliwa na uhaba wa vitabu, vitendea kazi vya kufundishia na walimu.

(more…)

Continue Reading

Muhimu Kusoma

Copyright © 2020 FikraPevu.com